Showing posts with label MVUTO WA BIASHARA. Show all posts
Showing posts with label MVUTO WA BIASHARA. Show all posts

Saturday, June 6, 2020

MISK

MISKI...... MISKI.
Mafuta ya MISKI Yatoka kwa Mnyama AL GHAZALI Kwa lugha ya kiarabu.

FAIDA NA MATUMIZI YA MISKI:
Hali yake ina ujoto na uyabisi katika daraja la pili. Ina ladha na harufu tofauti na mafuta mengine mazuri.
MATUMIZI YA MISKI KATIKA TENDO LA PENZI:
1) Inazidisha hisia na hamu ya tendo la ndoa. Pia ukipaka katika uke huufanya uke Kwanzaa kubana kama vile bado bikra
2) HUONDOSHA HARUFU MBAYA: Kwa kuondosha harufu mbaya sehemu za siri (nyeti),makwapani au miguuni, jipake misk.
MATUMIZI.
Weka maji katika glasi halafu dondoshea matone matatu ya miski, halafu ujipake sehemu nyeti dakika tano kabla ya kufanya mapenzi. Hii ni kwa wanaume na wanawake.
Kwa Wanawake baada ya kumaliza siku zao wanaweza kutumia mafuta haya kwa kuondoa harufu, lakini pia kwa kuongeza ashiki (hamu). ONYO: Usitumiye bila kuchanganya na maji.


Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa chini


Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI

MVUMBASI

MTI UNAOHESHIMIWA NA MAJINI WA AINA ZOTE.
Mti huo si mwingine bali ni mwinula,mvumbula au wengine wanauita mvumbasi.Mti huu kama kuna jini ana kusumbua kwa kukuletea ukorofi wa kukuminya minya mwili au kichwa kuumwa basi ukichukua tu majani yake ukayapikicha na kuyaogea basi huyo jini anatulia mwenyewe.Mti huu unapowekwa katika nyungu unawasogeza karibu majini wote wa bara na wale wa pwani.Ukichukua mti huu ukatembea nao mfukoni basi ukienda sehemu kuomba chochote inakua ni nadra sana kukataliwa kwa kuwa ndani ya huo mti kuna jini ambaye anausimamia na kuupa nguvu.Kwa mtu alietawaliwa na MAJINI wa kiarabu anashauriwa anapokogea majani ya mti huo achanganye na maji ya marashi rose ili kuwaweka sawa majini wake na kuwafanya wasigombane au kumuumiza,ni mti ambao pia licha ya kutoa nuksi una nguvu ya kupambana na uchawi. 


FAIDA ZA MTI WA MVUMBASI KATIKA AFYA UZAZI SIHIRI NK
Mvumbasi ni mti mdogo mno kimaumbile lakini kitiba mti huu unaingia kwenye orodha ya miti mikubwa tents faida katika maisha ya binaadamu.
Mti huu hutibu magonjwa mengi Hapa kwa ufupi ntaongelea magonjwa kumi tu
Matatizo ya hedhi
Maumivu hedhi haitoki kwa wakati chukua majani ya mvumbasi fikicha kwenye jagi hakikisha maji yabadilike rangi na ladha
Kunywa Mara tatu kwa ck ndani ya ck tatu
Hii haihusiana na tatizo la chango uzibaji mirija
Kubana uke
Chukua majani ya mvumbasi twanga iwe kama kisamvu Chuja
Tumia maji hayo kuchambia
Pia uck weka kwa bibi kwa pamba
Fanya ndani ya ck ya saba
Una vuta vitu vinavyotembea mwilini
Pakaa kwa mvumbasi kwa kunuia hvyo vtu viondoke
Kabla ya kupaka somea ayatul kursiyu saba
Mtu anayeteswa na jini liliopanda halitaki kutoka
Mnusishe mvumbasi puani Mara kadhaa litaondoka lenyewe
Aliyekumbwa na upepo mbaya
Akoge maji yaliyochanganywa na mvumbasi
Kuua mbu
Choma majani makavu ya mvumbasi eneo lenye mbu hakika hawatakaa
Miguu kuwaka moto
Chukua majani makavu ya mvumbasi majani ya mnungunungu choma upate unga wake changanya na Mafuta ya taa Lita moja Tumia kupaka Mara tatu kwa ck ndani ya ck 30 utapata matokeo makubwa.
Kujiimarisha kimchezo
Kama ni mwanamichezo mchezo wowote kabla hujaingia koga maji ya mvumbasi na tafuna punje tatu za tunda zake Nenda kacheze hakika utakuwa mshindi
Matatizo ya macho
Chukua majan matano ya mvumbasi twanga weka kwenye kitambaa laini nyunyizia matone matatu jichoni.
Kwa wenye matatizo ya uzazi Kwa matatizo ya uzazi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi
Nguvu za kiume Kwa tatizo la nguvu za kiume wasilina na Dr kamfirimbisi

Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa chini

Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI

Tuesday, June 2, 2020

VUTA WATEJA

KUVUTA WATEJA KATIKA BIASHARA YAKO.

