Monday, June 8, 2020

NUKSI

TATIZO LA NUKSI
Nini nuksi? Nuksi waweza kuita mkosi. Nuksi AMA mkosi ni aina ya tatizo ambalo aliye na tatizo hili huwa ni mtu mwenye hali ngumu sana kwa sababu kila analo Fanya huwa hafanikiwi Mtu mwenye nuksi huwa ni mtu mwenye hali zifuatazo
1 Kila analo fanya huharibika
2 Kuchukiwa na watu bila sababu
3 Kutengwa na watu
4 Watu kukupuuza na kuto kukujali
5 Ugumu wa maisha kwa kukosa msaada
AINA ZA NUKSI
MILANGO YA NUKSI
1 Kuna nuksi unaipata kwa njia ya uzinzi
2 Kuna nuksi unaipata kwa kuwa na tabia ya kutooga janaba,
hasa wale ambao huvaa mawigi au usukaji rasta
3 Nuksi ya majini
4 Nuksi ya uchawi
5 Nuksi ya njiani
6 Nuksi ya kukosa radhi ya wazazi
NUKSI  INAYO LETWA NA JINI
Yaweza kutokana na:-
1 Jini ankis
2 Jini ashki (Ummu subian)
3 Pia mwanandoa kuwa na jini mahaba aina yeyote
Utajuaje kama una jini mahaba?
Au unawezaje kujua aina ya jini anaye kudhuru? T
Kuhusu nuksi ya mwanandoa kuwa na jini mahaba, ni pale ambapo mambo huharibika baada ya kuingia ndani ya ndoa na hali kabla ya ndoa mambo yalikuwa vizuri
Ila nuksi ya kukosa radhi ya wazazi basi la hii haina dawa
Lakini hizo zilizo bakia zina dawa Nuksi ya njiani hiyo hupatikana kwa kukojoa katika miti ya matunda yanayoliwa Ima katika kujisaidia kwenye madimbwi ya maji au mitaro ya maji machafu.
Nuksi hii husababishwa na jini ankis Ndipo mtu anaweza kuwa na elimu lakini kazi hapati, au msomi kufanya kazi bila cheo na cheo kwenda kwa mtu asiye na elimu.kuishi bila muelekeo. Tatizo la nuksi huhitaji kisomo cha miftaahu,yaani visomo vya ufunguo.

Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa chini 


Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI   

Contact Form

Name

Email *

Message *