Saturday, March 2, 2024
DAWA YA KUMSAULISHA MTU
Dawa ya kumsaulisha mtu kwa jambo lolote lile ukitakaaa asahau au akusahau na kukupotezea iwe kesi ugomv anakudai nk
Naam mashine ya kusaga na kupepeta inapepeta kila kitu kigongo atar icho Twende sawa
Tafuta
Alimiti
Ubani mashtaka
Chababilah
Ukipata ivyo vitu chukua karatasi andika na pen nyekundu makusudio yako kisha weka dawa zako izo funga vizuri karatasi yako kwa manuizi chukua kitambaa cheusi funga na iyo karatasi mafundo saba ukimaliza nenda sehem iliyo kuwa wazi kama vile uwanjani yan sehem inayo pigwa na jua pasiwe na kivuli ukimaliza fukia rud kaendelee na mmb mengine hakika uyo mtu atasahau kabisa ilo jambo