Friday, August 21, 2020

MARADHI YA DONDA LILILOKO NJE YA MWILI

 Tiba  hii ni mujarrab sana kwa donda:

Chukua mafuta ya zaituni pakaa kwenye donda baada ya kuliosha vizuri kabisa, kisha baada ya hapo chukua vidonge vya Parasetamol(hizi hizi parasetamol zinazouzwa katika duka la dawa za kisasa yaani dawa za kizungu) halafu chukua vidonge viitwavyo septrin, fanya vidonge vitano vitano kila upande (yaani parasetamol vidonge vitano na septrin vidonge vitano) kisha vidonge hivi visage vizuri kabisa kipake mafuta ya zaituni kidogo, baada ya hapo nyunyiza ule unga wa vidonge hivyo hadi vilifunike donda hilo.

Ndugu yangu dawa hii ni ajabu sana namna inavyoponesha vidonda vilivyo nje ya mwili. Hivyo basi dawa hii mimi huiita kuwa ni rafiki wa watoto wakitahiriwa na ikawa vidonda hivyo vinasumbua basi komesha yake ni hiyo tu inshaallah ni mujarrab sana.

Contact Form

Name

Email *

Message *