KUFUNGUA
BIASHARA ILIYO FUNGWA.
Ikitokea kuwa biashara yako imefunga
kishirikina au hata kama imezikwa basi wewe chakufanya ni rahisi sana kuna njia
mbili au zaidi za kuagua biashara lakini leo tuangalie ile njia nyepesi na
mujarabu kwanza kabisa chukua mchanga wa
kuzunguka eneo lako la biashara na kama nje hakuna pa kuchota mchanga basi
fagia mchanga wa ndani ya ofisi yako hata kama ni kidogo inatosha sana chukua
na dawa inayoitwa mfunguo,habat nuksi,mwinura au kivumbasi pamoja na majani ya
mzaituni au mafuta yake changanya pamoja alafu utumie kuoga na kama una weza
kujifusha,ndio uanze kuosha ama kupigia deki katika eneo lako huku unanuizia
kwa kusema ‘’EH! MUNGU WANGU ULISEMA NIOMBE KHERY NITAKUPA NIOMBE SHARI
NITAKUPA LEO HII WALIO OMBA SHARI JUU YANGU UMEWAPA BASI NA MIMI KUANZIA SASA
NAOMBA KHERY NAOMBA UFUNGUZI WA BIASHARA YANGU IRUDI KUWA KAMA ZAMANI NASAFISHA
NUKSI,MIKOSI,MABALAA,KIZA CHA MIAKA NA MIAKA NAOMBA MUNGU UNISAIDIE’’ kwa
kutokana na mfano wa manuizi haya basi kwa hakika mungu atafungua biashara yako
ama njia nyingine chukua ule mchanga na uzisomee surati jinni aya ya 1 mpaka ya
9 huku ukiwa umefunga macho na kunuizia kuanzia leo nawafunga majini na watu
katika eneo hili watakao kuja kuroga na kuiba kisha utasoma surat fatiha X99
kwa manuizi ya kufungua eneo lako kisha mchanga huo nenda kaumwage katika eneo
lako la biasha yaani utaurudisha tena pale pale kwa hakika utaona maajabu ya
dawa hizi.
Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa chini
Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI