Saturday, June 6, 2020

UKE KUTOA SAUTI

Kwa mwanamke ambae ameshawah kukutana na jambo hili zaid ya mara moja basi anajua ni fedhea kiasi gan hua anapata na kukosa hamu kabisa ya kuendelea na jimai
SASA TATIZO SIO KUSIKIKA KWA SAUTI HUYO ILA NI MUME KUTOKUJUA NI NINI HALI HIYO JE NI UGONJWA TATIZO AU NI JAMBO LA KAWAIDA AKISHA JUA HILI HATA WEZA KUMCHEKA MWANAMKE NA KUMUONA WA AJABU KIMAUMBILE

KWANINI UKE HUTOA SAUTI 
Umbo la uke lipo katika hali ya mikunjo mikunjo kitaalam huitwa 
VAGINA RUGAE ambapo mikunjo hiyo ipo kama mikunjo ya bati sasa pindi inapo ingia hewa huiminya na kutoa nje ndo maana kuna mikao ukikaa hufanya uke kufinya hewa ile na hewa kutoka kwa kutoa sauti ima kwenye jimai kwenye mazoez au hata ukiwa unafanya usafi

IKIWA IMETOKEA WAKATI WA JIMAI
Nilisha sema kua uke na uume hua mfano wa sindano za hospital ( injection ) unapo vuta hutoa fyonza hewa ilio ingia ndani au hufyonza dawa ulio iweka kwenye kichupa kitendo hiki hakina tofauti na uume kuiingia kwenye uke na kutoa. 
Kuna mikao ambapo hupelekea hewa kuingia na uume unapo toka ima kuingia huiminya hewa hiyo na hapo hutoa mlio  ukiangalia kwa makini ni kama vile koromeo likipitisha gesi/hewa  hutoa mlio sawa sawa na huo japo huu unauita kucheua na ule una sema ni kama ushuzi lakin sio hivyo ikiwa utatafakari.

SABABU ZA UKE KUTOA MLIO
 

UREFU WA UKE kutoka katika kizazi japo sio wote
UDOGO WA UUME HASWA UPANA (GIRTH) unaweza kua na uume mrefu na bahati mbaya ukawa sio mnene kuweza kushika kuta za uke na upepo kuweza kuingia pindi unapo ingiza.

WATU WALIO JIFUNGUA japo sio wote

KUTANUA UKE kupita kiasi chake haswaa katika mikao
NINI CHA KUFANYA
ANGALIA MIKAO YA KUFANYA AMBAYO HAITA RUHUSU HEWA KUINGIA NDANI

TUMIA MAJI YA BARIDI KUJISAFISHIA UKE KILA UNAPO MALIZA RAUNDI KATIKA JIMAI AU KUJISAFISHA IMA UKIWA UMETOKA CHOONI AU ASUBUHI

FANYA MAZOEZI YA KEGEL
 yana faida nyingi sana na nimeshaelezea sana.

Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa chini
Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI


Contact Form

Name

Email *

Message *