Saturday, March 2, 2024
MVUTO NO 2
Unataka kua na mvuto kwa watu kua na mvuto wa kupata pesa katika miangaiko yako biashara zako Kubarikiwa Naam Twende sawa
Tafuta dawa hizi
Muosha fedha
Mkulungu
Mkongowele
Kasela ya Bara
Itinginya
Changanya mchanganyiko wa dawa hizo kisha Utakua Unaoga Asubuhi na jioni siku 7 mfululizo kwa kuweka Na Sarafu za hela kuanzia 3,5 Mpaka 7 kisha ukimaliza kuogea siku hizo 7 hizo sarafu za hela wape watoto wakatumie Naam..