Saturday, March 2, 2024
MVUTO NO 2
LIMBWATA
JOSHO LA MVUTO
DAWA YA KUMSAULISHA MTU
KUSAFISHA MWILI
DAWA YA BIASHARA
KILOMOLOMO
Monday, April 12, 2021
DAWA YA KISUKARI
DR. KAMFIRIMBISI
Amekuja na dawa ya kutibu sukari kwa muda mfupi ni mchanganyiko wa dawa mnyaa na maganda ya mua,magadi, chumvi n.k
Fanya mawasiliano Dr. Kamfirimbisi
ZINDIKO LA NYUMBA
ZINDIKO LA NYUMBA NA MWILI:
DR. KAMFIRIMBISI amekuja kuwatangazia dawa ya kinga ya nyumba kiboko ya wachawi yenye kuleta majibu papopapo utapata majibu mtu akikujaribu kwa kukutupia uchawi tu utamtoa damu na mfano wa radi:
Dawa hiyo inaitwa Rushita inapatika kwa bei nafuu, kinga ya mwili ni Tshs 50,000/= na kukinga nyumba ni Tshs 100,000/= kwa wale wakazi wa Dar es salaam wanaweza kutafuta kwa namba ya simu 0655531702 au 0623450753 au 0766105099 nitakufikia hapo hapo ila andaa kinu kikubwa. Na kwa wale walionje ya mkoa wa Dar es salaam pia wanaweza kunitafuta nakufanya makubaliano ya kufika hapo.
Friday, August 21, 2020
MARADHI YA DONDA LILILOKO NJE YA MWILI
Tiba hii ni mujarrab sana kwa donda:
Chukua mafuta ya zaituni pakaa kwenye donda baada ya kuliosha vizuri kabisa, kisha baada ya hapo chukua vidonge vya Parasetamol(hizi hizi parasetamol zinazouzwa katika duka la dawa za kisasa yaani dawa za kizungu) halafu chukua vidonge viitwavyo septrin, fanya vidonge vitano vitano kila upande (yaani parasetamol vidonge vitano na septrin vidonge vitano) kisha vidonge hivi visage vizuri kabisa kipake mafuta ya zaituni kidogo, baada ya hapo nyunyiza ule unga wa vidonge hivyo hadi vilifunike donda hilo.
Ndugu yangu dawa hii ni ajabu sana namna inavyoponesha vidonda vilivyo nje ya mwili. Hivyo basi dawa hii mimi huiita kuwa ni rafiki wa watoto wakitahiriwa na ikawa vidonda hivyo vinasumbua basi komesha yake ni hiyo tu inshaallah ni mujarrab sana.
Thursday, August 6, 2020
JUICE TUMIA KAMA DAWA
JINSI YA KUTENGENEZA JUICE (DAWA)
Maandalizi:
1.
Ukwaju kg2
2.
Hiliki robo ¼
3.
Vitunguu swaumu
kg 1
4.
Tangawizi kg 3
5.
Karafuu robo ¼
6.
Abdalasin robo ¼
7.
