Showing posts with label UZAZI. Show all posts
Showing posts with label UZAZI. Show all posts

Sunday, July 12, 2020

TIBA YA KUFUNGUA HEDHI:

Tatizo la wanawake kukosa hedhi limekuwa ni tatizo kubwa sana, kiasi wanawake wengi huishi kwa kukosa furaha kwa kuto ona hedhi yake, wapo wanawake hukaa mpaka miezi mitatu au nane bila kupata damu hiyo ambayo kwa kutoona kwake yaweza msababishia ugumba kwamaana ya kukosa uzazi.
Lakini tatizo huwa lina sababu mbili mpaka tatu.
1 utumiaji wa njia ya uzazi wa mpango
2 majini mahaba
3 kurogwa na maradhi yote haya hutibika kwa

Jinsi ya kutibu chukua:
1 sufa ya unga
2 chumvi ya unga
changanya pamoja
kisha baada ya hapo utakuwa unachota dawa kijiko kidogo na kuweka katika maziwa ya moto kikombe kimoja na kunywa kwa kila asubuhi na usiku kwa siku 11
hedhi itafunguka lakini kama ni majini au uchawi na itakuwa bado haujaondoka kwani itakuwa ikikuejea mara kwa mara mpaka umuondoe jini husika na maradhi yako.

Monday, June 8, 2020

MTOPETOPE

KAZI ZA MTOPE TOPE
1) MTOPE TOPE NI DAWA YA UVIMBE WA TUMBO
CHUKUA MIZIZI YAKE ITWANGE ITOKE UNGA KISHA TUMIA KWENYE UJI INSHAALLAH TATIZO LITAONDOKA
2)NI DAWA YA GANZI
MIZIZI YAKE NDIO DAWA KUBWA SANA KWA MTU ALIYE NA GANZI ENDAPO UTATUMIA KWA UFASAHA ZAIDI BASI GANZI MWILINI ITATOEKA INSHAALLAH
NA KUNA KAZI ZINGINE NYINGI SANA YA MTI WA MTOPE TOPE NI MTI WENYE MAAJABU ZAIDI
PIA KWA SHIDA NA MATATIZO MBALI MBALI UNAWEZA NITEMBELEA WHATSSAP PALE ILI TUFANYE KITU CHA UHAKIKA ZAIDI NA SIO UBABAISHAJI MAANA NAMI NI MIONGONI MWA WATU WASIOPENDA UBABAISHAJI

Saturday, June 6, 2020

UZAZI

Tiba dhidi ya ukosefu wa uzazi
Leo nakuja na somo la uzazi ambalo nichangamoto kubwa kwa watu wengi duniani endelea kufatilia masomo ya Dr. kamfirimbisi upate suruhisho la tatizo lako:-
Kupata watoto katika ndoa ni mchakato wa asili ambao wanandoa huamua wakati wa ndoa yao
Inajulikana tangu kitambo ya kwamba kuwa na watoto huongeza umoja baina ya familia, hukidhi matarajio ya jamii na pia hudumisha na kuendeleza ukoo.

Hata hivyo sio wanandoa wote ambao wanataka watoto au kupanga kuwa na watoto na wanapata. Idadi ya watu ambao wana matatizo ya kushika mimba ni kubwa katika kipindi hiki. Kwa mujibu wa utafiti nilioufanya unafahamisha kuwa kwa sasa takriban wanandoa milioni 50 wanashindwa kupata watoto ingawa wamejaribu zoezi hilo kwa miaka 5.

Asilimia 15% ya wanandoa wote duniani ambao wanatamani kupata watoto wanakumbwa na matatizo ya uzazi. Kitendo cha kushindwa kutunga mimba kwa zaidi ya mwaka kinachambuliwa na wataalam kama tatizo la uzazi.

Hali hii hutokana na sababu mbalimbali ambazo baadhi yake ni rahisi kuzitatua na nyingine ni ngumu kutatuliwa. Kwa mujibu wa uchunguzi, theluthi moja ya matatizo ya uzazi katika familia zote zenye matatizo haya husababishwa na wanaume.


Theluthi nyingine ya matatizo haya huwa katika upande wa wanawake na theluthi ya mwisho huwa ni kutoka kwa wote mwanamke na mwanaume. Kwa mantiki hii, sio rahisi kutambua chanzo cha tatizo na katika ile asilimia 15% ya wanandoa wote ambao hukumbwa na tatizo hili, hawana uhakika kwamba hili tatizo linatokana na wanaume au wanawake.
Tatizo kubwa la uzazi kwa wanawake ni matatizo ya mayai ya uzazi. Wataalam wanaeleza kwamba uwezo wa msichana huwa katika kiwango kikubwa katika umri kati ya miaka 25 hadi 27 na huanza kupungua baada ya umri wa miaka 32.
Hii inamaanisha kwamba kadri saa yakibiologia inavyozidi kusonga muda wake ndivyo uwezekano wa mwanamke kushika mimba unavyopungua. Kwasababu, umri husababisha idadi na ubora wa mayai ya uzazi kupungua.
Tatizo sio hili tu bali matatizo ya homoni za uzazi, kuziba kwa mirija ya Falopian, kurundikana kwa seli nyingi kwenye mfuko wa uzazi au mapungufu ya kimaumbile husababisha mwanamke kushindwa kushika ujauzito.
Kwa wanaume matatizo ya uzazi husababishwa na uchache wa mbegu za kiume, mwendo-kasi mdogo wa mbegu hizo au kukosekana kabisa kwa nguvu za kiume. Wataalamu wanafahamisha kuwa msongo wa mawazo ndio chanzo kikubwa cha tatizo hili kwa wanaume.
Msongo wa mawazo huathiri tezi na hivyo kushindwa kuzalisha homoni.
Endelea kufatilia Tiba ya Dr. Kamfirimbisi katika Uzazi katika drkamfirimbisi.blogspot.com nazungumzia namna ya kutibu matatizo ya uzazi.

