U.T.I : INA TIBIKA SASA KWAKUTUMIA DAWA ZA ASILI
UTi ni ugonjwa ambao unasumbua watu wengi; watoto, vijana na
watu wazima.
UTI (Urinary Tract Infection); ni maambukizi kwenye njia ya
mkojo. ambayo chanzo chake kikubwa kipo kwenye sehemu ya haja kubwa(anus)au
kwenye utumbo mpana(large intestine)
kwanini imekua u.t.i?kabla ya kua u.t.i kulikua na vimelea
ambavyo vinaishi katika eneo la haja kubwa ambavyo ni ulinzi wa eneo hilo,ila
ukivihamisha kutoka eneo hilo nakupeleka eneo lingine haviwi ni ulinzi bali ni
mashambulizi,
kwa kawaida mwanamke ameumbwa na centimetre 1-4 kutoka nje kwenda ndani kwenye njia yake ya haja ndogo,
ila tu milango yako ipo wazi sana na ni rahisi kupata maambukizi,
kwa kawaida mwanamke ameumbwa na centimetre 1-4 kutoka nje kwenda ndani kwenye njia yake ya haja ndogo,
ila tu milango yako ipo wazi sana na ni rahisi kupata maambukizi,
sasa wanawake wengi baada ya kujisaidia haja kubwa hujisafisha
kutoka nyuma kwenda mbele na hapo ndipo wanapohamisha vile vimelea na vikifika
njia ya mkojo vinakua ni mashambulizi na ndipo vinaitwa (urinary track
infection)U.T.I.
na ukishapata hivo vibacteria kwanza vinaenda kudhoofisha kinga za uke(normal flores)ambao hao normal flores wenyewe hua wanaishi kwenye ute wa kike(lactic acid) hivyo inakua ni rahisi kupata mashambulizi ya magonjwa mbalimbali.

Ugonjwa huu hushambulia
(1) Figo (kidneys);
(2) Ureters; ambayo ni mirija inayounganisha figo na kibofu cha mkojo,
kibofu cha mkojo (bladder) na urethra; sehemu inayotoa mkojo toka kwenye kibofu cha mkojo hadi nje ya mwili.
(2) Ureters; ambayo ni mirija inayounganisha figo na kibofu cha mkojo,
kibofu cha mkojo (bladder) na urethra; sehemu inayotoa mkojo toka kwenye kibofu cha mkojo hadi nje ya mwili.
AINA ZA U.T.I
A) lower U.T.I
Lower U.T.I ni hatua ya ugonjwa kushambulia maeneo ya urethra na
kibofu cha mkojo (bladder). Katika hatua hizi, mgonjwa atasikia dalili
zifuatazo:-
1. Maumivu wakati wa kukojoa
2. Kujisikia kukojoa mara kwa mara lakini kutoa mkojo

kidogo tu
3. Damu katika mkojo
4. Mkojo wenye rangi ya chai
5. Mkojo wenye harufu kali
6. Maumivu ya kiuno kwa wanawake
7. Maumivu ya sehemu za nyuma kwa wanaume
3. Damu katika mkojo
4. Mkojo wenye rangi ya chai
5. Mkojo wenye harufu kali
6. Maumivu ya kiuno kwa wanawake
7. Maumivu ya sehemu za nyuma kwa wanaume
B. Upper U.T.I
Upper U.T.I ni maambukizi ya ndani ya figo. Hii ni hatua mbaya sana
endapo bacteria wataanza kuingia kwenye mkondo wa damu kutoka
kwenye figo – SEPSIS. Sepsis huweza kusababisha msukumo wa
damu kuwa mdogo sana (Low Blood Pressure), mshituko au kifo.

Dalili za upper UTI ni:
1. Maumivu ya maeneo ya juu ya mgongo
2. Homa
3. Kusikia baridi
4. Kusikia kichefuchefu
5. Kutapika
1. Maumivu ya maeneo ya juu ya mgongo
2. Homa
3. Kusikia baridi
4. Kusikia kichefuchefu
5. Kutapika
Ukiipuuza U.T.I Unaweza kupata athali kubwa sana kama zifuatazo
1.Figo kushindwa kufanya kazi (kidney
failure)hii ni hatari
sana ,hutokana na bacteria kushambulia figo
2.Kupatwa magonjwa ya kibofu ,kama kibofu kuziba
,kushindwa kukojoa ,hii
hupelekea MTU kukojoa kwa mirija
3.Maumivu ya mgongo, kiuno na NYONGA
4.Kupoteza hamu ya tendo la ndoa.nk.
5.Kuharibu homon(hormon inbalance)
6.Mimba kuharibika
7.Kishindwa kubeba mimba.
3.Maumivu ya mgongo, kiuno na NYONGA
4.Kupoteza hamu ya tendo la ndoa.nk.
5.Kuharibu homon(hormon inbalance)
6.Mimba kuharibika
7.Kishindwa kubeba mimba.
PIA TUNATIBU
U.t.I sugu inayojirudiarudia
Fangasi(miwasho mwilini)
U.t.I sugu inayojirudiarudia
Fangasi(miwasho mwilini)
Nguvu za kiume Kwa dozi 1 tu.
Uzazi
Utokwaji Wa Uchafu kama maziwa mtindi ukeni tena kwa dozi 1 tu.
Uzazi
Utokwaji Wa Uchafu kama maziwa mtindi ukeni tena kwa dozi 1 tu.
Tezi dume
Sukari
Presha
Vidonda vya tumbo
Pumu
Vimbe mbalimbali
Maumivu makali wakati Wa hedhi/kupitiliza na kutokuona kabisa
Sukari
Presha
Vidonda vya tumbo
Pumu
Vimbe mbalimbali
Maumivu makali wakati Wa hedhi/kupitiliza na kutokuona kabisa
Bawasili
Wasiliana nami Dr. Kamfirimbisi kwa namba za simu
+255655531702 ,+255623450753, 255766105099