Ndimu 30
Juice dawa ni dawa yenye
uwezo wa kutibu maradhi mengi kama vile :-
Ø Ngiri
Ø Chango kwa kina mama
Ø U.T.I
Ø Taifodi
Ø Presha ya kupanda na kushuka
Ø Kilungulia
Ø Kipanda uso
Ø Kuondoa uchovu wa mwili
Ø Miwasho yua aina zote
Ø Miguu kuwaka moto
Ø Kutoa ges tumboni
Ø Kuzibua mirija ya uzazi
Ø Nguvu za kiume
Ø Maralia sugu
Ø Kupanga mpangilio mzuri wa hedhi
Ø Kutoa vitu vibaya
kama vile , umeota unakula nyama
Ø Gono / Kaswende
Friday, July 24, 2020
MBAAZI
Mizizi ya mbaazi inatibu magonjwa zaidi ya 70,yapo baadhi ya magonjwa hutibiwa kwa miziz hiyo pekee na magonjwa mengine mzizi huo huwa kiungo kwenye mchanganyiko wa miti tofauti,mfano mizizi ya mbaazi ni tiba nzuri kwa mtoto mwenye kigugumizi
FAIDA YA MTI WA MKWAJU
Ukwaju kwa rugha ya kilatini unaitwa TAMARINDUS,
pia ukija kwa wahindu wanamajina yao IMLI,
na pia kwa kingereza wanauwita TAMARIND TREE,
hizi ni baadhi ya nchi na wanavyo uwita na ukija tz wanauwita UKWAJU,UKWASU,MATE MATAMU,NCHWACHU,SHINK MEREMERE haya ni majina baadhi ya rugha na jinsi wanavyo uwita mti huu wa ukwaju mti wa ukwaju unatumika kwenye kazi nyingi mfano kutoa majini fusho LA majini pia unaingia kwenye zindiko LA kufanya mchawi akiingia apigwe bakora mpaka akome na kazi nyingi sana za kupiga mangu, mti huu ni wa bakora yaan mkwaju ni MUAZIBU WANGA ,ila Leo tuone kwenye tiba, mkwaju unatumika kwenye KUTIBU maradhi mbali mbali MFANO majani ya ukwaju yanatibu fangasi,kusafisha kibofu cha mkojo,KUTIBU MAUMIVU ya viungo mwilini.
Tatizo la kukosa choo,,matatizo katika TUMBO,tatizo LA gesi,figo,pamoja na U.T.I basi kwa hakika unatibu maradhi haya tukia kuchemsha kwa kunywa au magome kusaga kunywa kwenye uji kutwa X2,
Kuomdoa kemikali sumu lehamu mwilini,KUTIBU tatzo LA mmeng'enyo na ni antiseptic inayouwa bacteria na kuzuia wadudu wasikae katika ngozi .
kunywa juice ya ukwaju ili kukata na KUTIBU homa za Mara kwa Mara na hakika utapona kabsa na pia hakikisha juice hiyo uichanganye na manjano kidogo.
juice yabukwaju ukichanganya na mafuta ya ufuta weka kijiko ipate uvugu vugu kisha weka juu ya SEHEMU ILIYO vunjika.
kunywa juice ya majani ya ukwaju kutwa X3 utapona kabsaa inshaallah.
weka tone moja LA juice ya ukwaju.
Hakika utapona ajabu
kama unatatzo LA kujikuna kama ukurutu or nk nasi jua hilo ni tatzo na usha tumia dawa za hospitals lakin wapi na ushatumia dawa za kisuna lakin wapi basi tumia dawa hii mujarabu ponda ponda majan
U.T.I
kwa kawaida mwanamke ameumbwa na centimetre 1-4 kutoka nje kwenda ndani kwenye njia yake ya haja ndogo,
ila tu milango yako ipo wazi sana na ni rahisi kupata maambukizi,
na ukishapata hivo vibacteria kwanza vinaenda kudhoofisha kinga za uke(normal flores)ambao hao normal flores wenyewe hua wanaishi kwenye ute wa kike(lactic acid) hivyo inakua ni rahisi kupata mashambulizi ya magonjwa mbalimbali.
(2) Ureters; ambayo ni mirija inayounganisha figo na kibofu cha mkojo,
kibofu cha mkojo (bladder) na urethra; sehemu inayotoa mkojo toka kwenye kibofu cha mkojo hadi nje ya mwili.
