Showing posts with label PETE ZA BAHATI. Show all posts
Showing posts with label PETE ZA BAHATI. Show all posts

Thursday, July 23, 2020

SIKU MBAYA NA NZURI KATIKA KILA NYOTA

Tuangalie kujua siku mbaya na nzuri kwa kila nyota zote 12 ifahamike kuwa kila nyota inasiku yake ya kutawala na siku mbaya. Nikimaanisha siku nzuri ni yale masaa ya kufanikiwa jambo lolote kupata bahati au mafanikio ya jambo lolote au saa nzuri ya kuomba dua kwa Allah.Na siku mbaya ni masaa nyota usika inaingiwa na nuksi au mabala ya dunia ima kwa kukusudiwa na watu wasio penda maendeleo yako au kutoka kwa majini au kupata mitihani tu ya Mwenyezi Mungu kukupa kipimo au ni saa ya kufunga mdomo,kudhibiti ndoa n.k

NYOTA
      SIKU NZURI
SIKU MBAYA
1
PUNDA (AMY)
JUMATANO
JUMAPILI
 IJUMAA
ALHAMISI
JUMAMOSI
JUMATATU
2
NG’OMBE(BNZ)
IJUMAA
JUMATATU
JUMATANO
JUMAMOSI
JUMAPILI
JUMANNE
3
MAPACHA(CO)
JUMATANO
JUMAPILI
JUMAMOSI
ALHAMISI
4
KAA(DP)
JUMATATU
JUMANNE
JUMAMOSI
JUMAPILI
5
SIMBA(EQ)
JUMAPILI
JUMATATU
ALHAMISI
JUMAMOSI
6
MASHUKE(FR)
JUMATANO
JUMAPILI
7
MIZANI(GS)
JUMAPILI
JUMANNE
IJUMAA
JUMATATU
JUMATANO
ALHAMISI
8
NG’E(HT)
JUMANNE
ALHAMISI
JUMATATU
JUMAPILI
JUMATANO
IJUMAA
JUMAMOSI
9
MSHALE(IU)
ALHAMISI
JUMAMOSI
JUMAPILI
JUMANNE
JUMATANO
IJUMAA
JUMATATU
10
MBUZI(JV)
JUMAMOSI
JUMATATU
JUMANNE
JUMATANO
ALHAMISI
JUMAPILI
11
NDOO(KW)
JUMAMOSI
JUMAPILI
JUMANNE
JUMATATU
JUMATANO
ALHAMISI
IJUMAA
12
SAMAKI(LX)
ALHAMISI
JUMAMOSI
JUMAPILI
JUMANNE
JUMATANO
IJUMAA
JUMATATU

Tuesday, July 7, 2020

USHIRIKA KATIKA NDOA

MLANGO WA NDOA NA USHIRIKA  NA JAMBO LOLOTE
Ndoa nyingi zinakuwa na migogoro,chuki, kufarakana na wapenzi wao kutokana na kutoangalia utabibu wa kinyota baina ya mke na mume au biashara zinakufa kutoangalia ni biashara gani nifanye kulingana na nyota yangu na ni mtu gani nimshirikishe kuanzisha biashara au mausiano ya kimapenzi ambaye tunaendana kinyota.

Jifunze kuangalia ushirikiano kwa kutumia mfano ufuatayo:-
Tumia mfumo wa ABJADI chukua hesabu ya jina la mwanaume na mama yake gawa kwa 12 . Kisha chukua tena jina la mama yake gawa kwa 12. Hii hata kwa ushirikiano:

1. Ikiwa zinalingana zilizobaki – kuna heri
Ikiwa moja imezidi nyingine basi chukua ile nyingine utowe ndogo ikibaki moja – Mapenzi yao yatadumu
2. Kutakuwa kati yao uhasama na chuki
3. Kutakuwa na ali ya wastani
4. Watakuwa na mapenzi na mambo yao yatakuwa mazuri
5. Watakuwa na mapenzi na mambo yao yatakuwa mazuri
6. Wanauelekeo mzuri katika ali zao
7. Hataafikiana
8. Mwanamke safi mume ovyo
9. Hali yao ni wastani
  10.Yatakuwa mapenzi mema
  11.Kutakuwa na ubaya ufisadi na mfaraka
MFANO: MUHAMADI IBIN ZAINABU jumla 161
     HANAM BINT SAKUNAI jumla 241
161 Sakti kwa 12 imebaki 5
241 Sakti kwa 12 imbaki 1
Chukua 5 – 1=  baki 4

Chukua jina la mtakaji na la mama yake na jina la mtakiwa na la mama yake gawa kwa 9:
1-1  Watakuwa na uwezo na msaada
1-2  Wataafikiana kwenye maisha
1-3  Maisha yao ni mazuri pamoja na kusamehana
1-4  Ataingia mtu atawafasadi kwa ubaya
1-5  Mke amependa mume wala hamtolei kauli mbaya
1-6  Uwezo, msaada na amani
1-7  Kheri kwa muda na muda ufisadi
1-8  Penzi litagawanyika
1-9  Hali yao itakuwa nzuri kwa mwaka kisha   
       itabadilika

2-2  Furaha kisha itangia doa
2-3  Furaha tu
2-4  Furaha kisha itaingia karaha na kila mmoja  
       kumhofu mwenzake
2-5  Amani na upendo kisha watarudi kwenye 
       shari
2-6  Wote wanapendana kwa siri na zairi
2-7  Amani kisha yataingia kati yao maneno 
        mabaya yatakayo wafarakanisha
2-8  Watafurahisha maisha yao kisha itaingia 
        shari

2-9  Tatokea mabadiliko katika mapenzi yao 
        mpaka wasihaminiane
3-3  Amani na upendo kisha mabadiliko
3-4  Kheri nyingi
3-5  Kheri nyingi kisha faraka na uzuni
3-6  Mwanamke mambo yake mazuri lakini 
       kutatokea mabadiliko
3-7  Mke mdomo mchafu lakini haitoki shari kwao
3-8  Huyu ana kheri na upendo popote aishipo
3-9  Shari na vikwazo mpaka watafarakana

4-4  Anakheri na upendo kisha itaingia bughuza
4-5  Upenzi wao ni mzito utakuja ingia dosari
4-6  Uhusiano wao utavunjika
4-7  Watapendana wala hawato tarikiana
4-8  Husuda na kufarakana
4-9  Litaharibika pendo lao na faraka

5-5  Kheri na upendo
5-6  Furaha kila siku
5-7  Mapenzi mazuri
5-8  Shari kabla ya upendo  kugeukana wala
hawatafarakana
5-9  Amani, furaha na huruma kisha nyoyo zao
      zitabadilika

6-6  Ugomvi utakaosababishwa na ndugu zao
6-7  Mapenzi mzuri
6-8  Shari na balaa
6-9  Penzi, kwa sababu ya mabadiliko 
       watafarakana

7-7  Pendo kisha itaingia faraka
7-8  Mzuri lakini maneno mengi, watafarakana
7-9  Mabadiliko yatawafanya wafarakane

8-8  Amani na upendo
8-9  Wataishi muda mrefu kisha kutatokea 
        maneno ya kufrakana

9-9 Wataishi katika hali ya faraka na mapenzi

 Endapo unataka kuchambuliwa nyota yako wewe na mpenzi wako  wasiliana na 
DR. KAMFIRIMBISI
kupitia namba zifuatazo: +255655531702
                    Whatsapp      +255623450753 

Monday, June 15, 2020

FAHAMU KITO CHA PETE YAKO

UCHAMBUZI WA MAWE YA BAHATI KWA NYOTA 12 
NB: IKUMBUKWE KUWA KILA PETE INA MAFUSHO YAKE NA SIKU YAKE YA KUANZA KUTENGENEZWA SIO UKATENGENEZA TU NA KUIVAA UTAKUWA UMEFANYA KAZI BURE
MAWE YA PUNDA (Aventurine, Bloodstone, Carnelian, Citrine, Diamond, Lapis Lauzuli, Mexican Lace agate, Quartz, Hematite

Mwenye kuvaa jiwe hili Aventurine:

Linaleta katika uswa nguvu za kiume na za kike, ubunifu, uongozi na furaha .Pia linasaidia katika kufikia maamuzi sahihi. Lina linakinga na kusaidia katika uponyaji wa magonjwa ya moyo, mapafu na adrenalini.

Blood stone:-
Jiwe ili linaloleta nia uwezo wa kufanikiwa, maisha marefu, nguvu ya mfano wa fimbo ya chuma. Pia lina uwezo  wa kuondoa ugumu wowote katika njia ya kutaka mafanikio. Linaleta uaminifu na kufuata madoa na vidonda vya penzi. Linampeleka mtumiaji katika maisha mazuri ya kimapenzi. Linasaidia kutibu matatizo ya damu, mapafu macho na moyo.

Jiwe la Carnelian:
linasaidia kuleta kwa mtumiaji kujiamini na ujasiri.Linahamashisha, linaanzisha uwezo binafsi na kuonyesha na kuamsha vipawa vilivyojificha vya mtumiaji. Lina uwezo wa kumlinda mvaaji dhidi ya mambo yote yasiyo mazuri na kutokujiamini. Linasaidia kujikinga na kutibu Pumu na shinikizo la damu

Citrine:

Ni Jiwe la utajiri linafungua na kuunganisha uwezo wa mtumiaji na uwezo wa kupata mafanikio katika alifanyalo ili kupata utajiri. Ubunifu na uanzishaji, udhabiti akili ili iweze kufikiria kwa  mapana na marefu jambo linalotakiwa kufanyika ili liweze kufanikiwa. Pia huweza kudhibiti na kuongoza mawazo ili yawe yanaweza kufanikiwa katika mambo mbalimbali. Linasaidia usagaji wa chakula katika mwili na mzunguko wa damu.

Jiwe la Diamond:
linawakilisha nguvu za kudra unadhifu na nguvu. Linatokana na madini ya kaboni ambayo ndiyo chanzo cha maisha yote. Linamsaidia mvaaji kujigeuza na kuwa mtu mkamilifu, bora zaidi. Pia linawekilisha alama ya kuaminiwa, kujihusisha kikamilifu uaminifu (maumbile yetu ya kweli) na mapenzi.

 Almasi zimekuwa zikijulikana kuwa na mvuto wa matamanio, kipaji na wingi wa mali. Husawazisha umetaboli(hali ya ujenzi na uvunjaji wa kemikali mwilini) na kusafisha mwili dhidi ya sumu na kukuza uwezo wa macho kuona.

Hili ni jiwe la Lapis Lazuli:
Ni jiwe la “kipaji cha kutambua mambo”lilitumiwa na wamisri wa zamani kama kinga ya kuingia sehemu takatifu. Lina uwezo wa kutakasa mwili na akili na kuondoa uchafu wote unaosababishwa na mashetani na mizimu. Vilevile linakufany uwe na uhusiano mzuri na watu na unazipa nguvu sehemu zako za kinga ya mwili.

Mexican lace agete:-

Lina uwezo wa kurudisha nguvu za mwili wakati unapojihisi kukosa nguvu ya kufanya baadhi ya mambo/Linafichua ukweli wa mambo(siri) na lina uwezo wa kumfanya mvaaji afahamu juu ya undani wa maisha na jinsi ya kuyashinda. Linasaidia kutibu ngozi, moyo, uti wa mgongo na meno
Quartz:

Jiwe hili linakuza uwezo wa kutunza malengo kujirekebisha, kuhifadhi na nguvu za kimwili na kiroho. Linakuza uwezo wa kuhisi jambo kabla halijatokea. Pia lina uwezo wa kumfundisha mtumiaji kwa kadri ya uwezo wake na kazi zake. Vilevile linampa mtumiaji uwezo mkubwa wa mambo mbalimbali.

