Saturday, March 2, 2024
DAWA YA BIASHARA
Kivumbasi cha mwinula na chini yake ni ngurukila ya juu yani mti ulio ota juu ya mti mwenzie twende sawa tafuta izo dawa kisha kausha zikauke vzuri kisha twanga upate unga wake mlaini na ukishapata ivyo vitu faida zake izi
Naam kama biashara yako imelala wateja wamekuwa kuja kwa mitihani sasa nakupa njia iii ya kuinua iyo biashara utafagia sehem unayo fanya biashara utachukua uwo mchanga changanya na izo dawa zako matumizi kuchoma kwa mwito wa biashara yako hakika wateja watafulika sana fanya ivy siku 7 ad 14 kwa manuizi
Naam izo dawa ukitumia kumtuliza mume mke au kumuita kama ameondoka na amekutelekeza chakufanya fanya iv nyoa nywele zako za kwa bibi au babu kisha weka na chumvi ya unga au ya mawe utatumia kuchoma na kutia manuiz ngurukila ya juu wewe umeota juu ya mti mwenzio kwamba awez kukushusha mmemtangulia na mm nataka niwe juu ya fulani yeye awe chini yangu chochote nitakacho mwambia anielewe kabisa na anikumbuke popote alipo asisikilize maneno yoyote zaid yangu na mwinula nataka uniinulie mapenzi ya mimi na fulani yawe moto aniwaze anipende nk weka manuizi hakika utakuja niambia
Naam kwa wale wanao taka cheo kazini kupandishwa, kupendwa na watu kila lika hasaminike kuhusu kitu chochote tafuta izo dawa kisha changanya vizimba ivi
Ngekewa
Kiroto
Baraka
Asali ya nyuki wadogo
Naam chanjia maugoni mwako kwa manuizi hakika utakuwa juu kwa yoyote na kupendwa haswa
Naam pia vile vile ni
Limbwata
Kinga
Kuhuwa kesi
Dawa za mvuto wa mapenzi
Dawa za biashara
Dawa za kusafisha nyota
Naam tafuta
Mkonola
Msulula
Msekela
Msikiwa