FAIDA ZA MTI WA MLANGAMIA AU MFUNGAFUNGA
UHALI GANI MSOMAJI WA MAKALA ZANGU
LEO tunaongelea mti wa mlangamia, mti huu una majina mengi kila eneo unajina lake ila angalia picha ili tupate kwenda pamoja.
Faida za mti huu ni kubwa mno siwez kuzimaliza kuanzia kiazi cha mti huu mpaka kamba zake. Mti huu watu husema hauna shina si kweli unalo lakini ni ngumu kuliona mti huu shina lake ni kiazi ambacho hukaa chini alaf hauna muendelezo unaonyesha kuwa unaelekea wapi kwa ufupi mti huu upo mtindo wa wirelless shina lipo chini mti wenyewe upo juu ni maajabu ya Mungu.Kiazi chake kupatikana kwake kuna utaalam kidogo unatumika na ndio maana kiazi chake hutumika kwa kazi nyingi kuvuta wapenzi kwa haraka, wateja kwenye biashara kufungia watu riziki ,kinga katika nyumba nk nitaeleza kwa urefu kwa wanafunzi watakao lipia Ada tu.Leo nitaongelea kamba zake kama unavyoona pichani.
Ukichukua kamba zake ukazitwa na kutia maji kidogo ili upate juisi yake utachuja na itatumika kama ifuatavyo:-
Mtoto anayesumbuliwa na tumbo mpe kijiko kimoja atapona.
Mtu mzima anayesumbuliwa na tumbo anywe kikombe kidogo cha kawaha mtu mwenye matatizo ya uzazi anywe kikombe kikubwa kwa siku 21 mara mbili kwa siku.
Mtu ambaye ana mimba kubwa uchungu tayar mtoto hataki kutoka achemshiwe kamba zake anywe kwenye kikombe cha plastik nyengine aroweke aoge au anawe kama atashindwa kuoga
Mtoto aliyebemendwa achemshiwe hizo kamba na mama yake anyweshe kisha kamba zingine ziweke kwenye beseni baba na mama wazifikiche kwa mikono yao kisha aogeshwe mtoto
Dawa ya kwikwi isiyokata chukua unga wa kamba za mlangamia na ubani mweupe punje tatu weka kwenye glass ya maji vuguvugu kunywa glasi 1 kutwa ×2 kwa siku tatu utapona kwa uweza wake Allah.

KUMSHIKA MPENZI KIMAHABA:
Utachukua kamba za mlangamia kavu utazitwanga vizuri halafu ule unga wake mtilie kidogo kwenye chakula au kinywaji basi nakuambia atakupenda hatari ila wakati unachuma Yale majani chuma kwa manuizo ya huyo mtu akupende wewe asiende kwa mwingine.Kama haupendi tafadhali usimfanyie.
KIAZI CHAKE
Ila kama utapata unga wa kiazi chake majibu utayapata kirahisi zaidi
Ila kama utapata unga wa kiazi chake majibu utayapata kirahisi zaidi
NB: kinywaji au chakula uandae mwenyewe mfanyaji
Nmetaja kwa uchache faida zake tukipata wasaa tutaendelea kuzitaja hapa ila baadhi ya vItu vingine tutavitoa kwenye group la Malipo.
Mti huu unapatikana maporini maeneo mnayoishi nategemea maswali mti huu unapatiakana wap hayatakuwepo.
Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa chini