Ndugu yangu muislamu, Bismillahi ni aya katika aya zilizomo ndani ya qur'an na ushahidi wa jambo hili somo (Surat namli aya ya 29) na Mimtume wengi walikuwa wakiitumia BISMILLAHIR kwa mambo mbalimbali
Amesema Mwenyezi katika kitabu kitukufu. Na tunaiteremsha qu'an ambayo ni pozo na rehma kwa wanaamini (surat isaa aya 82)
Mwenye kusoma Bismillahir rahmaanir rahiim wakatia akiwa safarini mara 55 atakwenda salama na atarudi salama kwa uwezo wa Allah
Pia mwenye kutaka mum/ mke ampende mkewe/ mumewe achukue kitu kitamu kama asali au halua au tende au sukari au kitu achano penda mwenza wake na asome Bismillahir rahmaanir rahiim x 786 kisha ampe ale huyo mke/mume atampenda mumewe
Na mtu akiwa na wasiwasi na chakula ima kuna sumu au uchawi, basi wakatik wa kula asome Bismillaahil Iladhii laa yadhuru maa ismihi shaiun fil ardhwi walaa fii samaai wahuwa samiiul aliim. Kamakuna sumu itabaditilika haitomdhuru na uchawi pia utabatilika uchawi
Mtu mwenye jini mbaya.
asomewe Bismillaahir uku ameshikwa kichwa x 786
Mwenye kuisoma mara x 50 mbele yua dhalimu au hakimu atamdhalilikia na kunyenyekea na taingiwa na uwoga moyoni mwake.
Mwenye kusoma uku ameelekea kibla na jua linachomoza siku ya jumapili idadi ya mitumie 313 harafu akamsalia Mtume mwahammad x 100 basi mwenyezi atamtekelezea kwa namna asiyoitarajia.
Mwenye kusoma x 1000 kila siku Allah atamkidhia haja zake na ikiwa mtu amefungwa jela akawa anasoma mara elfu moja 1000 Mungu atamsaidia na atatoka jela bila kutegemea
FAIDA ZA SURAT FAT'HA (ALHAMDU)
Mwenye kusoma Surat Fat'ha x 41 kisha amuombe Mwenyezi mungu basi Allah atampoza
Ikiwa ni mwenye madeni Allah atampa uwezo wa kuyalipa na iwapo ni dhaifu atakuwa na nguvu kadhalika yule aliyetolewa katika cheo na akataka kukirudisha cheo chake, aduu kuisoma surati fat'ha kwa namna hiyo ya 41 Allah atamrudisha cheo cahke au atampa lililo bora kuliko cheo kwa baraka na siri a surat fat'ha