Wednesday, May 13, 2020

NGILI

Dr. Kamfirimbisi nimekuja kufundisha somo la ngiri sehemu ya kwanza nitachambua kwa uchache kwa leo twende tuanze somo letu:-
Ngiri hujulikana pia kama “Hernia” kwa Kiingereza. Ugonjwa wa mshipa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kutokana na misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi na kupelekea viungo hivyo kutoshikiliwa vizuri katika sehemu vinapostahili kuwepo.


Tunaweza kuufahamu zaidi ugonjwa wa ngiri kama hali inayotokea katika mwili ambapo sehemu fulani ya nyama ya viungo mbalimbali vya mwili hujipenyeza kupitia sehemu iliyo dhaifu ya mwili na kutokeza upande wa pili. Sehemu inayoathiriwa mara nyingi ni maeneo ya tumbo, kokwa, korodani na kadhalika ambapo baadhi ya viungo vya mwili vilivyomo tumboni hujipenyeza kupitia vitundu vinavopitisha mishipa ya fahamu inayohudumia kokwa (Spesmatic Cord), hivyo baada ya kujipenyeza huteremka hadi ndani ya korodani hali ambayo hukamilisha kuwepo kwa ugonjwa wa mshipa wa ngiri.

Sehemu ambazo Ngiri inaweza kutokea ni pamoja na maeneo ya:-

a)Tumboni

b)Eneo la kinena

c)Eneo la paja kwa juu

d)Eneo ambalo mtu amewahi kufanyiwa upasuaji siku  za nyuma

e)Kifuani

Ugonjwa huu wa ngiri unawapata watu wa jinsia zote na wa umri wowote

AINA ZA NGIRI

Ugonjwa wa mshipa wa ngiri unaweza kujitokeza maeneo mbalimbali ya mwili na aina ya ngiri hutegemea na sehemu ngiri ilipojitokeza.

NGIRI MAJI

Hii ni aina ya ngiri ijulikanayo pia kwa kitaalamu kama (hydrocele)

NGIRI KAVU (HERNIA)

Hujulikana pia kama ‘fermoral hernia’ kwa wanawake na huitwa ‘scrotal hernia’ kwa wanaume.

Ngiri ya kwenye kifua Hujulikana pia kitaalamu kama ‘hiatus hernia’

NGIRI YA TUMBO  Hujulikana pia kama ‘Abdominal Hernia’

NGIRI YA KWENYE KITOVU

Hujulikana pia kama ‘Umbilical Hernia”.

NGIRI YA SEHEMU YA HAJA KUBWA

Hujulikana pia kama ‘Anal Hernia’

DALILI ZAKE KWA MWANAUME:

DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI

Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.

Nazo ndizo hizi zifuatazo:-

1.Kubana tumbo hasa chini ya kitovu wakati wa baridi 

    au unapokula vitu vitamu.

2.Kupiga mingurumo tumboni.

3. Kujaa gesi tumboni.

4. Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.

5. Kupata haja ngumu kama ya mbuzi.

6. Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.

7. Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.

8. Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu

     inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.

9.  Nuru ya macho hupotea taratibu.

10. Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo 
      kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.

11. Huvutwa makende au upande mmoja maumivu.

12. Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na 
      pembeni karibu na tupu.

13. Maumivu makali ya mgongo au kiuno

14. Uume kusinyaa na kunywea kama wa mtoto

Hizo ni dalili chache endapo ukiwa na dalili moja wapo kati ya hiyo basi ww juwa kuwa una ngiri wasiliana na Dr. kamfirimbisi kupata tiba ya kuondoa tatizo ilo kwa muda mfupi


DR. KAMFIRIMBISI kwa namba :-
+255655531702 /+255766105099
+255623450753
 au tembelea blog yake drkamfirimbisi82.blogspot.com
Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia link ya whatsapp hapa chini

Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI   
  

Contact Form

Name

Email *

Message *