Wednesday, May 13, 2020

KUVUTA MTU ALIYEMBALI

NJIA NYEPESI YA KUMVUTA MTU 
ALIYE MBALI
Namu leo Dr. Kamfirimbisi nimekuja tena kuwaletea njia nyepesi ya kumvuta mpenzi aliye kukimbia awe mke awe mume au ndugu. Leo nachambua kwa uchache tu bali siku nyingine nitatumia miti kwa kumvuta mtu ila leo na tumia Talasimu 
Chakufanya chukua jina la unaemuita kama unajua jina moja basi sisi sote ni kizazi cha Adamu na Hawa unaweza tumia moja wapo Mfano: Amina Hawa nimetumia jina la mama sababu mama ndio mzaa chema. Andika majina hayo kwa herufi moja moja katika karatasi kisha choma moto hiyo karatasi jivu lake changanya na dhafarani ya unga nyekundu kisha tia maji ya waridi anza kuchora tarasimu hiyo hapo juu andika karatasi nane baada ya kumaliza kuchora isomee x 3000 YA BEDUUH kwanini nimetumia karatasi nani tafuta mti huu hapa chini utaweka tarasimu 4 yaani pande zote 4.Usisahau kuzungushia manuizi hata kwa kuswahili na kuandika jina lake na mwisho utamalizia jina lako
karatasi 4 zilizo baki moja weka katika fukia jikoni yaan jiko linalo pikiwa kila siku la mafiga.Karatasi ya 2 weka katika maji ya bahari maji kujaa yaani pale maji yanapo anza kuingia.Karatasi ya 3 fukia katika udongo.Karatasi ya 4 katundike ndani mwako unaye muita
Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya  whatsapp hapa chini

Bonyeza Link DR. KAMFIRIMBISI   


Contact Form

Name

Email *

Message *