Saturday, March 2, 2024
JOSHO LA MVUTO
Hili ni Josho la mvuto Jisafishe mwili wako kwa kuoga Zaidi na zaidi utaona maajabu yake tafuta
Udi Rose
Mafuta mazuri
Kitambaa cheupu cha kukutosha kuvaa
Mliliwa
Itinginya
Mawaridi
Marashi rose
Mlipu
Mfunguo
Kisha vaa hicho kitambaa chako kisha ivyo vitu vyako dawa zako zote zichanganye kwenye ndoo yako ya maji kisha pukuchulia na huo Udi rose humo humo kwenye ndoo yako ya maji kisha iache ichanganyike vizuri Tia Manuizi yako ya kusafisha mwili kuweka mvuto kitambaa cheupe kinaonekana usiku na mchana basi nami nikaonekane kwenye miangaiko yangu iwe kwenye kiza au iwe kwenye mwanga nikaonekane kama kitambaa cheupe kisha ukae kwenye kigoda au kinu uoge hiyo dawa yako utaona maajabu yake ni hatari ilo josho la mvuto...Naam pendelea kuoga mara kwa mara