Showing posts with label MIGUU KUFA GANZI. Show all posts
Showing posts with label MIGUU KUFA GANZI. Show all posts

Saturday, June 6, 2020

MAUMIVU YA MGONGO


MAUMIVU YA MGONGO


Katika maisha ya binadamu mara moja moja hukutana na huu ugonjwa wa kuumwa na kiuno 
hutegemeana na ukubwa wa tatizo kuna unao weza kuuma kwa mda na mwingine kuumwa kabisa na kua ni ugonjwa wake kias cha kushindwa kutembea 

sababu ni nying kutegemeana na chanzo cha tatizo

KUNYANYUA VITU VIZITO
Mara  nyingi watu haswa wakina mama wanakua ni wahanga wa huu ugonjwa wa mgongo bila kujua tatizo hulisababisha kwa kunyanyua vitu vizito mfano ndoo huku akiwa ameinama na kusababisha misuli ya iuno kuvuta

MISULI KUUMA

Hutegemeana na sababu ila mfano wa hapo juu unapo nyanyua vitu vizito vibaya mfano ndoo kubwa ya maji ukiwa wima una pelekea maumivu ya pingili za uti wa mgongo kwa sababu hiyo misuli ya mgongo hujiminya na kua midogo kulinda uti wa mgongo na unapata maumivu makali

PINGILI ZA UTI WA MGONGO

Katika uti wa mgongo kuna pingili 33 na kila moja ikifanya kaz yake sasa katika hizo pingili zipo kama donati na hua zinazungukwa na mafuta pindi inapo jisugua kwa kukosa mafuta husababisha maumivu kushuka mpaka miguuni kwa maumivu

MKAO MBAYA NA MUONDOKO 

mara nying watu wenye kusimama mda mrefu hua ni wenye kupata na tatizo la pressure tofaut na pressure pia swala la mgongo kuwa uma ni swala ambalo lipo kwao sana kwa sababu ya mkandamizo wa mkao mbaya wa kusimama kwa mda mrefu pia watu wenye kushinda kwenye kuendesha magar pia wale wenye kukaa vibaya kwenye computer kwa mda mrefu

kuondoka ghafla kwa kishindo husababisha kama nilivyo sema mvutiko wa misuli ya kiuno na kupelekea maumivu makali

MAGONJWA KAMA JIWE KATIKA FIGO , UTI NA ARTHRITIS 

Moja ya sababu nyingine ni kua na jiwe kwenye njia ya figo inapelekea mtu kuumwa na kiuno pia magonjwa ya njia ya mkojo husababisha kiuno kuuma mfano wake ni kama UTI hupelekea maumivu makali sana ya kiuno
Pia kuna ugonjwa ambao ni haru yabis huu husambulia mifupa na kupelelkea maumivu ya mifupa na pia maumivu ya kiuno

PIA KUNA  MAMA KUA MJAMZITO MWANAUME KUA NA KITAMBI NA VINGINE MAANA NAKUMBUKA UKIWA KIJANA UKISKIKA UNA UMWA MGONGO UNAAMBIWA OA BHANA UONDOKANE NA TATIZO HILO

NAMNA YA KUTIBU UGONJWA HUU

NJIA YA KWANZA

TUMIA MAJI YENYE JOTO WEKA KWENYE CHUPA MFANO YA FANTA YALE MACHUPA MAKUBWA 


LALIA UKIWA MIGUU YAKO IPO JUU LALIA CHUPA HIYO KWENYE MGONGO WAKO  NDAN YA DAKIKA 15 AU CHINI HAPO 
NJIA YA PILI 

CHANGANYA MAFUTA YA NANAA , HABAT SAUDA NA MKARATUSI   TUMIA KUJICHUA HAKIKISHA HUSUGUI MFUPA KAMA UNAVYO SHAURIWA NA WANA MASSAGE FANYA KUMASSAGE MPAKA CHINI YA KIUNO KWA SIKU MARA MBILI KWA UWEZO WA ALLAH UTATIBIKA 

Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa chini


Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI


TIBA MBALIMBALI

Tiba   Ya   Miguu   Kuwaka  Moto: Chukua  majani  ya  mti  wa  Mvumbasi, unguza  pamoja  na majani ya  mti  wa  mnungunungu, halafu changanya na  mafuta  ya  taa  lita  moja. Matumizi:  Utakuwa unatumia  kujichua kwenye  miguu  kutwa  mara  tatu  kwa  muda  wa  siku  thelathini. Utapata  nafuu  kubwa  sana.
    TIBA   YA  KIKOHOZI: Tafuna  majani  ya  mti wa mbaazi. Mbali  na  kutibu  kikohozi, mti  wa mbaazi, unatibu  magonjwa mengine  mengi.  Mfano, mizizi ya  mti wa  mmbaazi, husaidia  kutibu  chango la  kiume  na  kusafisha kibofu cha  mkojo.
    KUVIMBA  KWA  TEZI LA  SHINGO

    Kama una  sumbuliwa  na  tatizo  la  tezi kuvimba, chukua  unga  wa  Kamun Nyeusi, kisha  changanya  na sega  la  nyuki, halafu  tumia  kukanda kwenye  tezi, kila  siku  kwa  muda wa mwezi  mmoja. Utapata mafanikio  makubwa  sana.
         TIBA  YA MAUMIVU  YA  MGONGO, MIGUU, NYONGA NA  KIFUA  KUPASUA:



    Kama una  sumbuliwa  na  maumivu  ya  mgongo, miguu, nyonga  na  kifua  kupasuka, fuata  maelekezo  yafuatayo:Chukua mafuta  ya  nyonyo robo lita, mafuta ya   Kamun Nyeusi kiasi cha robo lita pamoja  na  mafuta ya  karafuu robo  lita , changanya  pamoja  halafu  uwe  unatumia  kujichua  sehemu yenye  maumivu, kutwa  mara tatu  kwa siku  thelathini. Utapata  nafuu  kubwa sana.
TIBA  YA  KWIKWI : Kama unasumbuliwa  na  kwikwi, fuata  maelekezo  yafuatayo : Chukua  majani ya  mwembe  mkavu, pekecha  kisha  mpe  mgonjwa  atumie  kuvuta  kama  sigara  halafu awe  anameza moshi.  Tatizo  la  kwikwi  litaisha. 
    Tatizo  La  Kukojoa  Kitandani ;  Kama  una  tatizo  la  kukojoa  kitandani, tumia mizizi ya  mbaazi  kwa  kuchemsha, na  kunywa  maji  yake  kutwa mara  mbili  kwa  siku, kwa muda wa siku  kumi  na  nne.
     Tatizo  la  uvimbe  kwenye  kizazi :  Kama  una  tatizo  la  uvimbe  kwenye  kizazi, chukua  mizizi  ya  mtopetope,  tumia kwa  kuchemsha  na kisha  kunywa  maji  yake, mara  tatu  kutwa  kwa siku  thelathini.
     Vidonda  vya  koo : Kama una  tatizo  la  vidonda  vya  koo, chukua maji  ya  uvuguvugu kiasi  cha nusu  lita, kisha  kamulia  ndimu  tatu fresh, halafu  tumia  kusukutulia. Utafanya  hivyo  mpaka, utakapo  pata  nafuu.
       Malaria sugu :  Kama  una  malaria sugu, chukua  maji  ya  dafu  moja, weka  kwenye chombo  kisafi, kisha  kamulia  ndimu  saba, halafu  tumia  kunywa. Fanya  hivyo  mara  mbili  kwa  siku, asubuhi  na  jioni  kwa  siku  tatu hadi  saba. Hakika  utapata  matokeo  mazuri  sana.
    Tiba  ya  tatizo  la kutoa harufu  mbaya  kinywani, sehemu  za  siri, kikwapa  na  jasho lenye  harufu  mbaya :   Chukua  maji  yaliyo  lowekewa  mchele  kiasi  cha  lita  moja, kisha  tumia  kunawia  sehemu  husika  na  kusukutulia  mdomo. Utafanya  hivyo mara  tatu  kwa  siku  hadi  utakapo  ridhika  na  matokeo  unayo  yahitaji.
        Kwa wakina  mama; Jinsi yakuzuia uchungu wamimba,maumivu yakiuno, maumivu wakati wahedhi, na damu itokayo bila mpangilio wasiku maalumu,Chukua majani ya mbigili yatwange halafu changanya navijiko vitatu  vikubwa  vya unga wa mti unaitwa msonobali kisha  tumia kunywa glasi 1 yenye  ujazo  wa  milimita  mia  mbili  na  hamsini,  kutwa  mara  tatu hadi  hali yako  itakapokua nzuri
        Tiba  Ya Vidonda  Vya  Tumbo,Kisukari  pamoja   na  Typhoid:
Chukua mizizi ya mti wa  msongati pamoja na majani ya mkalatusi  vitwange kwa pamoja  kisha  chemsha  kwenye  maji  lita moja,  halafu tumia  kunywa glasi moja ya  robo  lita, mara  tatu kwa  siku  kwa  siku  thelathini. 
Tiba  Ya  Tatizo  La  Kukosa  Hamu  Ya  Tendo La  Ndoa  Kwa  Wanawake :   Kama  wewe  ni  mwanamke  unaye  sumbuliwa  na  tatizo  la  kukosa  hamu ya  tendo  la  ndoa,  unaweza  kutibu  tatizo  lako  kwa  kutumia  vyakula  mbalimbali  kama  ifuatavyo :
i.               JUISI  YA  MIWA :  Tumia  kunywa  nusu lita  hadi  lita  moja  ya  juisi  ya  miwa, mara  tatu  kwa  siku asubuhi, mchana  na  jioni  kwa  siku  thelathini. Utapata  matokeo  mazuri. Mbali  na  kuwasaidia  akina  mama  wenye  tatizo  la  kukosa  hamu  ya  tendo  la  ndoa, juisi  ya  miwa  ina  faida  nyingine  nyingi  kitabibu. Moja kati  ya  faida  kubwa  za  juisi  ya  miwa, ni  uwezo  wake  mkubwa  wa  kusafisha  figo. Hivyo  hata  wanaume  wanashauriwa  kutumia  juisi  ya  miwa  au  miwa  kwa  wingi,kwa  sababu  inasaidia  kusafisha  figo, na  figo  ni  moja  kati  ya  ogani  muhimu  sana  katika  mfumo  wa  nguvu za  kiume.
ii.             MBEGU ZA FENESI : 