Hematite
linamwezesha mtu kukumbuka kitu vile kilivyo, uhakika kusawazisha, na utulivu wa akili. Linaondoa matatizo au mambo yaliyo kinyume na kuyabadilisha na kuyafanya kuwa uependo. Jiwe hili vile vile linaleta mapenzi na uhusiano wa amani pia linasaidia kuponya upungufu wa damu na uvimbe katika kichwa.

Mawe haya nilichambua katika nyota ya Punda mtu wa nyota ya punda awe mwanaume au mwanamke anaweza tumia jiwe moja kulinga hatakalo ona linafaa isipo kuwa kila nyota na siku yake ya kutengeneza pete

MAWE YA NG’OMBE (Emerald, Kyanite, Chrysocolla, Diamond, Rose quartz, Rhodonite,Kunzite, Selenite)

Emerald:
Ni jiwe la usalama katika mapenzi. Linamwezesha mvaaji kuingia na kujua siri zilizo ndani kabisa ya moyo.Kwa hivyo, huponya na kuamsha matamanio ya juu kabisa ya nyoyo zetu. Ni la nguvu lenye uwezo wa kukuwezesha kuona yaliyo ndani na kubashiri yajayo. Linasaidia kuponya ugonjwa wa macho na kigugumizi. Hutuliza moyo na akili na kukufanya ujiamini.

Kyanite 
Ni jiwe “daraja kati ya akili na maudhui” Ni kito chenye nguvu ya kukupa ufunuo na mwamko au hamasa. Linamfanya mvaaji awe katika hali nzuri kwa wale wanaopenda kufanya taamuli. Vilevile linatibu matezi madogo madogo.

Chrysocolla 

Jiwe la kutibu la mama ardhi jiwe hili ni la tiba na linachangamsha akili na linapoza hasira na kukupa amani ya ndani ya mwili na nguvu. Linavuta mafanikio na linaleta bahati nzuri. Vilevile lina uwezo wa kuondoa fikra mbaya na kuweka akili yako wazi katika kufanya mambo. Lina uwezo wa kutibu kisukari pumu na ugonjwa wa damu (Leukemia)

Diamond au Almasi 
Jiwe hili linawakilisha nguvu za kudra, unadhifu na nguvu linatokana na madini ya kaboni ambayo ndiyo chanzo cha maisha yote. Linamsaidia mvaaji kujigeuza na kuwa mtu mkamilifu na bora zaidi. Linawakilisha alama ya kuaminiwa, kujihusisha kikamilifu uaminifu (maumbile yetu ya kweli) na mapenzi. Almasi zimekuwa zikijulikana kuwa na mvuto wa matamanio, kipaji na wingi wa mali. Husawazisha umetaboli na kusafisha mwili dhidi ya sumu na kukuza uwezo wa macho kuona.

Rose quartz
(jiwe la uchangamfu na mapenzi):- Linatibu maumivu ya hisia. Linaupa moyo uchangamfu wa kupenda vitu vizuri. Linakulinda na kuondoa hasira na hisia mbaya.

Rhodonite 

(jiwe la mapenzi ya kindugu):- Jiwe hili lina uwezo wa kufanya ujiamini na kujituma.Kichwa, moyo na mwili huunganishwa na jiwe hili na kukufanya mvaaji upate hamu ya kufanya mambo yako. Linatibu maradhi ya moyo mapafu. Koo na viungo viwili.

Kunzite

(jiwe la umoja) Jiwe hili linaunganisha mopyo, kichwa na koo na linakuwesha kuwa na hisia za mapenzi, ufahamu na uwezo wa kujieleza. Lina uwezo wa kuusafisha mwili na vilevile linakuwezesha kuzungumza mbele za watu na uhuru wa ndani ya mwili na pia linatibu moyo.

Selenite
(jiwe la mchawi) jiwe hili lina uwezo wa kukupa mvaaji uwezo wa kujua matatizo ya mtu na kumtibu. Linasaidia na kusafisha uti wa mgongo na kutibu maradhi ya kigeugeu. Vilevile linatibu magonjwa yasiyotibika.

MAWE YA MAPACHA(Celestite, Howlite, Chrysocolla, Quartz, Emarald, Diamond)

Celestite 

Jiwe la “mapenzi ya malaika” linaleta amani ndani ya mwili, matumaini na mtazamo mzuri. Lina uwezo wa kukupa uwezo wa juu katika uzungumzaji na mawasiliano. Linasaidia kuona vizuri, kusikia na linatibu maradhi yoyote ya akili.

Howlite
Ni jiwe la utulivu wa moyo, mawazo na hisia nzuri linamwezesha mtumuiaji awe mwaminifu, mkweli na mwenye uwezo wa kuongea vizuri na kwa uwazi. Linaondoa woga na hasira. Linampa mtumiaji utambuzi subira, kuwa na malengo na matarajio ya kuwa kila kitu na mambo yote yatakuwa mazuri.

Chrysocolla 

(jiwe la kutibu la mama Ardhi) Jiwe hili ni la tiba na linachangamsha akili na linapoza hasira na kukupa amani ya ndani ya mwili na nguvu.Linavutia mafanikio na linaleta bahati nzuri. Vilevile lina uwezo wa kuondoa fikra mbaya na kuweka akili yako wazi katika kufanya mambo. Pia lina uwezo wa kutibu kisukari pumu na ugonjwa wa damu (leukemia)

Quartz 

Jiwe hili linakuza uwezo wa kutunza, malengo kujireklebisha, kuhifadhi na nguvu za kimwili na kiroho. Linakuza uwezo wa kuhisi jambo kabla halijatokea. Pia lina uwezo wa kumfundisha mtumiaji kwa kadri ya uwezo wake na kasi yake. Aidha linampa mtumiaji uwezo mkubwa wa mambo mbalimbali.

Emerald 
Ni jiwe la usalama katika mapenzi. Linamwezesha mvaaji kuingia na kujua siri zilizo ndani kabisa ya moyo.Kwa hivyo, huponya na kuamsha matamanio ya juu kabisa ya nyoyo zetu. Ni la nguvu lenye uwezo wa kukuwezesha kuona yaliyo ndani na kubashiri yajayo. Linasaidia kuponya ugonjwa wa macho na kigugumizi. Hutuliza moyo na akili na kukufanya ujiamini.

Diamond au Almasi 
Jiwe hili linawakilisha nguvu za kudra, unadhifu na nguvu linatokana na madini ya kaboni ambayo ndiyo chanzo cha maisha yote. Linamsaidia mvaaji kujigeuza na kuwa mtu mkamilifu na bora zaidi. Linawakilisha alama ya kuaminiwa, kujihusisha kikamilifu uaminifu (maumbile yetu ya kweli) na mapenzi. Almasi zimekuwa zikijulikana kuwa na mvuto wa matamanio, kipaji na wingi wa mali. Husawazisha umetaboli na kusafisha mwili dhidi ya sumu na kukuza uwezo wa macho kuona.

MAWE YA KAA(Quartz, Diamond, Moonstone, Peacock Ore

Quartz
Jiwe hili linakuza uwezo wa kutunza, malengo kujireklebisha, kuhifadhi na nguvu za kimwili na kiroho. Linakuza uwezo wa kuhisi jambo kabla halijatokea. Pia lina uwezo wa kumfundisha mtumiaji kwa kadri ya uwezo wake na kasi yake. Aidha linampa mtumiaji uwezo mkubwa wa mambo mbalimbali.

Diamond au Almasi

Jiwe hili linawakilisha nguvu za kudra, unadhifu na nguvu linatokana na madini ya kaboni ambayo ndiyo chanzo cha maisha yote. Linamsaidia mvaaji kujigeuza na kuwa mtu mkamilifu na bora zaidi. Linawakilisha alama ya kuaminiwa, kujihusisha kikamilifu uaminifu (maumbile yetu ya kweli) na mapenzi. Almasi zimekuwa zikijulikana kuwa na mvuto wa matamanio, kipaji na wingi wa mali. Husawazisha umetaboli na kusafisha mwili dhidi ya sumu na kukuza uwezo wa macho kuona.

Moonstone

Jiwe la kuomba utakacho na kikawa kweli maono na hukufanya uwe katika hali nzuri kimawazo. Lina leta mambo yote uyatakayo, mwanzo mpya kuzaliwa upya. Linaleta upendo na msaada mkubwa kama ule anaokupatia mama. Linaondoa maumivu na magonjwa. Linauwezo wa kutengeneza mirija na viungo vya mwili vilivyoharibika kutokana na magonjwa pamoja na kutibu njia za uzazi.

Peacock Ore

Jiwe la furaha uzima uchangamfu na linaleta matumaini na nguvu za kutenda. Linasaidia kuleta mawazo mazuri ya kipekee kabisa ambayo yanakufanya uweze kuchukua mwelekeo mwingine mzuri ambao utakupa matumaini, kujiamini na kufanikiwa pamoja na kuaminiwa. Linamlinda mtumiaji dhidi ya mawazo ya kutokufanikiwa. Lina uwezo wa kutibu mfumo wa fahamu mapafu na moyo.

MAWE YA SIMBA(Petrified wood, Garnet, Diamond, Jasper, Quartz, Onyx

Petrified Wood 

Jiwe hili lina uwezo wa kumfanya mtumiaji aweze kujua mambo yote ya maisha yaliyopita wakati wa taamuli, kama likitumika kwa ajili hiyo. Linamletea  mtumiaji utulivu na ushwari wa moyo, usawa, uthabiti afya njema na maisha marefu. Linaleta ulinzi dhidi ya magonjwa na linasaidia kuponya mifupa, kuimarisha uti wa mgongo na matatizo ya kusikia.

Garnet 

Jiwe la kujitoa kwa ajili ya watu wengine , binafsi na katika malengo ya binafsi. Linaamsha “moto wa ndani” wa  ubunifu. Linatoa ufufuo wa uswa kwa  mtumiaji. Linahamasisha mapenzi na hisia kali za kimapenzi.Jiwe hili linavuta bahati nzuri, ulinzi dhidi ya uchafu wenye sumu. Linakinga dhidi ya huzuni, mafadhaiko, upungufu wa damu na matatio mbali mbalimbali ya mwili .

Mfalme wa mawe yote 

Jiwe hili linawakilisha nguvu za kudra, unadhifu na nguvu linatokana na madini ya kaboni ambayo ndiyo chanzo cha maisha yote. Linamsaidia mvaaji kujigeuza na kuwa mtu mkamilifu na bora zaidi. Linawakilisha alama ya kuaminiwa, kujihusisha kikamilifu uaminifu (maumbile yetu ya kweli) na mapenzi. Almasi zimekuwa zikijulikana kuwa na mvuto wa matamanio, kipaji na wingi wa mali. Husawazisha umetaboli na kusafisha mwili dhidi ya sumu na kukuza uwezo wa macho kuona.

Jasper
Jiwe kuu lenye jukumu kubwa la mafunzo na malezi linathaminiwa sana na washmen kama jiwe takatifu na lenye nguvu linalotoa ulinzi na uthabiti. Linatoa ulinzi uwezo wa kuuufanya mwili kurudi hali ya ujana na kuupa nguvu. Linasaidia kuzalisha upya seli za mwilini na mfumo wa harufu.

Quartz 
Jiwe hili linakuza uwezo wa kutunza, malengo kujireklebisha, kuhifadhi na nguvu za kimwili na kiroho. Linakuza uwezo wa kuhisi jambo kabla halijatokea. Pia lina uwezo wa kumfundisha mtumiaji kwa kadri ya uwezo wake na kasi yake. Aidha linampa mtumiaji uwezo mkubwa wa mambo mbalimbali.