A) lower U.T.I
Lower U.T.I ni hatua ya ugonjwa kushambulia maeneo ya urethra na
kibofu cha mkojo (bladder). Katika hatua hizi, mgonjwa atasikia dalili
zifuatazo:-
1. Maumivu wakati wa kukojoa
2. Kujisikia kukojoa mara kwa mara lakini kutoa mkojo
3. Damu katika mkojo
4. Mkojo wenye rangi ya chai
5. Mkojo wenye harufu kali
6. Maumivu ya kiuno kwa wanawake
7. Maumivu ya sehemu za nyuma kwa wanaume
Upper U.T.I ni maambukizi ya ndani ya figo. Hii ni hatua mbaya sana
endapo bacteria wataanza kuingia kwenye mkondo wa damu kutoka
kwenye figo – SEPSIS. Sepsis huweza kusababisha msukumo wa
damu kuwa mdogo sana (Low Blood Pressure), mshituko au kifo.
1. Maumivu ya maeneo ya juu ya mgongo
2. Homa
3. Kusikia baridi
4. Kusikia kichefuchefu
5. Kutapika
3.Maumivu ya mgongo, kiuno na NYONGA
4.Kupoteza hamu ya tendo la ndoa.nk.
5.Kuharibu homon(hormon inbalance)
6.Mimba kuharibika
7.Kishindwa kubeba mimba.
U.t.I sugu inayojirudiarudia
Fangasi(miwasho mwilini)
Uzazi
Utokwaji Wa Uchafu kama maziwa mtindi ukeni tena kwa dozi 1 tu.
Sukari
Presha
Vidonda vya tumbo
Pumu
Vimbe mbalimbali
Maumivu makali wakati Wa hedhi/kupitiliza na kutokuona kabisa
Thursday, July 23, 2020
SIKU MBAYA NA NZURI KATIKA KILA NYOTA
NYOTA
|
SIKU NZURI
|
SIKU MBAYA
|
|
1
|
PUNDA (AMY)
|
JUMATANO
JUMAPILI
IJUMAA
|
ALHAMISI
JUMAMOSI
JUMATATU
|
2
|
NG’OMBE(BNZ)
|
IJUMAA
JUMATATU
JUMATANO
|
JUMAMOSI
JUMAPILI
JUMANNE
|
3
|
MAPACHA(CO)
|
JUMATANO
|
JUMAPILI
JUMAMOSI
ALHAMISI
|
4
|
KAA(DP)
|
JUMATATU
|
JUMANNE
JUMAMOSI
JUMAPILI
|
5
|
SIMBA(EQ)
|
JUMAPILI
|
JUMATATU
ALHAMISI
JUMAMOSI
|
6
|
MASHUKE(FR)
|
JUMATANO
|
JUMAPILI
|
7
|
MIZANI(GS)
|
JUMAPILI
JUMANNE
IJUMAA
|
JUMATATU
JUMATANO
ALHAMISI
|
8
|
NG’E(HT)
|
JUMANNE
ALHAMISI
JUMATATU
JUMAPILI
|
JUMATANO
IJUMAA
JUMAMOSI
|
9
|
MSHALE(IU)
|
ALHAMISI
JUMAMOSI
JUMAPILI
JUMANNE
|
JUMATANO
IJUMAA
JUMATATU
|
10
|
MBUZI(JV)
|
JUMAMOSI
JUMATATU
JUMANNE
JUMATANO
|
ALHAMISI
JUMAPILI
|
11
|
NDOO(KW)
|
JUMAMOSI
JUMAPILI
JUMANNE
|
JUMATATU
JUMATANO
ALHAMISI
IJUMAA
|
12
|
SAMAKI(LX)
|
ALHAMISI
JUMAMOSI
JUMAPILI
JUMANNE
|
JUMATANO
IJUMAA
JUMATATU
|
JINSI YA KUMFUNGA MUME/MKE ASICHEPUKE
- Udi nadi
- Ubani mashtaka
- Uume wa mbwa mweusi asiye na jeraha
- Kiberiti kipya
- Karatasi nyeupe
- Zafarani nyekundu
- Mnamata (mmea kama miba miba, ukiupitia unakamata kwenye nguo)