Showing posts with label PAGE ZA DAWA ZA ASILI. Show all posts
Showing posts with label PAGE ZA DAWA ZA ASILI. Show all posts

Monday, April 12, 2021

DAWA YA KISUKARI

 DR. KAMFIRIMBISI

Amekuja na dawa ya kutibu  sukari kwa muda mfupi ni mchanganyiko wa dawa mnyaa na maganda ya mua,magadi, chumvi n.k

Fanya mawasiliano Dr. Kamfirimbisi

ZINDIKO LA NYUMBA

 ZINDIKO LA NYUMBA NA MWILI:

DR. KAMFIRIMBISI amekuja kuwatangazia dawa ya kinga ya nyumba kiboko ya wachawi yenye kuleta majibu papopapo utapata majibu mtu akikujaribu kwa kukutupia uchawi tu utamtoa damu na mfano wa radi:

Dawa hiyo inaitwa Rushita inapatika kwa bei nafuu, kinga ya mwili ni  Tshs 50,000/= na kukinga nyumba ni Tshs 100,000/= kwa wale wakazi wa Dar es salaam wanaweza kutafuta kwa namba ya simu 0655531702 au 0623450753 au 0766105099 nitakufikia hapo hapo ila andaa kinu kikubwa.  Na kwa wale walionje ya mkoa wa Dar es salaam pia wanaweza kunitafuta nakufanya makubaliano ya kufika hapo.

Friday, August 21, 2020

MARADHI YA DONDA LILILOKO NJE YA MWILI

 Tiba  hii ni mujarrab sana kwa donda:

Chukua mafuta ya zaituni pakaa kwenye donda baada ya kuliosha vizuri kabisa, kisha baada ya hapo chukua vidonge vya Parasetamol(hizi hizi parasetamol zinazouzwa katika duka la dawa za kisasa yaani dawa za kizungu) halafu chukua vidonge viitwavyo septrin, fanya vidonge vitano vitano kila upande (yaani parasetamol vidonge vitano na septrin vidonge vitano) kisha vidonge hivi visage vizuri kabisa kipake mafuta ya zaituni kidogo, baada ya hapo nyunyiza ule unga wa vidonge hivyo hadi vilifunike donda hilo.

Ndugu yangu dawa hii ni ajabu sana namna inavyoponesha vidonda vilivyo nje ya mwili. Hivyo basi dawa hii mimi huiita kuwa ni rafiki wa watoto wakitahiriwa na ikawa vidonda hivyo vinasumbua basi komesha yake ni hiyo tu inshaallah ni mujarrab sana.

Thursday, August 6, 2020

JUICE TUMIA KAMA DAWA

 JINSI YA KUTENGENEZA JUICE (DAWA)

Maandalizi:

1.   Ukwaju kg2

2.   Hiliki robo ¼

3.   Vitunguu swaumu kg 1

4.   Tangawizi kg 3

5.   Karafuu robo ¼

6.   Abdalasin robo ¼

7.   Ndimu 30


Juice dawa ni dawa yenye uwezo wa kutibu maradhi mengi kama vile :-

Ø Ngiri

Ø Chango kwa kina mama

Ø U.T.I

Ø Taifodi

Ø Presha ya kupanda na kushuka

Ø Kilungulia

Ø Kipanda uso

Ø Kuondoa uchovu wa mwili

Ø Miwasho yua aina zote

Ø Miguu kuwaka moto

Ø Kutoa ges tumboni

Ø Kuzibua mirija ya uzazi

Ø Nguvu za kiume

Ø Maralia sugu

Ø Kupanga mpangilio mzuri wa hedhi

Ø Kutoa vitu vibaya  kama vile , umeota unakula nyama

Ø Gono / Kaswende

Friday, July 24, 2020

MBAAZI

MBAAZI- Huu ni mti maarufu sana kwa watu wengi na hutumika kama mboga ama chakula hasa kwa watu wa pwani
Pia kwa upande wa waganga,wanga,wachawi na baadhi ya majini na mashetani pia wanautumia mti huu kwenye mambo yao
Mbaazi ndiyo mti pekee wenye mambo mengi kwenye utibabu wa asili na hata uchawi kuanzia Majani,miti,mizizi,na hata udongo ulio chini ya mti wa mbaazi una kazi kubwa sana
UDONGO WA MBAAZI
1.udongo wa mbaazi ndiyo unaotumika kuwapaka misukule pindi wanapopelekwa kwenye mashamba ya wchawi au kazi mbalimbali ili wasiweze kuonekana na watu wengine
2.Udongo wa mbaazi pia hutumika kwa kuumwaga njia panda zinazoingilia kijiini ili kuwapoteza watu wabaya wasiweze kuingia katika vijiji vyao,udongo huo huchanganywa na vizimba vingine kisha huifadhiwa kwenye chungu ama tunguri kabla ya kwenda kuumwaga njia panda
3.udongo huu hutumika kutengeneza chuma ulete,mtu kupendwa na viumbe majini(hii hutumia sana waganga wanaotumia majini au vitabu)kuwatupia watu maradhi ya kichawi,udongo huu pia hutumika kumficha mtu akaweza kuingia sehemu bila kuonekana na macho ya kawaida
MIZIZI YA MBAAZI
Mizizi ya mbaazi inatibu magonjwa zaidi ya 70,yapo baadhi ya magonjwa hutibiwa kwa miziz hiyo pekee na magonjwa mengine mzizi huo huwa kiungo kwenye mchanganyiko wa miti tofauti,mfano mizizi ya mbaazi ni tiba nzuri kwa mtoto mwenye kigugumizi
pia mizizi ya mbaazi hutibu mtoto aliyechelewa sana kuongea
amka alfajiri kabla ya kuchomoza kwa jua,uwe msafi wa mwili na uvae kaniki au kitambaa cheusi
ukifika kwenye mti wa mbaazi ita jina lake mfano ewe mbaazi na uuombe maajabu yake kisha chimba mizizi ukimaliza chana kaniki funga miziz hiyo kisha fukia ulipochimba na unatakiwa uweke sadaka yako hapo chini ya mbaazi kama vile punje za nafaka mtama,mpunga n.k, viwe kiganja kimoja tu,pia unaweza kuweka pesa lkn iwe sarafu
chemsha dawa kwenye chungu cha mfinyanzi na sio sufuria,anywe mtoto kikombe cha kahawa kwa siku9 kigugumizi na kuchelewa kuongea kutaondoka.
MTI WA MBAAZI
mti wa mbaazi kuanzia kwenye shina hadi yanapoanza kuota majani yake ni dawa kali sna kwa anayetaka kupandishwa cheo,mvuto kazini,na kupendwa
kata mti wa mbaazi wenye maua na uchune magamba yake kisha uyakaushe na uyatwange mpaka ziwe unga kama tunavyosaga dawa zingine za miti,wakati wa kukata uwe na kijogoo kidogo chekundu mchinje bila ya kusema Bismillah wala kibla(sababu ni chakula cha majini)
kwenye kuutwanga au kusagwa ufanywe na msichana bikra,au bibi aliyemaliza uzazi,kisha mtu anayetaka kupanda cheo,mvuto kazini au heshima anavaa kitambaa cha rangi ya nyota yake na aoshewe dawa huku anafanyiwa dua njema
huongeza heshima,kuogopwa, na kupewa siri za wabaya wako kwani moja ya matokeo ya dawa ni kuwa wabaya wako mmoja atawasaliti wenzie na kukuletea taarifa ya kila kinachoiri kwenye mipango yao
pia mashetani na wachawi huwafunga wanyama wao kwenye miti ya mbaazi,mfano fisi,mbawala,kenge,nyoka nk
pia wachawi huifadhi mikoba yao kwenye miti ya mbaazi kwa kuwa ina nguvu kubwa za kiroho kuliko mbuyu
pia mbaazi hutumika kama fimbo ambazo hutembea nazo wachawi na wanga,mti wa mbaazi huchomekwa ndani ya ngozi ya mkia wa fisi maji au nyumbu.
pia fimbo ya mbaazi hutumika kuwaamsha misukule,kuwatoa wafu kwenye makaburi yao kwa nguvu za giza na ndiyo maana wachawi wengi wanapokamatwa huwa hawapo tayari kuipoteza fimbo hiyo na wenye kujua huwa wanaing'ang'ania fimbo hiyo na hapo mchawi atakuwa tayari kukupa kitu chochote hata mali zake zote.
MAJANI YA MBAAZI
majani ya mbaazi makavu hutumika kumpandisha ruhani asiyeweza kusema kwa sasbubu yeyote ile,changanya majani yaliyodondoka yenyewe na udi wowote kisha weka kwenye kaniki mfushe atasema bila shurutwi.
ni huduma ya kwanza kwa mtu aliyepigwa na radi na kutoka damu,wazee hutafuna majani ya mbaazi na kumpaka
mwenye kuweweseka usiku huchukuliwa majani haya na kiota cha ndege aliyekwishaangua vifaranga huchanganywa pamoja yanachemshwa na anaoga mhusika akiwa uchi kabisa kwa siku 9 atakaa sawa.
Hutumika kama kinga ya chuma ulete
pia ukitaka kuwaona wachawi kaa chini ya mbaazi usiku wa manane uwe uchi anza kunuia mbaazi ukuonyeshe watembea usiku ghafla utawaona.
MBAAZI ni mti wenye kazi nyingi zisizoisha hata kwenye vitabu vya tiba na uchawi ni mti wenye kurasa nyingi na hadithi ndefu

