Tiba Ya Miguu
Kuwaka Moto: Chukua majani
ya mti wa Mvumbasi, unguza pamoja na majani
ya mti wa mnungunungu, halafu changanya na mafuta
ya taa lita moja. Matumizi: Utakuwa unatumia
kujichua kwenye miguu kutwa mara tatu kwa
muda wa siku thelathini. Utapata nafuu
kubwa sana.
TIBA
YA KIKOHOZI: Tafuna majani ya mti wa
mbaazi. Mbali na kutibu kikohozi, mti wa mbaazi,
unatibu magonjwa mengine mengi. Mfano, mizizi ya mti
wa mmbaazi, husaidia kutibu chango la kiume
na kusafisha kibofu cha mkojo.
KUVIMBA KWA
TEZI LA SHINGO:
Kama una sumbuliwa na tatizo la tezi kuvimba, chukua unga wa Kamun Nyeusi, kisha changanya na sega la nyuki, halafu tumia kukanda kwenye tezi, kila siku kwa muda wa mwezi mmoja. Utapata mafanikio makubwa sana.

TIBA YA MAUMIVU
YA MGONGO, MIGUU, NYONGA NA KIFUA KUPASUA:
Kama una sumbuliwa na maumivu ya mgongo, miguu, nyonga na kifua kupasuka, fuata maelekezo yafuatayo:Chukua mafuta ya nyonyo robo lita, mafuta ya Kamun Nyeusi kiasi cha robo lita pamoja na mafuta ya karafuu robo lita , changanya pamoja halafu uwe unatumia kujichua sehemu yenye maumivu, kutwa mara tatu kwa siku thelathini. Utapata nafuu kubwa sana.

TIBA YA KWIKWI : Kama
unasumbuliwa na kwikwi, fuata maelekezo yafuatayo :
Chukua majani ya mwembe mkavu, pekecha kisha
mpe mgonjwa atumie kuvuta kama sigara
halafu awe anameza moshi. Tatizo la kwikwi
litaisha.
Tatizo La
Kukojoa Kitandani ; Kama una tatizo la
kukojoa kitandani, tumia mizizi ya mbaazi kwa
kuchemsha, na kunywa maji yake kutwa mara
mbili kwa siku, kwa muda wa siku kumi na nne.
Tatizo
la uvimbe kwenye kizazi : Kama una
tatizo la uvimbe kwenye kizazi, chukua
mizizi ya mtopetope, tumia kwa kuchemsha na kisha
kunywa maji yake, mara tatu kutwa kwa
siku thelathini.
Vidonda
vya koo : Kama una tatizo la vidonda
vya koo, chukua maji ya uvuguvugu kiasi cha nusu
lita, kisha kamulia ndimu tatu fresh, halafu
tumia kusukutulia. Utafanya hivyo mpaka, utakapo
pata nafuu.
Malaria sugu : Kama una
malaria sugu, chukua maji ya dafu moja, weka
kwenye chombo kisafi, kisha kamulia ndimu saba,
halafu tumia kunywa. Fanya hivyo mara mbili
kwa siku, asubuhi na jioni kwa siku tatu
hadi saba. Hakika utapata matokeo mazuri sana.
Tiba ya
tatizo la kutoa harufu mbaya kinywani, sehemu za
siri, kikwapa na jasho lenye harufu mbaya :
Chukua maji yaliyo lowekewa mchele
kiasi cha lita moja, kisha tumia kunawia
sehemu husika na kusukutulia mdomo. Utafanya
hivyo mara tatu kwa siku hadi utakapo
ridhika na matokeo unayo yahitaji.
Kwa wakina
mama; Jinsi yakuzuia uchungu wamimba,maumivu yakiuno, maumivu wakati
wahedhi, na damu itokayo bila mpangilio wasiku maalumu,Chukua majani ya mbigili
yatwange halafu changanya navijiko vitatu vikubwa vya unga wa mti
unaitwa msonobali kisha tumia kunywa glasi 1 yenye ujazo
wa milimita mia mbili na hamsini,
kutwa mara tatu hadi hali yako itakapokua nzuri
Tiba Ya Vidonda
Vya Tumbo,Kisukari pamoja na Typhoid:
Chukua
mizizi ya mti wa msongati pamoja na majani ya mkalatusi vitwange
kwa pamoja kisha chemsha kwenye maji lita moja,
halafu tumia kunywa glasi moja ya robo lita, mara
tatu kwa siku kwa siku thelathini.
Tiba Ya Tatizo La Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa Kwa Wanawake : Kama wewe ni mwanamke unaye sumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya tendo la ndoa, unaweza kutibu tatizo lako kwa kutumia vyakula mbalimbali kama ifuatavyo :

