Friday, July 10, 2020

MVUJE


DAWA ZA ASILI 'MVUJE FAIDA NA MATUMIZI' WATOTO WACHANGA, MAMA NA BABA
MVUJE umeagawanyika katika sehemu tatu majani mafuta na donge yaani kipande. Ungana nami kwenye makala haya kufahamu faida na matumizi yake katika afya hususani watoto wachanga
Kwa watoto wachanga wanaolia na kustuka usiku unaweza kumfunga donge la mvuje mkononi na kitambaa cheusi kisha ukamkogesha kwa maji yaliyochanganywa na majani ya mvuje haltiti na kiberiti upele chemsha muogesha siku tatu tu asubuhi na jion.Hii hutokaa kusikia  kabisa watoto kulia lakini pia humkinga watu wabaya ambayo wanakuja kumuangalia mtoto.
Hata watu wazima wanaoota ndoto za kuingiliwa kimwili usiku wanaweza kujifunga mvuje kama kinga ya kumzuia kuja kukuingilia huku ukifuata taratibu za kumtoa huyo jini.
Mtu aliyekumba jini mbaya unaweza ukamfusha na nyungu ya mvuje kama huduma ya kwanza huku taratibu zingine zikifuata.
FAIDA ZA MAFUTA YA MVUJE
1.Huondoa degedege kwa watoto utampaka mwili mzima 

    na kumnusisha kidogo puani
2.Mafuta yake ni kinga dhidi ya Jinamizi paka usiku wakat 
   wa kulala
3.Wale wenye tatizo la kuota ndoto mbaya mpatie mafuta 
    ya Mvuje
4.Maradhi ya kupooza viungo vya mwili(kupararaizi). Hii 
    hutegemea na aina ya palalazi kuna palalaizi ya misuli 
    kusinyaa na ya jini kila aina ina utibabu wake fika ofisini 
    uchunguzwe
FAIDA NA MATUMIZI YA MAJANI YA MVUJE
KUONDOA MADOA NA CHUNUSI : Unatwanga a-majani yake kisha unakamulia maji ya ndimu na kuyapaka usoni inaondoa machunusi na madoa sugu usoni. Unapakaa kila siku mara 1 mpaka madoa yanapotea.
Muhimu mvuje unaoatiakana maporini na majumbani mvuje wa donge na mafuta yanapatikana maduka ya dawa asili


Contact Form

Name

Email *

Message *