Tuesday, June 9, 2020

IJUE NYOTA YAKO

IJUE NYOTA YAKO NA KAZI ZAKE
MAKUNDI YA ALAMA ZA NYOTA.
Alama hizi 12 za nyota zimegawanyika ktk elementi 4 zijulikanazo kama:-
1.MOTO-yenye matamanio ya mafanikio au makuu,dadisi.
2.MAJI-yenyekubadilika na yenye ufahamu wa ndani.
3.HEWA-imara na yenye kukuza au kuendeleza.
4.UDONGO-yenye elimu au uwezo wa kutambua na yenye kuhamasisha.
Hizi ni elementi Nne 4 zinazoongoza astrologia.Kila kimojawapo kinabeba tabia flani.
Alama hizi 12 za nyota zimegawanyika kama ifuatavyo:-
1.MOTO-kondoo,simba,mshale.
2.MAJI-nge,samaki,kaa.
3.HEWA-mapacha,mizani,ndoo.
4.UDONGO-ng'ombe,mashuke,mbuzi.
Kila alama ya nyota 12 zimegawanyika pia ktk makundi mengine matatu ambayo ni:-
1.YENYE UMHIMU/MSINGI"CARDINAL",kondoo,kaa,mizani,mbuzi.
2,YENYE KUBADILIKA"MUTABLE",Ng'ombe,simba,nge,na ndoo.
3.ISIYOBADILIKA"FIXED",mapacha,mizani,mshale na samaki.
Alama ambayo iko ktk MOTO na iko ktk kundi la msingi huwa na tabia za upinzani na ubishani wa hali ya juu kama KONDOO.

Hii ni kuijua nyota yako kwa njia ya tarehe na kuna njia nyingine ya kutumia Herufi ya mwanzo wa jina lako na kuna njia nyinine kupiga hesabu (jina lako + mama) gawanya kwa 12 namba inayobaki ndio nyota yako. 
  1. TAREHE 21 - 03     HADI   22 - 04    PUNDA
  2. TAREHE 22 - 04     HADI   21 - 05    NG’OMBE
  3. TAREHE 22 - 05     HADI   20 - 06    MAPACHA
  4. TAREHE 21 - 06     HADI   22 - 07    KAA
  5. TAREHE 21 - 07     HADI   22 - 08    SIMBA
  6. TAREHE 23 - 08     HADI   22 - 09    MASHUKE
  7. TAREHE 23 - 09     HADI   22 - 10    MIZANI
  8. TAREHE 23 - 10     HADI   21 - 11    NG'E
  9. TAREHE 23 - 11     HADI   21 - 12    MSHARE
  10. TAREHE 22 - 12     HADI   21 - 01    MBUZI
  11. TAREHE 22 - 01     HADI   19 - 02    NDOO
  12. TAREHE 20 - 02     HADI   20 - 03   SAMAKI
Jinsi ya kuijua nyota kwa kutumia jina lako kamili
Chukua jina lako na la mama na ugawanye kwa 12 kisha ukipata jibu hiyo ndo nyota yako kama hujui tarehe yako ya kuzaliwa.
  1. Ikibaki moja ni punda.
  2. Ikibaki mbili ni ng,ombe.
  3. Ikibaki tatu ni mapacha.
  4. Ikibaki nne ni kaa.
  5. Ikibaki tano ni simba.
  6. Ikibaki sita ni mashuke .
  7. Ikibaki saba ni mizani .
  8. Ikibaki nane ni nge.
  9. Ikibaki tisa ni mshale.
  10. Ikibaki kumi ni mbuzi.
  11. Ikibaki kumi na  moja ni ndoo.
  12. Ikibaki kumi na mbili ni samaki.
Asili ya nyota
  • Punda = moto.
  • Ng’ombe = udongo
  • Mapacha = upepo.
  • Kaa = maji.
  • Simba = moto
  • Mashuke = udongo
  • Mizani = upepo.
  • Nge = maji
  • Mshale = moto.
  • Mbuzi = udongo.
  • Ndoo = upepo
  • Samaki = maji.
Watawala wa mchana na usiku kwa wiki (jumatatu hadi jumapili) hii itakusaidia kujua mda huu amesimama mtawala gani na ufanye tukio gani kulingana na Malaika wa mda huo.
M= Mchana
U= Usiku


Contact Form

Name

Email *

Message *