Saturday, June 6, 2020

JINI MAHABA


MJUE JINI MAHABA NA DALILI YAKE:



NI NANI JINI MAHABA (AASHIQ DJINN )
Unapoongelea juu ya jini mahaba basi unaongelea jambo muhimu na gumu, kwani majini wapo aina karibia 660, na kila jamii ina kuwa na mifumo yake pindi awapo mahaba.
jini mahaba si jini maalum kusema huyu ni mahaba,
mfano sisi binaadamu hatuna kabila maalumu kwamba hawa ni watu tabia mbaya, ila tabia mbaya huwa kwa mtu mwenyewe ni kwa kabila.
pia jini mahaba si jini maalum kuwa huyu ni mahaba ila majini wote waoi wahuni miongoni mwao ambao husumbua maisha ya wanadamu.
DALILI ZA KUJUA UNA JINI MAHABA

1)
 Kuwa na hasira zisio na sababu
2) K
utokuwa hamu ya jimai
3) 
kupata maumivu na na michubuko katika jimai
4) K
uchoka sana wakati wa jimai.
5) K
umchukia mwenza wako pindi anapo kuwa karibu na 
    wewe.huyu ni JINI SUBIANI.
6)  K
ukosa hedhi
7)  K
upata hedhi kwa miezi miwili hadi mitatu
8)  K
uumwa chango au ngiri mara kwa mara
9)  K
ushindwa kumwaga manii ufanyapo jimai
10) K
uingia na kumwaga manii haraka sana huyu ni jinni
      UMMU MULDAMI.
11)  K
upoteza ladha ya jimai katikati ya tendo
12)  K
uishiwa nguvu haraka
13)  K
upatwa maumivu makali ya tumbo wakati ukifanya 
      jimai
14) 
Kuto kuona ladha yeyote na mwanamke kushindwa 
      kutoa ute na kumpa maumivu huyu ni JINI JALWUSH
15)  
Kuto kubeba mimba
16) 
Kujaa maziwa kama mjamzito huyu ni UMMU 
      SUBIANI
17)  
Kuota Unapaa
18)  
Kuharibika Mimba kaabla ya Miezi Minne
19) 
Chunus zisizo SIKIA DAWA
20)  
Kuchukia kutongozwa na kuto hitaji ndoa 
huyu ni 
      JINI TWAYR {qarnail}
21) Kuto tosheka na jimai huyu ni MAYMUNA
22)  
Mtoto kumuogopa mama yake
23) 
Kuota unafanya mapenzi
24)  
Mama kuto toa maziwa akijifungua
25) 
 Mtoto kupatwa degedege.huyu ni MAKATA WA 
       MAKATANI.

Dalili ni nyingi kulingana na aina ya jini anaye kusumbua.

Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa chini


Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI



Contact Form

Name

Email *

Message *