Showing posts with label KUVUTA MTU ALIYEMBALI. Show all posts
Showing posts with label KUVUTA MTU ALIYEMBALI. Show all posts

Thursday, July 23, 2020

JINSI YA KUMFUNGA MUME/MKE ASICHEPUKE

Ndoa nyingi zimekuwa zenye hali ya mashaka kutokana na kupungua wa uaminifu baina ya wana ndoa husika, kiasi kwamba kila mmoja amekuwa mwenye mashaka na mwenzake na hatimaye ndoa kuvunjika
Leo nitazungumza nanyi  juu ya namna rahisi kabisa ya kuhakikisha kuwa, mumeo au mkeo atalazimika(hata kama sio hiari yake) kuwa mwaminifu kwenye ndoa yenu kwa kubaki nawe tu hadi utakapoamua iwe vinginevyo.
Njia nitakayoieleza hapa ni ya kufunga kile kitendea kazi(kwa mchepuko) cha mume  au mke anapokutana na mchepuko chumbani ili wafanye yale mambo yetu ambapo hivyo vitendea kazi huonekana vimepotea au havina uwezo.
Lakini sharti kubwa la njii hii ya kudhibiti michepuko ni mfanyaji(mnuiaji) lazima afanye kwa mkewe au mumewe wa ndoa kabisa, vinginevyo inaweza kumuathiri mwenyewe endapo ataifanya kwa hawara(Boyfriend/ girlfriend).
Ikiwa unampenda sana mwenzi wako, basi ni vema ukamshawishi muoane kwanza kisha ndio ufanye hii njia ya kumdhibiti ili awe wako wa peke yako katika maisha yenu ya ndoa.
Mahitaji yake
Ili kuiweka kwenye mikono salama ndoa yako kwa njia hii, unatakiwa kuwa na vifaa kadhaa kwa ajili ya utekelezaji  wa kinga hiyo ya uhakika kwa michepuko ya mwenzi wako.
  • Udi nadi
  • Ubani mashtaka
  • Uume wa mbwa mweusi asiye na jeraha
  • Kiberiti kipya
  • Karatasi nyeupe
  • Zafarani nyekundu
  • Mnamata (mmea kama miba miba, ukiupitia unakamata kwenye nguo)
 Namna ya kufanya
 Twanga vizuri udi nadi na ubani mashtaka hadi view vya unga au poda, kasha vichanganye vyote na mnamata na hakikisha hadi vinakuwa kama kitu kimoja.
Chukua karatasi nyeupe na uandike jina la mkeo au mumeo na jina la mama yake mzazi kwa kutumia zafarani nyekundu, kisha weka ule mchanganyiko wako wa udi, ubani na mnamata hapo kwenye karatasi ukichanganya na hiyo ‘dushelele’ ya mbwa.
Choma karatasi jiyo kwa kuiwasha na kiberiti kipya, wakati karatasi inaungua tulia huku  unaitazama na kuvuta taswira kama unamuona mwenzi wako na huku unatia nia yatokee yanayokusudiwa kama atachepuka na  mtu mwingine.
Baada ya hapo zoa majivu na uyafunge kwenye kitambaa cheusi kisha ukayatupe  kwenye maji yanayotembea(ya mfereji au mto).
Ukitaka kuachana naye, ni vema kumuacha huru kw akufanya kama wakti wa kumfunga, kasoro hutatumia tena ‘dushelele’  ya mbwa kisha jivu lake utajigusisha kwenye nyeti zako kabla ya kukutana naye kimwili na atakuwa huru.
Kwa masharti ya njia hii, ni lazima kumuacha huru, ikiwa huhitaji kuwa naye tena, kwani inaweza kukuathiri mwenyewe usipate mwenzi mpya.

Sunday, July 12, 2020

MAHABA


Dua Hii Ya Mahaba ... Dua Hii Huandikwa Kwenye Kiganja  Cha Mkono Wa Kulia Kwa ZAAFARANI  Kisha Kamguse Mtu Umtakaye Akupende Kwa  MAHABA Maneno Yenyewe Ya Kuandika Kiganjani Haya  

Naam Ndugu Maneno Haya Kama Huamini Kama Yanafanya kazi Basi Jiandike Mkononi Kisha Mguse Mnyama Yoyote Utaona Maajabu Mnyama Huyo Atakavyo Kufata ... 