FAIDA YA MTI WA MKWAJU

TIBA KWA KUTUMIA MTI WA UKWAJU
Ukwaju ni mti mzuri sana na unamajina mengi kwa kutokana na pahari sehemu ulipo mfano:-
Ukwaju kwa rugha ya kilatini unaitwa TAMARINDUS,
pia ukija kwa wahindu wanamajina yao IMLI,
na pia kwa kingereza wanauwita TAMARIND TREE,
hizi ni baadhi ya nchi na wanavyo uwita na ukija tz wanauwita UKWAJU,UKWASU,MATE MATAMU,NCHWACHU,SHINK MEREMERE haya ni majina baadhi ya rugha na jinsi wanavyo uwita mti huu wa ukwaju mti wa ukwaju unatumika kwenye kazi nyingi mfano kutoa majini fusho LA majini pia unaingia kwenye zindiko LA kufanya mchawi akiingia apigwe bakora mpaka akome na kazi nyingi sana za kupiga mangu, mti huu ni wa bakora yaan mkwaju ni MUAZIBU WANGA ,ila Leo tuone kwenye tiba, mkwaju unatumika kwenye KUTIBU maradhi mbali mbali MFANO majani ya ukwaju yanatibu fangasi,kusafisha kibofu cha mkojo,KUTIBU MAUMIVU ya viungo mwilini.
MAGOME NA MIZIZ
Tatizo la kukosa choo,,matatizo katika TUMBO,tatizo LA gesi,figo,pamoja na U.T.I basi kwa hakika unatibu maradhi haya tukia kuchemsha kwa kunywa au magome kusaga kunywa kwenye uji kutwa X2,
TUNDA LA UKWAJU
Kuomdoa kemikali sumu lehamu mwilini,KUTIBU tatzo LA mmeng'enyo na ni antiseptic inayouwa bacteria na kuzuia wadudu wasikae katika ngozi .
TIBA YA UKWAJU HOMA ZA MARA KWA MARA.
kunywa juice ya ukwaju ili kukata na KUTIBU homa za Mara kwa Mara na hakika utapona kabsa na pia hakikisha juice hiyo uichanganye na manjano kidogo.
KUUNGA SEHEMU ILIYO FUNJIKA.(FRACTURE)
juice yabukwaju ukichanganya na mafuta ya ufuta weka kijiko ipate uvugu vugu kisha weka juu ya SEHEMU ILIYO vunjika.
KUTIBU NGIRI.
kunywa juice ya majani ya ukwaju kutwa X3 utapona kabsaa inshaallah.
MAUMIVU YA SIKIO
weka tone moja LA juice ya ukwaju.
Hakika utapona ajabu
KUWASHWA NA MWILI NA KUTOKWA NA VIPERE .
kama unatatzo LA kujikuna kama ukurutu or nk nasi jua hilo ni tatzo na usha tumia dawa za hospitals lakin wapi na ushatumia dawa za kisuna lakin wapi basi tumia dawa hii mujarabu ponda ponda majan