        Chukua  mbegu za  fenesi  kiasi  cha  robo kilo,  kisha  chemsha  na  maji lita  mbili, halafu  tumia  kula  pamoja  na  supu yake. Utafanya  hivyo  mara  tatu  kwa  siku kwa  muda  wa  siku  thelathini. Hakika  utapata  matokeo  mazuri  sana.  Unaweza  pia  kuzisaga  na  kutumia  unga  wake, kwa  kuchemsha  na kunywa, kwa  kufuata  utaratibu  huo  hapo  juu.
iii.          KOROSHO : Tumia  kula  korosho  pakti  moja  yenye  ujazo wa  robo  kilo, mara  tatu kwa  siku, asubuhi, mchana  na  jioni  kwa  siku  thelathini. Yaani  asubuhi, tumia  robo kilo, mchana  robo  kilo  na  jioni  robo  kilo kwa siku  thelathini. Utapata  matokeo  mazuri.
iv.           MIHOGO  MIBICHI : 

        Tumia  kutafuna  walau  vipande  vitatu  vya  mihogo  mibichi  kwa  siku, kwa muda  wa  siku  thelathini. Yaani  asubuhi  utumie  kipande  kimoja  kikubwa,mchana kipande  kimoja  kikubwa  na  usiku, utumie  kipande  kimoja  kikubwa.
TIBA  ASILIA  YA  TATIZO  KIFUA KISICHO PONA  KWA WATOTO  WADOGO WALIO KUNYWA UCHAFU WAKATI WA KUZALIWA, PUMU, KIFUA KISICHO PONA KWA WATU WAZIMA,KICHOMI,KUWASHWA MWILI NAKUPALIWA WAKATI UMELALA USINGIZINI
Tiba  Yake, chukua majani  ya  mpera kiasi  cha kama  viganja  vinne, yaponde  pamoja  na magome  ya  muembe kiasi  cha viganja  vinne, na  tunda  la  koma manga, twanga  vyote  kwa  pamoja  ( Yani majani  ya  mpera, magome  ya  muembe na tunda  moja  la  komamanga ).
Ukisha  maliza  kutwanga, changanya  na  maji  lita mbili  halafu  chemsha  pamoja na lita  moja  ya  asali mbichi  ya  nyuki  wadogo. 
 
