Ni
mvuto katika mivuto mizuri ni mujarabu sana na unamilikiwa na Allah na
funguo yake ipo kwake huu mvuto umeiba au umebeba pande 4 na umekamata
mashariki, magharibi, kusini na kaskazin na lina umbo 8 na majina ya maraika
wakubwa 4 na majini wake wakfu hii kama utaichora siku ya Ijumaa saa ya Zuhura
na kusomea Aramnashraha au Ayat qursiyu au barahatiih au Abjadi kuanzia jina la
kwanza mpaka jina 3x666.Ukiweka ofisini itajaza watu sana na kama utatembea
nayo wakfu huu basi utakua na cheo na mvuto mkubwa mnoo na ukiweka nyumbani
wageni awatokauka.