Monday, July 20, 2020

FAIDA ZA KUSOMA BISMILLAHIR RAHMAANIR RAHIIM

Ndugu yangu muislamu, Bismillahi ni aya katika aya zilizomo ndani ya qur'an na ushahidi wa jambo hili somo (Surat namli aya ya 29) na Mimtume wengi walikuwa wakiitumia BISMILLAHIR kwa mambo mbalimbali
Amesema Mwenyezi katika kitabu kitukufu. Na tunaiteremsha qu'an ambayo ni pozo na rehma kwa wanaamini (surat isaa aya 82)

Mwenye kusoma Bismillahir rahmaanir rahiim wakatia akiwa safarini mara 55 atakwenda salama na atarudi salama kwa uwezo wa Allah

Pia mwenye kutaka mum/ mke ampende mkewe/ mumewe achukue kitu kitamu kama asali au halua au tende au sukari au kitu achano penda mwenza wake na asome Bismillahir rahmaanir rahiim x 786 kisha ampe ale huyo mke/mume atampenda mumewe

Na mtu akiwa na wasiwasi na chakula ima kuna sumu au uchawi, basi wakatik wa kula asome Bismillaahil Iladhii laa yadhuru maa ismihi shaiun fil ardhwi walaa fii samaai wahuwa samiiul aliim. Kamakuna sumu itabaditilika haitomdhuru na uchawi pia utabatilika uchawi

Mtu mwenye jini mbaya.
asomewe Bismillaahir  uku ameshikwa kichwa x 786

Mwenye kuisoma mara x 50 mbele yua dhalimu au hakimu atamdhalilikia na kunyenyekea na taingiwa na uwoga moyoni mwake.

Mwenye kusoma uku ameelekea kibla na jua linachomoza siku ya jumapili idadi ya mitumie 313 harafu akamsalia Mtume mwahammad x 100 basi mwenyezi atamtekelezea kwa namna asiyoitarajia.

Mwenye kusoma x 1000 kila siku Allah atamkidhia haja zake  na ikiwa mtu amefungwa jela akawa anasoma mara elfu moja 1000 Mungu atamsaidia na atatoka jela bila kutegemea

FAIDA ZA SURAT FAT'HA (ALHAMDU)
Mwenye kusoma Surat Fat'ha x 41 kisha amuombe Mwenyezi mungu basi Allah atampoza 

Ikiwa ni mwenye madeni Allah atampa uwezo wa kuyalipa na iwapo ni dhaifu atakuwa na nguvu kadhalika yule aliyetolewa katika cheo na akataka kukirudisha cheo chake, aduu kuisoma surati fat'ha kwa namna hiyo ya 41 Allah atamrudisha cheo cahke au atampa lililo bora kuliko cheo kwa baraka na siri a surat fat'ha


DUA YA KINGA YA NYUMBA

Ikiwa mtu anataka kuikinga nyumba  yake, atatia udhu kisha atasimama kila pembe na atasoma :-
Suratil fat'ha x3 
Suratil falaq  x3 
Suratil nnaas x3

Bismillaahir rahmaanir rahiim
Alhamudu lillah rabbil aalaamin,Arrahmaanir rahiim, Maaliki yaumi ddiini, iyyaka naa'budu waiyyaaaka nastaiin ihdina swiraatwal mustaqiima, swiraatwal iladhiina anamta alyhi ghairil maghdhuubi alayhim waladhaalliiina.

                          Bismillaahir rahmaanir rahiim
Qul audhu birrabi nnasi, maaliki nnaasi, ilaahi nnaasi, min sharril was wasil khannasi, alladhii yuwas wisu fii swuduuri nnaasi, minal jinnat wannaasi.