Naam DUA Inayofata Dua Hii Ukitaka Kukidhiwa Haja Yako Basi Soma MANENO Haya Mara 16 Kila Siku Maneno Yenyewe Ya Kuyasoma Haya Hapa 

Naam Fanya Hivyo Mpaka litakapo Kamiika Jambo lako Aidha Kuomba kazi Fanya hivyo Kama Mtu Unamdai Mpaka akisha kulipa Ndio Utaacha kusoma Uradi Huo Au Unaweza kuendeleza kwenye maisha yako Hii Mujarabu ..

Tuesday, June 16, 2020

MSHONA NGUO

 Je husalimiwi? Hupigiwi simu? Umesahaulika na ndugu jamaa rafiki wapenzi unaowategemea?
Basi chukua mashona nguo majani yake chemsha pamoja na chumvi ya mawe tumia kuogea dawa hii kutwa x2 siku 4 tu utaona ajabu yake,
Dawa zilizo tayari za kuvuta mtu kuongeza mapenzi mvuto kumtuliza mume au mke zipo tele ofisini Karibuni:

Ikumbukwe tu unapotumia dawa ya kumtuliza mtu asiruke ruke kama mume basi ujue hawezi kuvutwa na mtu yoyote wala hawezi kupeperushwa
Kinachofanyika ili mume apeperuke huchukuliwa mbegu zake njiwa mweusi hufanyiwa laana fulani kisha hulishwa zile mbegu hufanyiwa kafara nyingine kisha hurushwa baada ya kutobolewa macho yote(mungu atuepushe na huu ushirikina) kisha hurushwa hapo mumeo hatoona lolote zaidi ya mchepuko wake hatosikia lolote zaidi ya mchepuko wake je? Umeshaathirika kwa hili? Mumeo hakusikilizi hakutii kama zamani? Hatoi matumizi ndani ila nje anatoa? Hakujali kwa lolote? Basi usisite kuwasiliana nasi

Monday, June 8, 2020

MLAZALAZA AU LUFYAMBO KATIKA MAPENZI

MTI unaouona pichani utana fanya kazi nyingi sana katika Tiba Asili leo nitazungumzia mizizi yake katika mapenzi

Hapa ni mpenzi baina mke mume au mtu unayejamiiana nae fuata taratibu zifuatazo
Amka asubuhi ukiwa msafi baina kama umelala na mwenzio basi ujitwayarishe  vzuri usiwe na janaba hedhi wala nifasi
Elekea eneo lenye mti huo pichani ukifika gonga hodi sema wewe mlazalaza nmekuja kumlaza fulani bin fulan au fulan bint fulan utachuma majani na kung'oa mizizi kadhaa huku ukiendelea kunuia
Ukimaliza rudi nyumbani kwako twanga vyote kwa pamoja tia mafuta zaituni kidogo kisha kama n mwanaume pakaa kwenye kichwa cha uume kama mwanamke paka kwenye kinena na mlango wa uke acha mpaka ikauke
Nenda kaingiliane nae hakika utamlaza kweli na atakupenda mpaka utamchoka
Ukitaka akutajie mambo anayoyafanya Kuna tarasimu utamuwekea kwenye mto wake wakati ukimfanyia hivyo atakuhadithia kila kitu usiku mkiwa katika tendo kwa mtindo wakuropoka
Ukihitaji hiyo tarasimu wasiliana na DR. KAMFIRIMBISI
Mambo muhimu huo mti unapatikana maporini mafuta ya zaituni yanapatikana maduka ya dawa na wakati unaenda kuchuma uende na nafaka yoyote umwagie huo mti kabla ya kuchuma 
Endapo unaitaji dawa basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya  whatsapp hapa chini

Bonyeza Link DR. KAMFIRIMBISI   




Saturday, June 6, 2020

MAPENZI

KUHUSU MVUTO WA MAPENZI
KUNA VTU VWILI VIKUBWA AMBAVYO VNAFANYA KAZI KWA PAMOJA KWENYE DAWA ZA MAPENZI NA HUTOA JIBU HARAKA
kuna dawa za matarasimu na mafusho huu ni uchawi mujarabu wa mapenzi.
Leo nakupa mafusho kwa ajili ya mvuto wa mapenzi umpate akupendae kuzidisha mapenzi
Tafuta
Ambar nyeupe
Rawandi
Udi
Kafur
Zafarani unga
Uban mushtaka
Choma ck ya alhamisi uck wakat inapindukia ck ya ijumaa

Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi 
kwa Simu:
+255655531702 /+255623450753/ +255766105099 
kutumia Link ya Whatsapp hapo chini akupe ushauri ni bure
Bonyeza Link hii DR.KAMFIRIMBISI ili kuwasiana  

Tuesday, June 2, 2020

KUMVUTA MKE AU MUME

Hakika katika talasimu za ajabu hii ni talasimu ya ajabu sana na inauwezo mara dufu kukupa kile ukitakacho, talasimu hii inatawaliwa na surat fatiha ukitaka kuitumia talasimu hii basi chola talasimu hii ama toa wasiliana na Dr. Kamfirimbisi hatakutumia talasimu hii siku ya alhamisi au juma tatu iwe saa moja asubuhi au saa nane mchana na unatakiwa kuizungushia manuizi yako kuwa kama ‘’MMI KAMFIRIMBISI NAKUITA EWE AMINA BINT JUMA HUKO ULIPO AKILI YAKO YOTE IWAZE KURUDI NYUMBANI NA UJE PASIPO KUCHELEWA’’.Huu ni mfano wa manuizi yatakayo kuwa yanaandikwa nje ya talasimu hii kwa lugha utakayo ona wewe inakufa kisha isomee surat fatiha X41 huku ukiwa unaifusha ubani msafi ubani zuhura au makka au uvumba kisha nenda katundike juu ya mti iwe inapepea kama kipepeo.Kwa hakika unae muita ato sita kuja tena kwa haraka sana na tambua tatizo hili la kuita mtu ni changamoto kwa waganga wengi sana lakini leo nimewapa njia hii ni mujarabu sana na itendee kazi utaona jinsi ya mambo yatakavyo kuwa mazuri naam.
Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya  whatsapp hapa chini

Bonyeza Link DR. KAMFIRIMBISI   



Wednesday, May 13, 2020

KUVUTA MTU ALIYEMBALI

NJIA NYEPESI YA KUMVUTA MTU 
ALIYE MBALI
Namu leo Dr. Kamfirimbisi nimekuja tena kuwaletea njia nyepesi ya kumvuta mpenzi aliye kukimbia awe mke awe mume au ndugu. Leo nachambua kwa uchache tu bali siku nyingine nitatumia miti kwa kumvuta mtu ila leo na tumia Talasimu 
Chakufanya chukua jina la unaemuita kama unajua jina moja basi sisi sote ni kizazi cha Adamu na Hawa unaweza tumia moja wapo Mfano: Amina Hawa nimetumia jina la mama sababu mama ndio mzaa chema. Andika majina hayo kwa herufi moja moja katika karatasi kisha choma moto hiyo karatasi jivu lake changanya na dhafarani ya unga nyekundu kisha tia maji ya waridi anza kuchora tarasimu hiyo hapo juu andika karatasi nane baada ya kumaliza kuchora isomee x 3000 YA BEDUUH kwanini nimetumia karatasi nani tafuta mti huu hapa chini utaweka tarasimu 4 yaani pande zote 4.Usisahau kuzungushia manuizi hata kwa kuswahili na kuandika jina lake na mwisho utamalizia jina lako
karatasi 4 zilizo baki moja weka katika fukia jikoni yaan jiko linalo pikiwa kila siku la mafiga.Karatasi ya 2 weka katika maji ya bahari maji kujaa yaani pale maji yanapo anza kuingia.Karatasi ya 3 fukia katika udongo.Karatasi ya 4 katundike ndani mwako unaye muita
Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya  whatsapp hapa chini

Bonyeza Link DR. KAMFIRIMBISI   


Contact Form

Name

Email *

Message *