Monday, June 8, 2020

MLAZALAZA AU LUFYAMBO KATIKA MAPENZI

MTI unaouona pichani utana fanya kazi nyingi sana katika Tiba Asili leo nitazungumzia mizizi yake katika mapenzi

Hapa ni mpenzi baina mke mume au mtu unayejamiiana nae fuata taratibu zifuatazo
Amka asubuhi ukiwa msafi baina kama umelala na mwenzio basi ujitwayarishe  vzuri usiwe na janaba hedhi wala nifasi
Elekea eneo lenye mti huo pichani ukifika gonga hodi sema wewe mlazalaza nmekuja kumlaza fulani bin fulan au fulan bint fulan utachuma majani na kung'oa mizizi kadhaa huku ukiendelea kunuia
Ukimaliza rudi nyumbani kwako twanga vyote kwa pamoja tia mafuta zaituni kidogo kisha kama n mwanaume pakaa kwenye kichwa cha uume kama mwanamke paka kwenye kinena na mlango wa uke acha mpaka ikauke
Nenda kaingiliane nae hakika utamlaza kweli na atakupenda mpaka utamchoka
Ukitaka akutajie mambo anayoyafanya Kuna tarasimu utamuwekea kwenye mto wake wakati ukimfanyia hivyo atakuhadithia kila kitu usiku mkiwa katika tendo kwa mtindo wakuropoka
Ukihitaji hiyo tarasimu wasiliana na DR. KAMFIRIMBISI
Mambo muhimu huo mti unapatikana maporini mafuta ya zaituni yanapatikana maduka ya dawa na wakati unaenda kuchuma uende na nafaka yoyote umwagie huo mti kabla ya kuchuma 
Endapo unaitaji dawa basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya  whatsapp hapa chini

Bonyeza Link DR. KAMFIRIMBISI   




Contact Form

Name

Email *

Message *