                          Bismillaahir rahmaanir rahiim
Qul adhu birrabil falaq min sharri maa khalaqa, wamin sharri ghaasignin idhaa waqaba, wamin sharii nnaffaathaati fil uqadi, wamin sharri haasidin idhaa hasada
                          
                            Rudia aya ya mwisho x 7
wamin sharri haasidin idhaa hasada
wamin sharri haasidin idhaa hasada
wamin sharri haasidin idhaa hasada
wamin sharri haasidin idhaa hasada
wamin sharri haasidin idhaa hasada
wamin sharri haasidin idhaa hasada
wamin sharri haasidin idhaa hasada
                          
                       Bismillaahir rahmaanir rahiim
Qul huwa llahu ahad, Allahu swamad, lam yalid walam yuulad, walam yakun llahu kuf'wan ahad


kwa hiyo sura zote hizi utasomea katika kila pembe ya nyumba yako na kila ukimaliza idadi niliyoitaja utamswalia Mtume (s.a.w) x 100 na kisha utahamia pembe nyingine, mpaka umalize pembe zote za nyumba kwa uwezo wa Allah wachawi , wanga hawataingia

DUA YA KUFANYA JAMBO LOLOTE ZITO LIWE JEPESI

Ikiwa mtu ana jambo zito anataka kumuomba Allah liwe jepesi , ima kupasi kwenye masomo, au kupata kazi, au kupata mtoto au kupandishwa cheo, basi asome Surat alam nashraha na ukifika seheme inayosema FAINNA MAALUSRI YUSRA utarudia maneno hayo x 114, ukiwa idadi hiyo , kisha utamalizia mpaka mwisho.
DUA :
Bismillaahir rahmaanir rahiim
Alam nash raha laka swad raka wawadhaa' naa anka wizraka, Alladhii anqadhwa dhwahraka waraf'anna laka dhik rak fainna maal uswri yusra, inna maal usri yusra faidhaa faraghta fanswab wailaa rabbika farghab.

DUA YA BIASHARA

Mtu mwenye kusoma dua kwa ajili ya biashara yake au jambo lolote la heri inatakiwa kuanza kusoma  dua hizi
Astaghfirullah x100
Amswalie Mtume x 100
Yaa Mujibu x 100
(ukimaliza kusoma Yaa mujibu weka manuwizi yako kuhusiana na biashara yako akika utapata ajabu ila sharti uwe na udhu au uwe msafi wa mwili )

BAADA YA HAPO SOMA DUA YAKO YA BIASHARA 
Bismillaahir rahmaanir rahiim x 786
Yaa allah x 100
Yaa rahmaan x 100
Yaa rahiim x 100
Mswalie mtume (s.a.w) x 10

Dua hii utasoma kila siku kwa muda wa wiki unapofungua biashara

Friday, July 17, 2020

DAWA YA KUTIBU CHIZI

Kitunguu swahumu
Mzizi wa mmavi mavi
Kasti
Halititi
ZOTE zina bambika kwenye chupa ya maji lita 5 kwa muda siku nzima atakuwa anakunywa kutwa mara 3 nusu kikombe
  Hii ndio Kasti
Baada ya hapo andaa mafuta haya:-
Mafuta ya nazi
Mafuta ya Ndimu
Mafuta ya karafuu
karafuu maiti
halititi
Changanya vyote katika chupa utakuwa unampaka mgonjwa wako

