Friday, July 24, 2020

FAIDA YA MTI WA MKWAJU

TIBA KWA KUTUMIA MTI WA UKWAJU
Ukwaju ni mti mzuri sana na unamajina mengi kwa kutokana na pahari sehemu ulipo mfano:-
Ukwaju kwa rugha ya kilatini unaitwa TAMARINDUS,
pia ukija kwa wahindu wanamajina yao IMLI,
na pia kwa kingereza wanauwita TAMARIND TREE,
hizi ni baadhi ya nchi na wanavyo uwita na ukija tz wanauwita UKWAJU,UKWASU,MATE MATAMU,NCHWACHU,SHINK MEREMERE haya ni majina baadhi ya rugha na jinsi wanavyo uwita mti huu wa ukwaju mti wa ukwaju unatumika kwenye kazi nyingi mfano kutoa majini fusho LA majini pia unaingia kwenye zindiko LA kufanya mchawi akiingia apigwe bakora mpaka akome na kazi nyingi sana za kupiga mangu, mti huu ni wa bakora yaan mkwaju ni MUAZIBU WANGA ,ila Leo tuone kwenye tiba, mkwaju unatumika kwenye KUTIBU maradhi mbali mbali MFANO majani ya ukwaju yanatibu fangasi,kusafisha kibofu cha mkojo,KUTIBU MAUMIVU ya viungo mwilini.
MAGOME NA MIZIZ
Tatizo la kukosa choo,,matatizo katika TUMBO,tatizo LA gesi,figo,pamoja na U.T.I basi kwa hakika unatibu maradhi haya tukia kuchemsha kwa kunywa au magome kusaga kunywa kwenye uji kutwa X2,
TUNDA LA UKWAJU
Kuomdoa kemikali sumu lehamu mwilini,KUTIBU tatzo LA mmeng'enyo na ni antiseptic inayouwa bacteria na kuzuia wadudu wasikae katika ngozi .
TIBA YA UKWAJU HOMA ZA MARA KWA MARA.
kunywa juice ya ukwaju ili kukata na KUTIBU homa za Mara kwa Mara na hakika utapona kabsa na pia hakikisha juice hiyo uichanganye na manjano kidogo.
KUUNGA SEHEMU ILIYO FUNJIKA.(FRACTURE)
juice yabukwaju ukichanganya na mafuta ya ufuta weka kijiko ipate uvugu vugu kisha weka juu ya SEHEMU ILIYO vunjika.
KUTIBU NGIRI.
kunywa juice ya majani ya ukwaju kutwa X3 utapona kabsaa inshaallah.
MAUMIVU YA SIKIO
weka tone moja LA juice ya ukwaju.
Hakika utapona ajabu
KUWASHWA NA MWILI NA KUTOKWA NA VIPERE .
kama unatatzo LA kujikuna kama ukurutu or nk nasi jua hilo ni tatzo na usha tumia dawa za hospitals lakin wapi na ushatumia dawa za kisuna lakin wapi basi tumia dawa hii mujarabu ponda ponda majan


Contact Form

Name

Email *

Message *