Onyx 

Jiwe hili lina uwezo wa kumfanya mtu ajitawale mwenyewe. Linampa mtumiaji uwezo wa kufahamu mambo mbalimbali, ulinzi wakati wa taamuli na ndoto.
Linafichua uwezo wa ndani wa mtu uliojificha. Linasaidia sana katika kutibu trakoma kifafa na uharibifu wa seli.

MAWE YA MASHUKE (Cuprite, Diamond, Sugilite, Moss Agate, Quartz, Peridot
Cuprite

Jiwe hili lina uwezo wa kumpatia mtumiaji nguvu kubwa ya uhai na kuipitisha moja kwa moja mapaka kwenye maeneo yanayohitaji kujengwa upya na kurudishiwa uhai kamili pamoja na kutengeneza mfumo mzima wa uhai. Linaleta ufahamu na kujielewa katika mwili pia linasaidia kuponya magonjwa yasiyotibika na yasiyokuwa na dawa.

Mfalme wa mawe yote 
Jiwe hili linawakilisha nguvu za kudra, unadhifu na nguvu linatokana na madini ya kaboni ambayo ndiyo chanzo cha maisha yote. Linamsaidia mvaaji kujigeuza na kuwa mtu mkamilifu na bora zaidi. Linawakilisha alama ya kuaminiwa, kujihusisha kikamilifu uaminifu (maumbile yetu ya kweli) na mapenzi. Almasi zimekuwa zikijulikana kuwa na mvuto wa matamanio, kipaji na wingi wa mali. Husawazisha umetaboli na kusafisha mwili dhidi ya sumu na kukuza uwezo wa macho kuona.

Sugilite 

Jiwe la mapenzi ya juu kabisa Lina nguvu ya kutibu na kukufunza njia za kujitibu mwenyewe katika mpangilio wa mambo yako. Lina uwezo wa kukufanya ukumbuke mambo na uwe na uwezo na uwezo wa ndani wa kiroho wa kujieleza mbele za watu. Jiwe hili linatibu maradhi ya kichwa na kansa

Moss Agate

Jiwe hili humpatia mtumiaji usawa na kujiamini pamoja na wingi wa vitu. Linaleta mpangilio mzuri na uzri. Linatia mkazo hadhi nzuri ya mtumiaji. Ni jiwe zuri kwa wakulima na watu wanaojishughulisha na mambo ya ardhi Linasaidia kutibu mzio na matatizo ya ngozi.

Quartz 

Jiwe hili linakuza uwezo wa kutunza, malengo kujireklebisha, kuhifadhi na nguvu za kimwili na kiroho. Linakuza uwezo wa kuhisi jambo kabla halijatokea. Pia lina uwezo wa kumfundisha mtumiaji kwa kadri ya uwezo wake na kasi yake. Aidha linampa mtumiaji uwezo mkubwa wa mambo mbalimbali.

Peridot 
Ni jiwe la urafiki na furaha. Linatia afya na nvuvu mwili mzima. Linavipa na kuviimarisha viungo vya mwili na kuhamasisha kukua vizuri kwa mwili. Linaleta usawa katika mfumo wa maisha. Linamlinda mtumiaji dhidi ya mambo yote ambayo si mazuri. Linasaidia katika kutibu maradhi mbalimbali yakiwemo vidonda vya tumbo tezi dundumio na koromeo.

MAWE YA MIZANI(Lepidolite, Diamond, Rose quartz,Quartz, Opal, Prehnite)
Lepidolite Jiwe bibi 

Jiwe hili linampumzisha na linampoza na kumtuliza mvaaji kutokana na matatizo na fikra mbaya. Lina uwezo wa kuifanya akili ipambanue njia sahihi za kufanya mambo na marekebisho na linamsaidia mvaaji kupambanua mapitio ya hisisa zake za kuzaliwa ,kufa na kuzaliwa tena. Linaponya misuli iliyovimba na uchovu.

Almasi
(mfalme wa mawe yote) Jiwe hili linawakilisha nguvu za kudra, unadhifu na nguvu linatokana na madini ya kaboni ambayo ndiyo chanzo cha maisha yote. Linamsaidia mvaaji kujigeuza na kuwa mtu mkamilifu na bora zaidi. Linawakilisha alama ya kuaminiwa, kujihusisha kikamilifu uaminifu (maumbile yetu ya kweli) na mapenzi. Almasi zimekuwa zikijulikana kuwa na mvuto wa matamanio, kipaji na wingi wa mali. Husawazisha umetaboli na kusafisha mwili dhidi ya sumu na kukuza uwezo wa macho kuona.

Rose quartz 
(jiwe la uchangamfu na mapenzi):- Linatibu maumivu ya hisia. Linaupa moyo uchangamfu wa kupenda vitu vizuri. Linakulinda na kuondoa hasira na hisia mbaya.

Quartz 
Jiwe hili linakuza uwezo wa kutunza malengo kujireklebisha, kuhifadhi na nguvu za kimwili na kiroho. Linakuza uwezo wa kuhisi jambo kabla halijatokea. Pia lina uwezo wa kumfundisha mtumiaji kwa kadri ya uwezo wake na kasi yake. Aidha linampa mtumiaji uwezo mkubwa wa mambo mbalimbali.

Opal
Jiwe linalomwezesha mtu kupata maono mbalimbali. Linaongeza nguvu za kujua mambo kabla hayajatokea. Lina uwezo wa kumwonyesha mtumiaji mambo mengi yaliyojificha katika nafsi za watu linavuta nguvu za utambuzi na ubashiri. Linamfunika mtumiaji kwa usiri mambo ya siri na haiba kubwa . lina uwezo wa kumsaidia mtumiaji kutoweka na kutokuonekana anapoamua kufanya hivyo. Linatibu maambukizo mbalimbali. Linaponya na kuwezesha macho kuona zaidi. Pia linasaidia katika kazi za umetaboli.