Sunday, July 12, 2020

DAWA YA KUCHELEWA KUONGEA NA KUTEMBEA


KUNA sababu nyingi zinazopelekea mtoto kuchelewa kwwnye hatua za makuzi yake. Moja ya sababu hizo ni pamoja na ziwa la mama anayemnyonyesha iwapo ziwa litakuwa zito basi mtoto atachelewa kwenye hatua za ukuaji na uzito wa ziwa ni hali ya uhalisia wala haina tiba ila mtoto unaweza ukamtibu.
Mambo mengine ni pamoja na kuwadekeza watoto na kuwaonea huruma unakuta mtoto unri wa kukaa lakini mzazi hamkalishi kitu kingine ni kuchezewa na wenda usiku hasadi za watu wanaokuja kumuangalia vifungo nk nishaeleza kuhusu kumkinga mtoto soma somo liliopita kwenye ukurasa wangu
Hapa ntaeleza njia tatu rahsi zisizokuwa na madhara, kuna nadharia nyingi huelezwa juu ya dawa za watoto ila usikurupuke nyingi zina madhara.
Njia ya kwanza
Muamshe asubuhi kabla watu wote kuamka Mfagie miguuni na mfagie unyayo kisha muweke mlango wa nje katikati msukume polepole na ufagio atoke nje funga mlango akiwa nje atalia kdg then mchukue atatembea tu
Fanya hivyo mara kadhaa hii dawa ya asili za mababu na mabibi
Njia ya pili
Chukuwa ganda La mdizi lile la nje yaani kamba ya mgomba uiweke barabarani hakikisha gari au Pikipiki inakanyaga alafu mfunge kiunoni kwa siku Moja alafu umvuwe
Kama umenfunga asubuhi basi mpaka kesho asubuhi
Hakikisha ni kamba ya mgomba ile iliyokauka unamfunga kama kina mama mnavyofunga shanga zenu.
Njia ya tatu
Wakati ukipika ugali vizia maji yakiwa yamechemka kabla hujatia unga toa maji kidogo kisha endelea na zoez la upish ukimaliza angalia maji yapoe kidogo mnywishe kisha muweke kwenye beseni na umkande kwa mikono yako kutoka kiunoni kushuka chini na hayo maji.
Muhimu angalia njia rahisi kwako kwa mfanyia subiri mrejesho haitapita majuma matatu utapata majibu muweke mtoto na watoto wenzie apate kuchangamka mpe vyakula vyakumchangamsha
Sasa wapo wanaosema umkande miguuni na nguo yako ya ndani huweza kumsababishia nuksi mtoto na maradhi pia wengine husema umfunge kucha ya kuku miguun hakikisha huyo kuku ni jinsia ya mtoto vinginevyo utamsumbua kuna vtu vingi acha niishie hapo
mtoto kuchelewa kuzungumza tafuta
udi karaha tunda za rozi na sukar mawe. Utazisaga zote ziwe unga weka zote gm 20
Matumiz chukua kikombe cha kahawa weka maji kidog vuguvugu tia kijiko kimoja unga huo na kijiko kimoja cha asali
Tumia 1mara 3 kwa muda siku30
Yaan icho kikombe cha kahawa igawe mara tatu asubuh mchanw na jion
Hii pia inasaidia kwa mtu aliyepinda mdomo
Kwa mtoto mwenye kigugumizi mchemshie mizizi ya mbaazi kwa siku 21 kila ck anywe mara mbili jinsi ya kwenda kuchuma mzizi ili uwe dawa

KUMSHIKA MUME KATIKA MAPENZI

KUMSHIKA MWANAUME KATIKA MAPENZI ; 
Kumshika mwanaume katika mapenzi, wachawi huchukua njiwa wawili jike dume walio zaliwa kiota kimoja pamoja na kiota chake, kisha njiwa hao huchinjwa , hupasuluwa na mioyo yao hunyofolewa, huchemshwa kwenye mafuta ya mti mmoja unapatikana porini, halafu husagwa hadi kuwa unga unga. Baada ya hapo huchukua njugu mawe nyeusi moja, huchanganya na mti unaitwa mlama, pamoja na miti mingine mitatu ya porini, kisha husagwa pamoja na ile mizoga ya njiwa.
Vyote hivi kwa pamoja, huchanganywa na vizimba vitatu vya ndumba za kichawi, halafu mwanaume huwekewa kwenye chakula, basi mwanaume huyo atakuwa hasemi chochote kwa mwanamke huyo.Mwanamke atakuwa mama ake atakuwa baba ake. Ni uchawi mbaya sana huu