i. JUISI
YA MIWA : Tumia kunywa nusu lita
hadi lita moja ya juisi ya miwa, mara
tatu kwa siku asubuhi, mchana na jioni kwa
siku thelathini. Utapata matokeo mazuri. Mbali na
kuwasaidia akina mama wenye tatizo la
kukosa hamu ya tendo la ndoa, juisi
ya miwa ina faida nyingine nyingi kitabibu.
Moja kati ya faida kubwa za juisi ya
miwa, ni uwezo wake mkubwa wa kusafisha
figo. Hivyo hata wanaume wanashauriwa kutumia
juisi ya miwa au miwa kwa wingi,kwa
sababu inasaidia kusafisha figo, na figo ni
moja kati ya ogani muhimu sana katika
mfumo wa nguvu za kiume.
ii. MBEGU ZA FENESI :
Chukua mbegu za fenesi kiasi cha robo kilo, kisha chemsha na maji lita mbili, halafu tumia kula pamoja na supu yake. Utafanya hivyo mara tatu kwa siku kwa muda wa siku thelathini. Hakika utapata matokeo mazuri sana. Unaweza pia kuzisaga na kutumia unga wake, kwa kuchemsha na kunywa, kwa kufuata utaratibu huo hapo juu.

iii. KOROSHO : Tumia
kula korosho pakti moja yenye ujazo wa
robo kilo, mara tatu kwa siku, asubuhi, mchana na
jioni kwa siku thelathini. Yaani asubuhi, tumia robo
kilo, mchana robo kilo na jioni robo kilo
kwa siku thelathini. Utapata matokeo mazuri.
iv. MIHOGO MIBICHI :
Tumia kutafuna walau vipande vitatu vya mihogo mibichi kwa siku, kwa muda wa siku thelathini. Yaani asubuhi utumie kipande kimoja kikubwa,mchana kipande kimoja kikubwa na usiku, utumie kipande kimoja kikubwa.
TIBA ASILIA YA TATIZO KIFUA KISICHO PONA KWA WATOTO WADOGO WALIO KUNYWA UCHAFU WAKATI WA KUZALIWA, PUMU, KIFUA KISICHO PONA KWA WATU WAZIMA,KICHOMI,KUWASHWA MWILI NAKUPALIWA WAKATI UMELALA USINGIZINI