Prehnite

Jiwe la kupaa Linamsaidia mtumiaji katika safari za kiroho na kinyota. Linalinda na kukuza nguvu ya maisha.Linasaidia kuwasiliana na malaika na viumbe wengine wa mbinguni. Linakuza uwezo wa kujua mambo kwa undani sana pamoja na utabiri. Linasaidia kutibu ugonjwa wa upungufu wa damu , figo.

MAWE YA NG'E (Ruby, Rhodochrosite, Kunzite, Moldavite, Opal, Diamond, Selenite, Quartz, Unakite, Topazi

Ruby 

malkia wa mawe yote jiwe la mapenzi linamzungushia mtumiaji hali ya uzuri na lina uwezo mkubwa wa kubadilisha mwonekano wa mtu. Linamlinda mtumiaji dhidi ya mambo yote mabaya, kuumia na maradhi. Linavuta uimara , uthabiti, kuimarika uaminifu, utiifu na uwajibikaji. Inaaminiwa kuwa kama hili jiwe litakuwa ni la duara basi ni lazima utaupata utajiri.
Jiwe la ruby linatoa mtikisiko wa joto linaloponya, na kwa mujibu wa habari za kale iliaminiwa kuwa lina uwezo wa kutoa joto(moto) jekundu ambalo lina uwezo wa kugeuza na kubadili moto wa mapenzi. Jiwe hili linasaidia kuponya moyo, uchafu wote katika damu na kuondoa sumu mwilini.

Rhodochrosite 

Jiwe hili linaitwa “Mwalimu wa kimalika wa mapenzi na usawa” linaunganisha na kuleta uwiano kwa mume na mke na lina uwezo wa kukuvutia mpenzi wa uhakika na kukupa uwezo wa namna ya kupenda. Jiwe hili linahamasisha mapenzi ya kujipenda wewe mwenyewe na  dunia kwa ujumla.

Kunzite
(jiwe la umoja) Jiwe hili linaunganisha mopyo, kichwa na koo na linakuwesha kuwa na hisia za mapenzi, ufahamu na uwezo wa kujieleza. Lina uwezo wa kuusafisha mwili na vilevile linakuwezesha kuzungumza mbele za watu na uhuru wa ndani ya mwili na pia linatibu moyo.

Selenite

(jiwe la mchawi) jiwe hili lina uwezo wa kukupa mvaaji uwezo wa kujua matatizo ya mtu na kumtibu. Linasaidia na kusafisha uti wa mgongo na kutibu maradhi ya kigeugeu. Vilevile linatibu magonjwa yasiyotibika.
Moldavite
(mponyaji kutoka ulimwengu mwingine) Lina uwezo wa kumwezesha mtumiaji kuwasiliana na famle za juu mbinguni. Linatoa nuru na mwanga katika mawasiliano na mbingu nyingine. Linamtayarisha  mtumiaji kwa ajili ya kujibadilisha kwa ajili ya kupaa katika mbingu nyingine. Lina uwezo wa kupitisha nuru maalumu ambayo inataka kufanana na miale ya leza ambayo ina uwezo mkubwa wa kutibu magonjwa mbalimbali.

Opal 

Jiwe linalomwezesha mtu kupata maono mbalimbali. Linaongeza nguvu za kujua mambo kabla hayajatokea. Lina uwezo wa kumwonyesha mtumiaji mambo mengi yaliyojificha katika nafsi za watu linavuta nguvu za utambuzi na ubashiri. Linamfunika mtumiaji kwa usiri mambo ya siri na haiba kubwa . lina uwezo wa kumsaidia mtumiaji kutoweka na kutokuonekana anapoamua kufanya hivyo. Linatibu maambukizo mbalimbali. Linaponya na kuwezesha macho kuona zaidi. Pia linasaidia katika kazi za umetaboli.

Almasi
(mfalme wa mawe yote) Jiwe hili linawakilisha nguvu za kudra, unadhifu na nguvu linatokana na madini ya kaboni ambayo ndiyo chanzo cha maisha yote. Linamsaidia mvaaji kujigeuza na kuwa mtu mkamilifu na bora zaidi. Linawakilisha alama ya kuaminiwa, kujihusisha kikamilifu uaminifu (maumbile yetu ya kweli) na mapenzi. Almasi zimekuwa zikijulikana kuwa na mvuto wa matamanio, kipaji na wingi wa mali. Husawazisha umetaboli na kusafisha mwili dhidi ya sumu na kukuza uwezo wa macho kuona.

Quartz

Jiwe hili linakuza uwezo wa kutunza malengo kujireklebisha, kuhifadhi na nguvu za kimwili na kiroho. Linakuza uwezo wa kuhisi jambo kabla halijatokea. Pia lina uwezo wa kumfundisha mtumiaji kwa kadri ya uwezo wake na kasi yake. Aidha linampa mtumiaji uwezo mkubwa wa mambo mbalimbali.

Unakite 

Tiba ya kibinafsi jiwe hili linasawazisha hisai na linatumainisha pendo kuu linatayariasha na kusaidia katika namna ya kuzaliwa upya na katika namna halisi ya kuzaliwa kwani lina uwezo wa kuchangamsha tiba ya njia ya uzazi na kufichua sababu za maradhi.

Topaz 

Jiwe la jua linamsaidia mtumiaji kuwaza na kutimiza ndoto zake linatoa joto na mwanga wenye nguvu za kisumaku za kuponya, kuondoa wasiwasi na mshaka, maumivu na maradhi. Lina uwezo wa kuvuta mapenzi na mafanikio , pia kuwasiliana na milki nyinginezo. Linasaidia kuvunja kuganda kwa nguvu za mwili na kuondoa uchafu wa sumu mwilini.

MAWE YA MSHALE(Turquoise, Lapis, Lazuli, Azurite, Amber, Opal, Diamond, Cookiet, Quartz, Herkimer diamond, Topaz

Turquoise 
Jiwe linalounganisha mbingu na ardhi linaunganisha nguvu za miliki au ufalme katika ngazi ya juu kabisa. Linatengeneza njia ya elimu na uhahamu kwa anayelivaa kwa sababu ya utukufu wake. Vilevile jiwe hili linamlinda na kumbariki mvaa na hutuliza akili na mwili.

Hili ni jiwe la Lapis Lazuli

Ni jiwe la “kipaji cha kutambua mambo”lilitumiwa na wamisri wa zamani kama kinga ya kuingia sehemu takatifu. Lina uwezo wa kutakasa mwili na akili na kuondoa uchafu wote unaosababishwa na mashetani na mizimu. Vilevile linakufany uwe na uhusiano mzuri na watu na unazipa nguvu sehemu zako za kinga ya mwili.

Azurite
Taa katika giza Jiwe hili linaangaza katika giza la akili. Lina uwezo wa kusafisha, kufanya upya, kuamsha fahamu na kuanzisha akili za kimbingu duniani. Jiwe hili linuwezo wa kuanzisha nguvu ya kuona. Linasaidia kuponya koo, bandama na uti wa mgongo

Amber
Jiwe la bahati nzuri linaleta nguvu ya utakayo nguvu za jua na kufyonza nguvu ya dunia na kutengeneza nguvu thabiti kwa mtumiaji. Lina uwezo wa kutoa maradhi mwilini na kuuweka mwili katika hali nzuri. Linasafisha maudhi.

Cookeite
Mganga wa waganga hili jiwe la tiba linauwezo wa kutuliza kupoza na kusafisha dhmira mbaya na mawazo machafu. Linahamasiha ushirikiano na kukufanya uwe na moyo mwepesi.Lina mvuto wa Malaika.

Opal
Jiwe linalomwezesha mtu kupata maono mbalimbali. Linaongeza nguvu za kujua mambo kabla hayajatokea. Lina uwezo wa kumwonyesha mtumiaji mambo mengi yaliyojificha katika nafsi za watu linavuta nguvu za utambuzi na ubashiri. Linamfunika mtumiaji kwa usiri mambo ya siri na haiba kubwa . lina uwezo wa kumsaidia mtumiaji kutoweka na kutokuonekana anapoamua kufanya hivyo. Linatibu maambukizo mbalimbali. Linaponya na kuwezesha macho kuona zaidi. Pia linasaidia katika kazi za umetaboli.

Almasi

(mfalme wa mawe yote) Jiwe hili linawakilisha nguvu za kudra, unadhifu na nguvu linatokana na madini ya kaboni ambayo ndiyo chanzo cha maisha yote. Linamsaidia mvaaji kujigeuza na kuwa mtu mkamilifu na bora zaidi. Linawakilisha alama ya kuaminiwa, kujihusisha kikamilifu uaminifu (maumbile yetu ya kweli) na mapenzi. Almasi zimekuwa zikijulikana kuwa na mvuto wa matamanio, kipaji na wingi wa mali. Husawazisha umetaboli na kusafisha mwili dhidi ya sumu na kukuza uwezo wa macho kuona.

Selenite

(jiwe la mchawi) jiwe hili lina uwezo wa kukupa mvaaji uwezo wa kujua matatizo ya mtu na kumtibu. Linasaidia na kusafisha uti wa mgongo na kutibu maradhi ya kigeugeu. Vilevile linatibu magonjwa yasiyotibika.

Quartz 

Jiwe hili linakuza uwezo wa kutunza malengo kujireklebisha, kuhifadhi na nguvu za kimwili na kiroho. Linakuza uwezo wa kuhisi jambo kabla halijatokea. Pia lina uwezo wa kumfundisha mtumiaji kwa kadri ya uwezo wake na kasi yake. Aidha linampa mtumiaji uwezo mkubwa wa mambo mbalimbali.

Unakite
Tiba ya kibinafsi jiwe hili linasawazisha hisai na linatumainisha pendo kuu linatayariasha na kusaidia katika namna ya kuzaliwa upya na katika namna halisi ya kuzaliwa kwani lina uwezo wa kuchangamsha tiba ya njia ya uzazi na kufichua sababu za maradhi.

Topaz
jiwe la jua linamsaidia mtumiaji kuwaza na kutimiza ndoto zake linatoa joto na mwanga wenye nguvu za kisumaku za kuponya, kuondoa wasiwasi na mshaka, maumivu na maradhi. Lina uwezo wa kuvuta mapenzi na mafanikio , pia kuwasiliana na milki nyinginezo. Linasaidia kuvunja kuganda kwa nguvu za mwili na kuondoa uchafu wa sumu mwilini.

Herkimer Diamond 

Jiwe la ndoto linauwezo wa kifichua ukweli wa ndoto. Linampatia mtumiaji uwezo wa kujua mambo kabla hayajatokea. Pia lina uwezo wa kupeleka ujumbe wa upendo na uponyaji kwa mtu aliye mbali. Jiwe hili linalinda dhidi ya mnururisho na linaondoa sumu mwilini.
MAWE YA MBUZI(Tiger eye, Malachite, Diamond, Quartz Garnet)
 Tiger eye 
Jiwe hili lina uwezo wa kutengeneza hali nzuri sehemu amabyo kuna machafuko. Linaleta amani na maelewano kusawazisha hisia. Humletea hali ya kuwa makini na uthabiti inaboresha hisia za nafasi na uwezo wa mtumiaji kutambua mambo. Linavuta urembo, uzuri, wingi wa vitu na hekima. Linasaidia kuponya vidonda, michubuko, mcho na koo.
Malachite 
mponyaji mwenye nguvu jiwe hili lina uwezo wa kuondoa maradhi moja kwa moja. Linasaidia na kuonya mambo ambayo moyo unayataka ili yawe ya kweli na yatokee. Jiwe hili lina uwezo wa kuupa mwili nguvu ya kujua mambo bila kuambiwa na kujua chanzo cha tatizo.