Wanandoa ambao wanahitaji kuwa na mtoto wanatakiwa kumuona mshauri au mtaalam endapo watashindwa kupata mtoto ndani ya kipindi cha mwaka mmoja. Watafanyiwa uchunguzi na chanzo cha tatizo lao kitajulikana.
Kisha wataaalam hawa watashauri tiba kulingana na tatizo lilivyo.
Katika baadhi ya matatizo huwezwa kutibiwa kwa muda mfupi kwa kutumia madawa kwa mwanaume au kwa mwanamke.


Dawa ya Dr Kamfirimbisi nidawa nzuri mno hufanya kazi ya kuongeza kasi ya uzalishaji mayai ya uzazi kwa wanawake.
Kama wewe ni mmoja wa matatizo haya tembelea tovuti yangu DR. KAMFIRIMBISI page ya Tiba upande wa uzazi au tembelea page ya Dawa za Asili kuweka order ya dawa kwa bei nafuu


Endapo unatatizo  hili  wasiliana kwa simu +255655531702 / +255623450753 /+255766105099

au kwa link ya whatsapp hapa chini
Bonyeza link DR.KAMFIRIMBISI


UKE KUTOA SAUTI

Kwa mwanamke ambae ameshawah kukutana na jambo hili zaid ya mara moja basi anajua ni fedhea kiasi gan hua anapata na kukosa hamu kabisa ya kuendelea na jimai
SASA TATIZO SIO KUSIKIKA KWA SAUTI HUYO ILA NI MUME KUTOKUJUA NI NINI HALI HIYO JE NI UGONJWA TATIZO AU NI JAMBO LA KAWAIDA AKISHA JUA HILI HATA WEZA KUMCHEKA MWANAMKE NA KUMUONA WA AJABU KIMAUMBILE

KWANINI UKE HUTOA SAUTI 
Umbo la uke lipo katika hali ya mikunjo mikunjo kitaalam huitwa 
VAGINA RUGAE ambapo mikunjo hiyo ipo kama mikunjo ya bati sasa pindi inapo ingia hewa huiminya na kutoa nje ndo maana kuna mikao ukikaa hufanya uke kufinya hewa ile na hewa kutoka kwa kutoa sauti ima kwenye jimai kwenye mazoez au hata ukiwa unafanya usafi

IKIWA IMETOKEA WAKATI WA JIMAI
Nilisha sema kua uke na uume hua mfano wa sindano za hospital ( injection ) unapo vuta hutoa fyonza hewa ilio ingia ndani au hufyonza dawa ulio iweka kwenye kichupa kitendo hiki hakina tofauti na uume kuiingia kwenye uke na kutoa. 
Kuna mikao ambapo hupelekea hewa kuingia na uume unapo toka ima kuingia huiminya hewa hiyo na hapo hutoa mlio  ukiangalia kwa makini ni kama vile koromeo likipitisha gesi/hewa  hutoa mlio sawa sawa na huo japo huu unauita kucheua na ule una sema ni kama ushuzi lakin sio hivyo ikiwa utatafakari.

SABABU ZA UKE KUTOA MLIO
 

UREFU WA UKE kutoka katika kizazi japo sio wote
UDOGO WA UUME HASWA UPANA (GIRTH) unaweza kua na uume mrefu na bahati mbaya ukawa sio mnene kuweza kushika kuta za uke na upepo kuweza kuingia pindi unapo ingiza.

WATU WALIO JIFUNGUA japo sio wote

KUTANUA UKE kupita kiasi chake haswaa katika mikao
NINI CHA KUFANYA
ANGALIA MIKAO YA KUFANYA AMBAYO HAITA RUHUSU HEWA KUINGIA NDANI

TUMIA MAJI YA BARIDI KUJISAFISHIA UKE KILA UNAPO MALIZA RAUNDI KATIKA JIMAI AU KUJISAFISHA IMA UKIWA UMETOKA CHOONI AU ASUBUHI

FANYA MAZOEZI YA KEGEL
 yana faida nyingi sana na nimeshaelezea sana.

Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa chini
Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI


Contact Form

Name

Email *

Message *