Ikiwa mtu ana jambo zito anataka kumuomba Allah liwe jepesi , ima kupasi kwenye masomo, au kupata kazi, au kupata mtoto au kupandishwa cheo, basi asome Surat alam nashraha na ukifika seheme inayosema FAINNA MAALUSRI YUSRA utarudia maneno hayo x 114, ukiwa idadi hiyo , kisha utamalizia mpaka mwisho.
DUA :
DUA :
Bismillaahir rahmaanir rahiim
Alam nash raha laka swad raka wawadhaa' naa anka wizraka, Alladhii anqadhwa dhwahraka waraf'anna laka dhik rak fainna maal uswri yusra, inna maal usri yusra faidhaa faraghta fanswab wailaa rabbika farghab.