Friday, July 10, 2020

MVUJE


DAWA ZA ASILI 'MVUJE FAIDA NA MATUMIZI' WATOTO WACHANGA, MAMA NA BABA
MVUJE umeagawanyika katika sehemu tatu majani mafuta na donge yaani kipande. Ungana nami kwenye makala haya kufahamu faida na matumizi yake katika afya hususani watoto wachanga
Kwa watoto wachanga wanaolia na kustuka usiku unaweza kumfunga donge la mvuje mkononi na kitambaa cheusi kisha ukamkogesha kwa maji yaliyochanganywa na majani ya mvuje haltiti na kiberiti upele chemsha muogesha siku tatu tu asubuhi na jion.Hii hutokaa kusikia  kabisa watoto kulia lakini pia humkinga watu wabaya ambayo wanakuja kumuangalia mtoto.
Hata watu wazima wanaoota ndoto za kuingiliwa kimwili usiku wanaweza kujifunga mvuje kama kinga ya kumzuia kuja kukuingilia huku ukifuata taratibu za kumtoa huyo jini.
Mtu aliyekumba jini mbaya unaweza ukamfusha na nyungu ya mvuje kama huduma ya kwanza huku taratibu zingine zikifuata.
FAIDA ZA MAFUTA YA MVUJE
1.Huondoa degedege kwa watoto utampaka mwili mzima 

    na kumnusisha kidogo puani
2.Mafuta yake ni kinga dhidi ya Jinamizi paka usiku wakat 
   wa kulala
3.Wale wenye tatizo la kuota ndoto mbaya mpatie mafuta 
    ya Mvuje
4.Maradhi ya kupooza viungo vya mwili(kupararaizi). Hii 
    hutegemea na aina ya palalazi kuna palalaizi ya misuli 
    kusinyaa na ya jini kila aina ina utibabu wake fika ofisini 
    uchunguzwe
FAIDA NA MATUMIZI YA MAJANI YA MVUJE
KUONDOA MADOA NA CHUNUSI : Unatwanga a-majani yake kisha unakamulia maji ya ndimu na kuyapaka usoni inaondoa machunusi na madoa sugu usoni. Unapakaa kila siku mara 1 mpaka madoa yanapotea.
Muhimu mvuje unaoatiakana maporini na majumbani mvuje wa donge na mafuta yanapatikana maduka ya dawa asili


USEMBE WA KIOZI AU KIROKOTE

Usembe huu unaitwa kiozi au kirokote.
Jinsi ya kutengeneza usembe huu chukua matambaa ya kuokota jalalani ila  yawe 7 meusi ya maeneo tofauti.
Chukua vifuu dume vya majalalani vya maeneo tofauti 7
Maandalizi:
Vitambaa na vifuu vitaunguzwa pamoja, kisha utapata unga wake vyote kwa pamoja utafunga katika  kitambaa cheusi unaufunga usembe huo na utafukia katika kaburi la jauza siku .... (hapa sitotaja siku ) ikiwa mtu anaitaji usembe huu  anitafute kwa simu +255655531702 ,+255623450753,+255766105099, kisha utaanza matumizi yake.
Matumizi yake kama ifuatavyo:
Endapo wachawi wanakufuata fuata utachua nnta na kata kucha zake miguuni na mikono na mchanga wakivule chako uchote saa 6:30 mchana alafu chukua nywele pembe nne kichwani kwa muhusika. Changanya vyote kwa pamoja kwewnye nnta alafu pasua mafungu matatu.

Nnta ya kwanza: katumbukize choo cha shimo kwa manuwizi yafuatayo:- Mimi fulani bin fulani nimeingia chooni na hiki ni choo watu wana kunya mavi  kama kuna mtu anaye ingia chooni uku ana fulahi ama kula chakula umu chooni basi wachawi wanifatilie na kama wananununa na kutema mate basi wachawi wanitememate na kila mtu mbaya yoyote akifikilia kunifanyia ubaya  mawazo yake ya badilike na kunidharau wasinifanyie ubaya.

Nnta ya pili: Itaenda kuwekwa  kwenye kisima sahau au kisima kilichokufa kwa matumizi.
Hiki kisima kilikua kinachotwa maji na wanawake na wanaume na watoto na wakubwa na sasa akitumiki tena kimeachwa na kusahaulika na ndivyo wachawi wanisahau mimi kama kilivyo sahaulika kisima hiki.

Nnta ya tatu: Unaenda kufukia katika kaburi la mtu asiye julikana(yaani wamelisahau ndugu zake)
Huyu marehemu ajulikani na ndugu zake kama hajulikani na ndugu zake basi namimi wachawi wote wanisahahu jama alivyo sahaulika marehemu na ndugu zake.

