MAUMIVU YA MGONGO
Katika
maisha ya binadamu mara moja moja hukutana na huu ugonjwa wa kuumwa na
kiuno
hutegemeana na ukubwa
wa tatizo kuna unao weza kuuma kwa mda na mwingine kuumwa kabisa na kua ni
ugonjwa wake kias cha kushindwa kutembea
sababu ni nying
kutegemeana na chanzo cha tatizo
KUNYANYUA VITU VIZITO
Mara nyingi watu
haswa wakina mama wanakua ni wahanga wa huu ugonjwa wa mgongo bila kujua tatizo
hulisababisha kwa kunyanyua vitu vizito mfano ndoo huku akiwa ameinama na
kusababisha misuli ya iuno kuvuta
MISULI KUUMA
Hutegemeana na
sababu ila mfano wa hapo juu unapo nyanyua vitu vizito vibaya mfano ndoo kubwa
ya maji ukiwa wima una pelekea maumivu ya pingili za uti wa mgongo kwa sababu
hiyo misuli ya mgongo hujiminya na kua midogo kulinda uti wa mgongo na unapata
maumivu makali
PINGILI ZA UTI WA
MGONGO
Katika uti wa
mgongo kuna pingili 33 na kila moja ikifanya kaz yake sasa
katika hizo pingili zipo kama donati na hua zinazungukwa na mafuta pindi inapo
jisugua kwa kukosa mafuta husababisha maumivu kushuka mpaka miguuni kwa maumivu
MKAO MBAYA NA
MUONDOKO
mara nying watu wenye
kusimama mda mrefu hua ni wenye kupata na tatizo la pressure tofaut na pressure
pia swala la mgongo kuwa uma ni swala ambalo lipo kwao sana kwa sababu ya
mkandamizo wa mkao mbaya wa kusimama kwa mda mrefu pia watu wenye kushinda
kwenye kuendesha magar pia wale wenye kukaa vibaya kwenye computer kwa mda
mrefu
kuondoka ghafla kwa
kishindo husababisha kama nilivyo sema mvutiko wa misuli ya kiuno na kupelekea
maumivu makali
MAGONJWA KAMA JIWE
KATIKA FIGO , UTI NA ARTHRITIS
Moja ya sababu
nyingine ni kua na jiwe kwenye njia ya figo inapelekea mtu kuumwa na kiuno pia
magonjwa ya njia ya mkojo husababisha kiuno kuuma mfano wake ni kama UTI
hupelekea maumivu makali sana ya kiuno
Pia kuna ugonjwa ambao
ni haru yabis huu husambulia mifupa na kupelelkea maumivu ya mifupa na pia
maumivu ya kiuno
PIA KUNA MAMA KUA
MJAMZITO MWANAUME KUA NA KITAMBI NA VINGINE MAANA NAKUMBUKA UKIWA KIJANA
UKISKIKA UNA UMWA MGONGO UNAAMBIWA OA BHANA UONDOKANE NA TATIZO HILO
NAMNA YA KUTIBU UGONJWA
HUU
NJIA YA KWANZA
TUMIA MAJI YENYE JOTO WEKA KWENYE CHUPA MFANO YA FANTA YALE MACHUPA MAKUBWA
LALIA UKIWA MIGUU YAKO IPO JUU LALIA CHUPA HIYO KWENYE MGONGO WAKO NDAN YA DAKIKA 15 AU CHINI HAPO
NJIA YA PILI
CHANGANYA MAFUTA YA
NANAA , HABAT SAUDA NA MKARATUSI TUMIA KUJICHUA HAKIKISHA HUSUGUI MFUPA
KAMA UNAVYO SHAURIWA NA WANA MASSAGE FANYA KUMASSAGE MPAKA CHINI YA KIUNO KWA
SIKU MARA MBILI KWA UWEZO WA ALLAH UTATIBIKA
Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa chini
Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI