Tuesday, June 2, 2020

KUFUNGUA VIFUNGO

NAMNA YA KUJITAMBUA KAMA UMELOGWA AU LAA

Kurogwa uislamu haujaruhusu mtu yeyote kufanya uchawi ni haramu kabisa:-
Uchawi ni amali ya ukafiri uchawi hufanya kazi kwa ushirikiano na mashetani.

Uchawi ni nini?
Kuna maana nyingi za neno hili sihir (uchawi):
  • Kukigeuza kitu na kukitoa katika hakika yake.
  • Ni maafikiano baina ya mchawi na shetani ya kwamba atende baadhi ya mambo haramu au ya kishirikina ili shetani amsaidie yeye na kumtii analolitaka.
  • Ni kuidhihirisha batili katika sura ya haki: hizo ni baadhi ya tafsiri za uchawi. Jambo la kuzingatia ni kwamba uchawi upo na tena unaumiza.


MTU ALIE ROGWA NI YUPI:
Nivigumu sana kumuelezea mtu alie rogwa kwa sababu ya kuwa yeye huwa aeleweki kwa muda husika yaani huwezi kumfahamu kuwa kama huyu amerogwa kwa kumtazama kwa macho ya kawaida na ndio maana kuna usemi unasema kuwa ‘’ukimwi haupimwi kwa macho’’ kwaiyo hapa chini nimekuwekea dalili za kumjua mtu alie rogwa iwe kijinni au kibinadamu.

Dalili za mtu mwenye uchawi [alie rogwa].

Kuumwa sana na kichwa
Presha mara kwa mara hata dawa haikubali.
Kutoona bila ya sababu
Ndoto zakutisha na zisizoeleweka.
Hedhi isiyo na mpangilio.
Ujauzito na ukipima hauonekani.
Kuwa na mabaka mabaka mwilini.
Kuteleza kama samaki.
Kunuka mwili kama uwozo au yai viza.
Kuvuka magamba kama nyoka.
Uume kuingia ndani.
Uume kuto kusimama.
Uke kutoa harufu kama unagono vile au fangasi.

Hizi ni baadhi tu ya dalili za mtu mwenye uchawi(alie rogwa). Lakini basi na tuangalie vipi mtu atajitambua kuwa na shetani.

Kuumwa na kizunguzungu.
Tumbo kuuma sana hasa chini ya kitovu.
Kichwa kuuma kwa vipande.
Kushtuka na moyo kwenda mbio.
Mwili kushika moto.
Tumbo kuuma sana kipindi cha hedhi
Maumivu wakati watendo la ndoa.
Kulia bila sababu na kutingishika.
Mwili kuwa mzito na kuwa na hasira.
Kutembewa na vitu mwilini
Kutamani kuachwa na kuacha.
Kuwa na kauli mbaya
Maumivu chini ya uti wa mgongo.
Moyo kuuma kama ananyonyesha
Kuota unafanya jimai (mume=mke)
Kuota unazaa,umezaa au unanyonyesha.
Ukiota jimai tu mimba inatoka.
Jinamizi, usingizini, na usingizi mwingi
Kuota unapaa.
Kusimamiwa na mtu na ukigeuka hayupo.
Magomvi kila mara kwenye ndoa.
Kupoteza vitu kama pesa, mikufu, hata ukificha
Kuchanganyikiwa ndani ya swala.
Kutopenda kujipamba kwa ajili ya mume.
Kumchukia mume au mke.
Kuota unaingiliwa kinyume cha maumbile.
Maringo na kujivuna.
Huhisi unaingiliwa sio ndotoni.


Hizo ni baadhi ya dalili za mtu mwenye shetani endapo utajigundua kama una miongoni mwa magonjwa hayo basi chukua tahazari mapema ya tiba.

KUJIFUNGUA KAMA UMEFUNGWA KISHIRIKINA.

Kwanza kabisa una takiwa kufahamu kuwa kama unadalili za hapo juu basi jua wewe umerogwa kwaiyo nenda katika duka la tiba za asili au polini nenda uchukue chumvi ya mawe pamoja na kivumbasi pamoja na majani ya mti wa mbaazi pamoja na majani ya ushanga wa bibi mti huu una majina mengi sana na kama huufahamu vizuri basi unaweza kuwasiliana na Dr. Kamfirimbisi  kwa hakika utajipatia tiba nyingi sana zaidi ya hizi sasa basi ukisha pata mti hiyo chukua zafalani pamoja rose marashi changanya pamoja huo ndio uwe wino wa kuandikia hii talasimu yako hakikisha unafanya siku ya juma tano saa yoyote ile ukishamaliza kuandika loweka katika maji ya ujazo kuanzia lita3 kwenda juu tumia kuoga usiku,Watu wa kiwa wamepumzika na maji hayo ya kulowekea kombe lako hakikisha yawe maji ya kisima kisicho ona jua yaani maji teka usiku na talasimu yako chukua na uloweke humo hakika ukishaioga na kunywa  utakuwa umejifungua na kuna asilimia kubwa sana za kuuwa kabisa huo uchawi na fanya hivyo hivyo katika biashara ilio fungwa.
Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa chini 


Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI   

Contact Form

Name

Email *

Message *