NB: Zingatia kwamba kabla ya kufukia nnta yako hakikisha unatoa sadaka kama vile shilingi, unga, au nafaka kamavile mtama.

Usembe huu: ukisha kamilika ni hatari sana watu wabaya yaani wachawi hata kwa watu wanaopenda kuongelea maneo ya watu mtahani ukiutumia utakuwa umewakomesha utosika maneno ya umbea juu yako na kama utawakusudia wachawi awatokufatilia tena na kusahau hata wakikuangalia katika rada zao hauto onekana.


Ikiwa mtu anaitaji usembe huu wasiliana na 
Dr. Kamfirimbisi
kupitia namba +25565531702 ,+255623450753, +255766105099

Friday, July 3, 2020

KIBOKO YA KUFUNGA JAMBO LOLOTE

Tarasimu hii inakazi kubwa sana:
Ikiwa mtu unataka kumfungia ridhiki zake au kufunga milango yake basi andika tarasimu hii simu ya Jumanne kati ya saa 1 au 8 . Kisha jaza majina yake huyo adui akika atachukiwa na kila mtu na kufungika kila jambo analofanya alitofanikiwa Tu muogope mungu wajombaaa

KUFURI YA KUFUNGA MTU MDOMO

Namu leo tuangalie kufuri hii na kazi zake:
Kufuri hii inafanya kazi nyingi sana katika Tiba  kazi yake kubwa ni ukitaka kufunga mdomo mtu mshari iwe mahakama, nyumbani , kazini akika utakuwa umefunga mdomo  wake hatamkionana uso kwa uso
Matumizi:
Chora tarasimu hiyo kisha andika jina la unaetaka kumfunga mdomo na manuwizi yako. Nenda kafukie ima jaralani,katika kisiki kilicho katwa akija malizwa zote nk .....

Thursday, June 25, 2020

KINGA

TALASIMU YA KINGA YA NYUMBA, BIASHARA,WEZI
Talasimu hii utaandika siku ya Alhamis saa 1 au 8 kwa kutumia peni nyekundu ukisha maliza kuandika tafuta majumba ya konokono au pembe za ng'ombe mwezi weka pande 4 za eneo unalotaka kulikinga 
Endapo unaitaji kinga hii basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa chini



Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI

MVUTO


Ni mvuto katika mivuto  mizuri ni mujarabu sana na unamilikiwa na Allah na funguo yake ipo kwake  huu mvuto umeiba au umebeba pande 4 na umekamata mashariki, magharibi, kusini na kaskazin na lina umbo 8 na majina ya maraika wakubwa 4 na majini wake wakfu hii kama utaichora siku ya Ijumaa saa ya Zuhura na kusomea Aramnashraha au Ayat qursiyu au barahatiih au Abjadi kuanzia jina la kwanza mpaka jina 3x666.Ukiweka ofisini itajaza watu sana na kama utatembea nayo wakfu huu basi utakua na cheo na mvuto mkubwa mnoo na ukiweka nyumbani wageni awatokauka.

JINI BEDUUH

JINI HUYU ANAITWA BEDUUH:

Anabadilika kwenye rangi nyingi mnoo unaweza kumuona kwa umbo la nyoka pia anakuja kwenye umbo la mtu mwenye nguvu sana ni mwanaume jini huyu ni mzuri sana.Ana kazi nyingi sana na Mushtara ndio  muda wake huyu naamkiumbe hyuyu anafanya kazi nyingi endapo utakaariadha ya jini huyu kwanza kwako atakae kuja mgonjwa huyu ato kushida tena ni muda wa siku 3 majibu safi.
1.Kumrudisha mtu aliepotea/kukimbia me/ke
2.Rimbwata la aina yoyote
3.Kupatanisha walio gombana
4.Kuuwa mtu
5.Kumpa mtu ugonjwa umtakao
6. Kusafiri pasipo kupanda chombo chovhote
7. Kumiliki pesa
Jini huyu ndio kazi zake lakini jua kila kiumbe anatabia yake jini huyu tabia yake kubwa ni kwenye mapenzi



Contact Form

Name

Email *

Message *