Chemsha  hadi  itokote, halafu  ipua  dawa  yako.
 
Matumizi : Kwa  mtoto  mdogo mwenye  umri wa  kati ya  mwaka  mmoja na  miaka  mitano, tumia  kumpa  kijiko kimoja  kikubwa  mara  mbili kwa  siku, asubuhi  na  jioni n  kwa  siku  saba.
 
Na kwa  mtu mzima, tumia  kunywa  vijiko  vikubwa   viwili  mara  mbili  kwa siku  asubuhi na  jioni, kwa siku  ishirini  na  moja

KUJITIBU  TATIZO LA  MTOTO  WA  JICHO :  Kujitibu  mtoto  wa  jicho, tumia  kunyunyizia  jichoni  matone mawili ya  utomvu  wa toto la  ndizi. Fanya  hivyo  mara  tatu  kwa  siku, asubuhi, mchana  na  jioni kwa  siku  thelathini. Utapata  matokeo mazuri.Mbali  na  kutibu  tatizo  la mtoto  wa  jicho, toto la ndizi, likichanganywa  kitaalamu  na  wine  ya  mnazi ( Palm wine ) au mnazi,  husaidia  kutibu  tatizo  la  kidole  tumbo  au  appendix.
TIBA  ASILIA  YA  KUPUNGUZA  GESITUMBONI
Kuondoa  gesi tumboni, kwa  kutumia  tiba  asilia, chukua juisi ya kitunguu maji kiasi cha glasi moja yenye  ujazo  wa  milimita  mia  mbili  na  hamsini,kisha changanya  na asali mbichi kijiko kimoja  koroga  halafu tumia  kunywa .
Utafanya hivyo  mara tatu kwa siku kwa  muda  wa  siku  kumi  na  nne.
AU  chukua  kipande  kimoja  cha  tangawizi,kiponde ponde  kisha  chemsha  kwenye nusu lita ya  maji pamoja  na  kijiko  kimoja kikubwa  cha  asali  mbichi  ya  nyuki wadogo, halafu  tumia kunywa  kutwa  mara  mbili  kwa  siku  ishirini na  moja.
AU ; Chukua asali  mbichi  ya  nyuki  wadogo  kiasi  cha  robo  lita,  changanya  na vijiko  vitatu  vikubwa  vya  unga  wa  Kamun nyeusi,kisha chemsha  pamoja  kwenye  maji  lita  moja.Halafu tumia kula  vijiko  vikubwa  vitatu  kutwa  mara  tatu kwa  siku  ishirini  na  moja.
TIBA  YA  PUMU :  Chukua magadi vijiko vikubwa  vitatu, saga  upate  unga wake, kisha  changanya  na samli ya  n’gombe   vijiko 21  vikubwa na  asali  vijiko 30 vikubwa. Matumizi : Tumia  kula  vijiko  vikubwa  vitatu  asubuhi, vitatu  jioni na  vitatu  usiku kwa  muda  wa  siku  thelathini.  Utapata  nafuu  kubwa  sana.
      TIBA  ASILIA  YA  KIHARUSI  NA  KIFAFA:
Chukua mizizi  mitatu  ya  mti  wa  ukwaju, mizizi  mitatu  ya  mti  wa  mkungu, mizizi  mitatu  ya mpapai, pamoja  na  mizizi  mitatu  ya mti  wa  ufwambo.  Iponde  ponde  yote  kisha  chemsha  kwa  pamoja  kwenye  maji  ya  lita tatu  hadi  yachemke. Tumia  kumpa  mgonjwa  glasi  moja, kutwa  mara  tatu kwa  siku  thelathini. Mgonjwa  wako  atapata  nafuu  kubwa  sana.
TIBA   ASILIA YA FANGASI ZA   KWENYE DAMU, UKURUTU, UPELE, MCHAFUKO WA DAMU, PAMOJA  NA KUWASHWA  KWAMWILI.
Chemsha  robo  kilo  ya  majani  ya  mti  wa  mdimu kwenye  maji kiasi cha  lita  mbili. Maji yakisha   tokota, ipua  chuja, halafu  tumia  kunywa  glasi mbili  asubuhi, mbili  mchana, mbili  jioni. Utafanya  hivyo  kwa  muda  wa  siku thelathini.  Hakika  utapata  nafuu  kubwa  sana.
TIBA   ASILIA  YA  MARADHI YA FANGASI ZA MIGUU NA KUNUKA MIGUU.
Twanga  majani ya  mwarobaini  robo  kilo,  chemsha  na  maji lita  tano, kisha weka  kwenye  beseni  halafu  loweka  miguu  yako ndani  ya  beseni  kwa  muda  wa  lisaa  limoja. Utafanya  hivyo  kutwa  mara  mbili kwa muda  siku  kumi  na  nne. Utapata  matokeo  mazuri sana.
 AU  chukua majivu kiasi  cha  robo kilo,changanya  na robo  lita ya  juisi  ya  ndimu, kisha  nyunyizia  kwenye  miguu, na ukae kwa  lisaa  limoja. Utafanya  hivyo  mara mbili  kwa siku  kwa  siku  thelathini. Japo inauma  lakini  ni tiba nzuri  sana.
 KUONGEZA  MAZIWA  KWA  MAMA  ANAE NYONYESHA : Chukua  majani  ya  mti  wa  ukwaju, kiasi  cha nusu kilo, kisha  chemsha  na  maji  lita tano.  Tumia kunywa glasi  tatu  asubuhi, tatu mchana, tatu  jioni kwa  muda  wa siku saba.  Hakika  utapata  matokeo  mazuri  sana. Utakuwa unafanya  hivyo  kila  mara  utakapo  hitaji kuongeza  maziwa. 


