Monday, July 20, 2020

DUA YA BIASHARA

Mtu mwenye kusoma dua kwa ajili ya biashara yake au jambo lolote la heri inatakiwa kuanza kusoma  dua hizi
Astaghfirullah x100
Amswalie Mtume x 100
Yaa Mujibu x 100
(ukimaliza kusoma Yaa mujibu weka manuwizi yako kuhusiana na biashara yako akika utapata ajabu ila sharti uwe na udhu au uwe msafi wa mwili )

BAADA YA HAPO SOMA DUA YAKO YA BIASHARA 
Bismillaahir rahmaanir rahiim x 786
Yaa allah x 100
Yaa rahmaan x 100
Yaa rahiim x 100
Mswalie mtume (s.a.w) x 10

Dua hii utasoma kila siku kwa muda wa wiki unapofungua biashara

Contact Form

Name

Email *

Message *