Tiba
Yake, chukua majani ya mpera kiasi cha kama
viganja vinne, yaponde pamoja na magome ya muembe
kiasi cha viganja vinne, na tunda la koma manga,
twanga vyote kwa pamoja ( Yani majani ya
mpera, magome ya muembe na tunda moja la
komamanga ).
Ukisha
maliza kutwanga, changanya na maji lita mbili
halafu chemsha pamoja na lita moja ya asali
mbichi ya nyuki wadogo.
Chemsha
hadi itokote, halafu ipua dawa yako.
Matumizi :
Kwa mtoto mdogo mwenye umri wa kati ya
mwaka mmoja na miaka mitano, tumia kumpa kijiko
kimoja kikubwa mara mbili kwa siku, asubuhi
na jioni n kwa siku saba.
Na
kwa mtu mzima, tumia kunywa vijiko vikubwa
viwili mara mbili kwa siku asubuhi na
jioni, kwa siku ishirini na moja
KUJITIBU TATIZO LA
MTOTO WA JICHO : Kujitibu mtoto
wa jicho, tumia kunyunyizia jichoni matone mawili
ya utomvu wa toto la ndizi. Fanya hivyo
mara tatu kwa siku, asubuhi, mchana na jioni
kwa siku thelathini. Utapata matokeo mazuri.Mbali
na kutibu tatizo la mtoto wa jicho, toto la
ndizi, likichanganywa kitaalamu na wine ya mnazi
( Palm wine ) au mnazi, husaidia kutibu tatizo la
kidole tumbo au appendix.
TIBA ASILIA
YA KUPUNGUZA GESITUMBONI
Kuondoa
gesi tumboni, kwa kutumia tiba asilia, chukua juisi ya
kitunguu maji kiasi cha glasi moja yenye ujazo wa
milimita mia mbili na hamsini,kisha changanya na
asali mbichi kijiko kimoja koroga halafu tumia kunywa .
Utafanya
hivyo mara tatu kwa siku kwa muda wa siku
kumi na nne.
AU
chukua kipande kimoja cha tangawizi,kiponde ponde
kisha chemsha kwenye nusu lita ya maji pamoja na
kijiko kimoja kikubwa cha asali mbichi ya
nyuki wadogo, halafu tumia kunywa kutwa mara
mbili kwa siku ishirini na moja.
AU
; Chukua asali mbichi ya nyuki wadogo kiasi
cha robo lita, changanya na vijiko vitatu
vikubwa vya unga wa Kamun nyeusi,kisha chemsha
pamoja kwenye maji lita moja.Halafu tumia kula
vijiko vikubwa vitatu kutwa mara tatu kwa
siku ishirini na moja.
TIBA YA PUMU : Chukua magadi vijiko vikubwa vitatu, saga upate unga wake, kisha changanya na samli ya n’gombe vijiko 21 vikubwa na asali vijiko 30 vikubwa. Matumizi : Tumia kula vijiko vikubwa vitatu asubuhi, vitatu jioni na vitatu usiku kwa muda wa siku thelathini. Utapata nafuu kubwa sana.

YA KIHARUSI NA KIFAFA:
Chukua
mizizi mitatu ya mti wa ukwaju, mizizi
mitatu ya mti wa mkungu, mizizi mitatu ya
mpapai, pamoja na mizizi mitatu ya mti wa
ufwambo. Iponde ponde yote kisha chemsha
kwa pamoja kwenye maji ya lita tatu
hadi yachemke. Tumia kumpa mgonjwa glasi moja,
kutwa mara tatu kwa siku thelathini. Mgonjwa
wako atapata nafuu kubwa sana.
TIBA ASILIA YA FANGASI ZA KWENYE DAMU, UKURUTU, UPELE, MCHAFUKO WA DAMU, PAMOJA NA KUWASHWA KWAMWILI.
TIBA ASILIA YA FANGASI ZA KWENYE DAMU, UKURUTU, UPELE, MCHAFUKO WA DAMU, PAMOJA NA KUWASHWA KWAMWILI.
Chemsha
robo kilo ya majani ya mti wa mdimu
kwenye maji kiasi cha lita mbili. Maji yakisha
tokota, ipua chuja, halafu tumia kunywa glasi
mbili asubuhi, mbili mchana, mbili jioni. Utafanya
hivyo kwa muda wa siku thelathini. Hakika
utapata nafuu kubwa sana.
TIBA ASILIA YA MARADHI YA FANGASI ZA MIGUU NA KUNUKA MIGUU.
TIBA ASILIA YA MARADHI YA FANGASI ZA MIGUU NA KUNUKA MIGUU.
Twanga
majani ya mwarobaini robo kilo, chemsha na
maji lita tano, kisha weka kwenye beseni halafu
loweka miguu yako ndani ya beseni kwa muda
wa lisaa limoja. Utafanya hivyo kutwa
mara mbili kwa muda siku kumi na nne.
Utapata matokeo mazuri sana.
AU chukua majivu kiasi cha robo kilo,changanya na robo lita ya juisi ya ndimu, kisha nyunyizia kwenye miguu, na ukae kwa lisaa limoja. Utafanya hivyo mara mbili kwa siku kwa siku thelathini. Japo inauma lakini ni tiba nzuri sana.

KUONGEZA
MAZIWA KWA MAMA ANAE NYONYESHA : Chukua
majani ya mti wa ukwaju, kiasi cha nusu
kilo, kisha chemsha na maji lita tano. Tumia kunywa glasi tatu asubuhi, tatu mchana, tatu jioni kwa
muda wa siku saba. Hakika utapata matokeo
mazuri sana. Utakuwa unafanya hivyo kila
mara utakapo hitaji kuongeza maziwa.
Endapo umatatizo haya basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa chini
Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI