JINSI YA KUTENGENEZA JUICE (DAWA)
Maandalizi:
1.
Ukwaju kg2
2.
Hiliki robo ¼
3.
Vitunguu swaumu
kg 1
4.
Tangawizi kg 3
5.
Karafuu robo ¼
6.
Abdalasin robo ¼
7.
Ndimu 30
Juice dawa ni dawa yenye
uwezo wa kutibu maradhi mengi kama vile :-
Ø Ngiri
Ø Chango kwa kina mama
Ø U.T.I
Ø Taifodi
Ø Presha ya kupanda na kushuka
Ø Kilungulia
Ø Kipanda uso
Ø Kuondoa uchovu wa mwili
Ø Miwasho yua aina zote
Ø Miguu kuwaka moto
Ø Kutoa ges tumboni
Ø Kuzibua mirija ya uzazi
Ø Nguvu za kiume
Ø Maralia sugu
Ø Kupanga mpangilio mzuri wa hedhi
Ø Kutoa vitu vibaya
kama vile , umeota unakula nyama
Ø Gono / Kaswende