Endapo umatatizo haya basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa chini


Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI

Wednesday, May 13, 2020

MIGUU KUFA GANZI


TATIZO LA GANZI YA MIGUU NA MIKONO(MIGUU KUWAKA MOTO NA TIBA YAKE)
Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu wengine sana na ni tatizo ambalo linakera sana kwa sababu hata unapoenda hospitali Mara nyingi hawapati tatizo lolote
NINI HASWA CHANZO CHA TATIZO HILI

1:UMRI

Kawaida mtu anapokua umri umeenda, mwili mzima uzeeka pamoja na mfumo mzima wa damu, hii husababisha mishipa midogo midogo ya damu kufa, au kuziba hii husababisha chakula na hewa ya oksijeni kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali kama miguuni na vidoleni hali hii hupeleekea mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa safi hivyo ganzi hutokea

2:KISUKARI

Sukari inapokua nyingi kwenye mzunguuko wa damu hupelekea kuunguza mishipa ya damu halo hii husababisha mishipa kusinyaa ambalo hupelekea hewa ya oksijeni na chakula kutofika kwa ufadsaha maeneo ya mbali sana kama miguuni na mikononi hali hii husababisha mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa hivyo husababisha ganzi

3:DAMU NZITO

Damu inapokua nzito pia hupelekea MTU kupata tatizo LA ganzi kwa ni husababisha kutofika kwa damu kwenye mishipa midogo midogo ya damu hii hupelekea ganzi pia
4.KUKANYAGA VITU VIBAYA NJIAPATA
Baadhi ya watu wengi wamekumbwa na tatizo hili kwa kukanyaga madawa baya au matego ya watu waliotega njiapanda na kupata tatizo hilo.



Ikiwa na tatizo hili waliana na Dr. Kamfirimbisi atatatua tatizo lako
Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa chini

Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI   




Contact Form

Name

Email *

Message *