Diamond au Almasi 

Jiwe hili linawakilisha nguvu za kudra, unadhifu na nguvu linatokana na madini ya kaboni ambayo ndiyo chanzo cha maisha yote. Linamsaidia mvaaji kujigeuza na kuwa mtu mkamilifu na bora zaidi. Linawakilisha alama ya kuaminiwa, kujihusisha kikamilifu uaminifu (maumbile yetu ya kweli) na mapenzi. Almasi zimekuwa zikijulikana kuwa na mvuto wa matamanio, kipaji na wingi wa mali. Husawazisha umetaboli na kusafisha mwili dhidi ya sumu na kukuza uwezo wa macho kuona.

Garnet
Jiwe la kujitoa kwa ajili ya watu wengine , binafsi na katika malengo ya binafsi. Linaamsha “moto wa ndani” wa  ubunifu. Linatoa ufufuo wa uswa kwa  mtumiaji. Linahamasisha mapenzi na hisia kali za kimapenzi.Jiwe hili linavuta bahati nzuri, ulinzi dhidi ya uchafu wenye sumu. Linakinga dhidi ya huzuni, mafadhaiko, upungufu wa damu na matatizo mbali mbali ya mwili.

Quartz 

Jiwe hili linakuza uwezo wa kutunza malengo kujireklebisha, kuhifadhi na nguvu za kimwili na kiroho. Linakuza uwezo wa kuhisi jambo kabla halijatokea. Pia lina uwezo wa kumfundisha mtumiaji kwa kadri ya uwezo wake na kasi yake. Aidha linampa mtumiaji uwezo mkubwa wa mambo mbalimbali.

MAWE YA NDOO(Cookeit, Staurolite, Diamond, Quartz, Boji stone)

Cookeite
Mganga wa waganga hili jiwe la tiba linauwezo wa kutuliza kupoza na kusafisha dhmira mbaya na mawazo machafu. Linahamasiha ushirikiano na kukufanya uwe na moyo mwepesi.Lina mvuto wa Malaika.

Staurolite

Jiwe la bahati nzuri, moyo wa ushujaa na ulinzi linampa mtumiaji usalama.Linasaidia katika kumfanya mtu ajielewe kwa undani kabisa na lengo lake la kuwa kuwa hapo duniani, na kulitekeleza. Linamuunganisha mtumiaji na ulimwenguni wa kinyota.

Boji stone
Jiwe hili linasafisha na kuipa nguvu nyota ya mtumiaji. Linatoa nguvu ambayo inapita vizuri vyote huku ikileta usawa na kutibu mwili na akili. Jiwe hili linafungua milango ya kuwasiliana na viumbe wengine pamoja na kuzaliwa upya na utambuzi wa mambo yaliwahi kutokea kabla na ambayo yatatokea baadaye.

Diamond au Almasi 

Jiwe hili linawakilisha nguvu za kudra, unadhifu na nguvu linatokana na madini ya kaboni ambayo ndiyo chanzo cha maisha yote. Linamsaidia mvaaji kujigeuza na kuwa mtu mkamilifu na bora zaidi. Linawakilisha alama ya kuaminiwa, kujihusisha kikamilifu uaminifu (maumbile yetu ya kweli) na mapenzi. Almasi zimekuwa zikijulikana kuwa na mvuto wa matamanio, lipaji na wingi wa mali. Husawazisha umetaboli na kusafisha mwili dhidi ya sumu na kukuza uwezo wa macho kuona.

Quartz 

Jiwe hili linakuza uwezo wa kutunza malengo kujireklebisha, kuhifadhi na nguvu za kimwili na kiroho. Linakuza uwezo wa kuhisi jambo kabla halijatokea. Pia lina uwezo wa kumfundisha mtumiaji kwa kadri ya uwezo wake na kasi yake. Aidha linampa mtumiaji uwezo mkubwa wa mambo mbalimbali.

MAWE YA SAMAKI (Blue lace agate, Flourite, Diamond, Quartz

Blue lace agate 

Jiwe linaongeza kasi ya kiroho na imani ya dini na kukupa msukumo wa mambo. Linasafisha mparaganyo katika akili na roho. Pia linaondoa mfadhaiko. Linatibu ugonjwa wa baridi yabisi na kuumwa na kichwa.

Flourite
Jiwe la utambuzi linasafisha ukungu wa mawazo ya uongo. Linatengeneza amani na utulivu katika ghasia. Linaleta umakini afya njema usafi katika kila kiwango kwenye mwili na mani.
Linasaidia katika kutibu maradhi ya kuambukiza na uvimbe

Diamond au Almasi 
Jiwe hili linawakilisha nguvu za kudra, unadhifu na nguvu linatokana na madini ya kaboni ambayo ndiyo chanzo cha maisha yote. Linamsaidia mvaaji kujigeuza na kuwa mtu mkamilifu na bora zaidi. Linawakilisha alama ya kuaminiwa, kujihusisha kikamilifu uaminifu (maumbile yetu ya kweli) na mapenzi. Almasi zimekuwa zikijulikana kuwa na mvuto wa matamanio, kipaji na wingi wa mali. Husawazisha umetaboli na kusafisha mwili dhidi ya sumu na kukuza uwezo wa macho kuona.

Quartz

Jiwe hili linakuza uwezo wa kutunza malengo kujireklebisha, kuhifadhi na nguvu za kimwili na kiroho. Linakuza uwezo wa kuhisi jambo kabla halijatokea. Pia lina uwezo wa kumfundisha mtumiaji kwa kadri ya uwezo wake na kasi yake. Aidha linampa mtumiaji uwezo mkubwa wa mambo mbalimbali.

Mwenye kutaka kutengenezewa pete wasiliana na Dr. Kamfirimbisi natengeneza pete kulingana na nyota yako kwa bei poa.

Piga simu: +255655531702 
                  +255623450753 
                  +255766105099
Kwa whatsapp: bonyeza link hapo chini kuchat na Dr. Kamfirimbisi

Contact Form

Name

Email *

Message *