Hii ni talasimu katika talasimu bora basi hii ni mujarabu sana na haina masihara naam kama unabiashara na unaitaji wateja waingie kwa wingi sana ama unataka pesa zingie kwa wingi basi usisite kuanda hii chukua zafarani na miski nyeupe ya mafuta chora talasimu hii kwa kutumia mchanganyiko huo katika karatasi nyeupe kisha chukua ngozi ya mnyama fulani anapatikana polini anaitwa nguruka na kama utakosa huyo mnyama basi tumia ngozi ya ngekewa kushonea nje kwa hakika utakuwa na mvuto wa ajabu sana na abaada ya kushonea kama azima unacho itajika wewe ni kusomea, somea surat waqia X4 huku ukiwa unaifusha ubani uvumbana ubani zhura siku ya kuiyandaa nisaa ya kuingia kwa wakubwa ama ni saa ya mapenzi siku yoyote ile ila inapendeza siku ya alhamisi kuamkia ijumaa naam ukimaliza kuiyandaa basi nenda katundike katika biashara yako au weka katika sehemu unayo tunzia pesa kwa hakika hii nimewapa kama zawadi wanafunzi wangu. 



Hii talasimu imekusanya vitu vingi sana hata ukiangalia katika mjumuiko wa imamu ghazali alielezea sana talasimu hii naam leo Dr. Kamfirimbisi nimekuletea talasimu hii na wewe uitendee kazi kwa hakika utaona matunda yake cha kuzingatia ni muda.
 Wasiliana na DR. KAMFIRIMBISI kwa namba :-

+255655531702 /+255766105099
Whatsapp:+255623450753 au tembelea blog yake drkamfirimbisi82.blogspot.com mara kwa mara 
Endapo unatatizo hili basi wasiliana na
Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia  link ya whatsapp hapa chini

Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI   



BIASHARA


KUFUNGUA BIASHARA ILIYO FUNGWA.

Ikitokea kuwa biashara yako imefunga kishirikina au hata kama imezikwa basi wewe chakufanya ni rahisi sana kuna njia mbili au zaidi za kuagua biashara lakini leo tuangalie ile njia nyepesi na mujarabu kwanza kabisa  chukua mchanga wa kuzunguka eneo lako la biashara na kama nje hakuna pa kuchota mchanga basi fagia mchanga wa ndani ya ofisi yako hata kama ni kidogo inatosha sana chukua na dawa inayoitwa mfunguo,habat nuksi,mwinura au kivumbasi pamoja na majani ya mzaituni au mafuta yake changanya pamoja alafu utumie kuoga na kama una weza kujifusha,ndio uanze kuosha ama kupigia deki katika eneo lako huku unanuizia kwa kusema ‘’EH! MUNGU WANGU ULISEMA NIOMBE KHERY NITAKUPA NIOMBE SHARI NITAKUPA LEO HII WALIO OMBA SHARI JUU YANGU UMEWAPA BASI NA MIMI KUANZIA SASA NAOMBA KHERY NAOMBA UFUNGUZI WA BIASHARA YANGU IRUDI KUWA KAMA ZAMANI NASAFISHA NUKSI,MIKOSI,MABALAA,KIZA CHA MIAKA NA MIAKA NAOMBA MUNGU UNISAIDIE’’ kwa kutokana na mfano wa manuizi haya basi kwa hakika mungu atafungua biashara yako ama njia nyingine chukua ule mchanga na uzisomee surati jinni aya ya 1 mpaka ya 9 huku ukiwa umefunga macho na kunuizia kuanzia leo nawafunga majini na watu katika eneo hili watakao kuja kuroga na kuiba kisha utasoma surat fatiha X99 kwa manuizi ya kufungua eneo lako kisha mchanga huo nenda kaumwage katika eneo lako la biasha yaani utaurudisha tena pale pale kwa hakika utaona maajabu ya dawa hizi.

Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa chini


Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI


Wednesday, May 13, 2020

MVUTO WA BIASHARA

MVUTO WA BIASHARA
Leo nimekuja tena na somo la mvuto wa biashara nitachambua kwauchache dawa hii ni kiboko kwa biashara na mvuto..Hii ni dawa ya mchanganyiko wa miti yenye nguvu ya kumpa mvuto na kuvuta wateja kwa wingi mpaka mwenyewe utashangaa...
Ndugu wa page ya DR. KAMFIRIMBISI
tafuteni hizi dawa mumalize matatizo yenu zinapatikana duka la dawa la asili
1.Luhaho
2.Mlipu
3.Mwinamo
4.Mvute
5.Kinamata
Matumizi:
Changanya vizuri na utumie kuchoma eneo la biashara na pia tumia kupaka asubuhi ukiwa umechanganya na mafuta ya nazi
MATOKEO
Utapata wateja wengi
Utapendwa kazini kwako
Utaongezwa cheo
Utapendwa na watu
Utapewa heshma popote uendapo
Utapendwa wa wanaume &wanawake

kwa wanaoitajI iliyo kamilika  Wasiliana na
DR. KAMFIRIMBISI kwa namba :-
+255655531702 /+255766105099
Whatsapp:+255623450753 au tembelea blog yake drkamfirimbisi82.blogspot.com mara kwa mara 
Endapo unatatizo hili basi wasiliana na
Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia  link ya whatsapp hapa chini

Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI   


Contact Form

Name

Email *

Message *