Saturday, June 6, 2020

MKUNDEKUNDE

MIZIZI YA MKUNDE PORI NA FAIDA ZAKE

Inasafisha kizazi

Inazibua mirija iliyoziba

Inaondoa sumu kwa wale waliotumia sindano za uzazi/vidonge vya uzazi.

Inakomaza mayai kwa wale wenye tatizo la mayai kutokukomaa na kusababisha mayai kutokupevuka

Inasogeza kizazi karibu kwa wale ambao vizazi vyao vipo mbali

Majani ya mkunde pori pia ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume

Dalili mojawapo itakayokufanya ujue dawa hii ya mkunde pori inafanya kazi ni kwenda haja ndogo mara nyingi kuliko kawaida.
Dalili nyingine ni tumbo kuvuta sana chini ya kitovu.
Usipoona dalili hizi usiogope maana ukubwa wa tatizo unatofautiana.




ANGALIZO KWA WANAWAKE WATAKAOTUMIA KWA AJILI YA UZAZI, Ukinywa dawa hii hakikisha siku za hatari unakutana na mwenzi wako...na baada ya hapo usitumie dawa mpaka upime mimba kwanza maana mimba nyingine dalili zake huchelewa kuonekana hivyo unaweza ukanywa tena mimba kama imeingia ikatoka.
Wajawazito hawaruhusiwi kutumia.

MATUMIZI:

CHUKUA MIZIZ YAKE CHEMSHA KISHA KUNYWA ASUBUH MCHANA NA JION KWA UJAZO WA GLASS YA MAJI AU KIKOMBE CHA CHAI

TUMIA KWA SIKU 21 KWA MATATIZO YOTE HAPO JUU

Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa chini


Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI




Contact Form

Name

Email *

Message *