MATIBABU YA UHAKIKA YA NGUVU ZA KIUME
Sababu
zingine ni maumivu ya mgongo/kiuno; baadhi ya side effects za madawa ya
kemikali (madawa ya hospitali); kiharusi (stroke); upungufu katika utendaji wa
kazi za gonadi (hypogonadism); uzalishaji mwingi wa homoni ya thyroid.
MATIBABU YA
UHAKIKA KUTOKA DR.KAMFIRIMBISI
Leo katika zama hizi za sayansi na teknolojia, tatizo la
kupungua nguvu za kiume limekuwa kubwa sana, siyo Tanzania tu, bali duniani
kote.
Hapo zamani, tatizo hili lilikuwa la wazee zaidi, lakini jambo
la ajabu na la kuhuzunisha leo limekuwa ni tatizo la vijana zaidi kuliko hata
wazee! Utamkuta mwanaume ni kijana wa miaka 18 au 25 au 30 au 40, lakini jinsi
anavyotenda tendo la ndoa ni sawa na mzee wa miaka 90 au 100!!
Atakwambia, “Ninafika kileleni ndani ya dakika mbili,” au
“Nikimaliza tendo la ndoa raundi ya kwanza, siwezi kurudia mpaka kesho yake!”
Au “Uume wangu unasimama kwa uregevu sana, na nikiingia ukeni tu, unakufa
(unaregea)!”
Habari kama hizo ni nyingi kwa namna tofauti tofauti na kwa watu
wengi sana. Ni utitiri wa watu, vijana kwa wazee, na vijana ndiyo wakiwa
wameshika usukani (wakiongoza).
Kwa bahati nzuri matatizo mengi ya nguvu za kiume yanatibika,
lakini iwapo tu kama matibabu sahihi (yanayoanzia kwenye chanzo cha tatizo
yatapatikana).
Hata hivyo, kwa bahati mbaya sana waathirika wengi wa nguvu za
kiume wamekuwa wakikurupuka tu kubugia dawa, na hii ndiyo sababu wamekuwa
hawaponi licha ya kutumia chungu ya dawa, na pia wamekuwa wakipoteza pesa
nyingi bure tu kwa matibabu hayo ya kubahatisha.
Pia kutokana na tatizo hili kuwa kubwa, kila kuchapo huibuka
watu wanaodai wanaweza kutibu na kumaliza tatizo kabisa. Kwenye magazeti,
kwenye mabango mitaani, katika redio n.k, kuna utitiri wa matangazo juu ya
tatizo hili. Lakini, kinachokata maini zaidi ni kwamba, wengi wa wataalamu
hao hawajui sababu za kupungua nguvu za kiume, wala hawajui utendaji wa mwili
wa binadamu. Wengi wanadhani kuishiwa au kupungua nguvu za kiume ndiyo ugonjwa
wenyewe.
Kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa.
Kuna sababu zake ndani ya mwili. Sababu hizo ni nyingi mno, ni zaidi ya 100! Anatakiwa daktari
mtaalamu aliyebobea katika uzazi, mifumo ya mkojo, anayelijua vizuri figo ndani
na nje, ini na mifumo mingine ya mwili, ikiwa ni pamoja na kemia ya mwili. Na
inatakiwa dawa iende kutibu chanzo cha tatizo.
Jambo muhimu analopaswa mwanaume yeyote kufahamu ni kwamba,
kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa. Sentensi hii ina
maana gani? Twende pamoja.
NGUVU ZA KIUME NI NINI?
Nguvu za kiume ni jina la jumla lenye vipengele vingi ndani yake
ikiwa ni pamoja na hamu ya mapenzi; kusimama kwa uume barabara; kuchelewa
kufika kileleni kiasi cha kufurahia tendo la ndoa; uwezo wa kurudia tendo la
ndoa kwa wakati muafaka; pumzi, wepesi na uchangamfu wa mwili katika kutenda
tendo la lenyewe. Kwa ujumla vipengele vyote hivyo, ndivyo ukamilifu wa
nguvu za kiume. Na ndiyo maana ya nguvu za kiume.
Kuna watu huwa hawajitambui kama wana tatizo la kuishiwa nguvu
za kiume, na hatimaye tatizo huwa kubwa zaidi. Katika kitabu changu, VYAKULA VINAVYOTIBU NGUVU
ZA KIUME,
watu walikuwa wakipiga simu wakisema, “Mimi sina tatizo la nguvu za kiume ila
tu nawahi kufika kileleni!” Wengine wakisema, “Mimi niko sawasawa tu ila nakosa
hamu ya tendo la ndoa,” na kadha wakadhaa. Ukweli wa mambo ni kwamba:-
Ø Kama unakosa hamu ya
tendo la ndoa, una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume.
Ø Kama uume hausimami
barabara,una upungufu wa nguvu za kiume
Ø Kama uume unasimama
kwa muda mfupi na kulegea , unaupungufu wa nguvu za kiume
Ø Kama uume wako hulegea
muda mfupi tu baada ya kuingia ukeni,unatatizo la kuishiwa nguvu za kiume
Ø Kama unafika kileleni
muda mfupi tu baada kuingia ukeni, una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume
Ø Kama unasikia maumivu
wakati uume unaposimama, una tatizo la kuishiwa nguvu za kiume
Ø Kama unashindwa kutoa
mbegu(shahawa) unatatizo la kuishiwa nguvu za kiume
Iwapo
moja ya matatizo hayo yatakutokea, fahamu ya kwamba una UPUNGUFU wa nguvu za
kiume, na hivyo sasa ni muda muafaka wa kutafuta matibabu sahihi bila
kuchelewa. Unapoanza kujitibu mapema kabla mambo hayajawa mabaya zaidi, unakuwa
umejitengezea fursa pana ya kupona. Lakini, chelewa chelewa—utakuta mwana si
wako.
NI VIUNGO GANI MWILINI VINAHUSIKA KUFANYA KAZI ZA NGUVU ZA
KIUME?
Nguvu za kiume ni tukio pana sana lenye kuhusisha viungo na vitu
vingi ndani ya mwili. Kuna zaidi ya viungo na vitu mbalimbali zaidi ya 100
ndani ya mwili wa mwanaume vinavyohusika na nguvu za kiume ambapo viungo hivi
pia hufanya kazi zingine za mwili. Baadhi ya viungo hivyo ni ubongo, moyo,
mishipa ya neva mishipa ya ateri, mirija iliyo ndani ya uume iitwayo corpora
cavernosa.
Viungo vingine ni neva maalumu za parasympathetic, tezidume
(prostate gland), ini, figo, homoni ya testestorone, kemikali za
acetylcholine, serotonin, na dopamine, uti wa mgongo, eneo la chini ya mgongo
(kiuno), eneo la nyonga.
Viungo vingine ni misuli maalumu iitwayo pelvic floor, tezi
pituitari (pituitary gland), utando maalumu wa uumeni uitwao tunica albuginea,
misuli iitwayo pubococcygeus [PC muscles], kemikali ya nitric oxide, kemikali
ya prolactin n.k. Orodha ni ndefu sana, ni zaidi ya 100!
NINI MAANA YA KUPUNGUA NGUVU ZA KIUME?
Unapopungua
nguvu za kiume, kama nilivyosema hapo awali, ina maana ndani ya mwili wako kuna
baadhi ya vitu katika vitu nilivyovitaja hapo juu havifanyi kazi vizuri jinsi
ipasavyo. Yawezekana ni figo ndilo halifanyi kazi vizuri, au ini, au tezi dume,
au neva ya parasympathetic, au moyo una tatizo au mishipa ya ateri, au misuli
ya pelvic au homoni fulani iko juu sana au iko chini sana (hormonal imbalance),
orodha ni ndefu sana. Kitendo cha baadhi ya viungo hivyo kutofanya kazi vizuri
basi hapo hutokea upungufu katika nguvu za kiume. Upungufu huo unaweza kuwa
ni:-
1.
Kukosa hamu ya mapenzi
2.
Uume kusimama kwa uregevu
3.
Kuwahi kufika kileleni
4.
Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)
5.
Kushindwa kurudia tendo la ndoa
6.
Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo
7.
Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji
8.
Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata
kusikia
kichefuchefu
Ndugu
msomaji, ili uelewe vizuri zaidi labda niseme kwamba, nguvu za kiume ni
kiwanda; na ni zaidi ya kiwanda. Tukichukulia mfano wa kiwanda, ni kwamba ndani
ya kiwanda kuna umeme, maji, madawa, watu (wafanyakazi wa kila taaluma na
fani), mashine, mitambo n.k.
Ikitokea
kitu kimojawapo kukosekana, mathalani umeme, au wafanyakazi wakagoma, au
kukakosekana madawa muhimu au maji na kadhaa wakadha, basi bidhaa inayotarajiwa
kupatikana sokoni, kwa hakika haitapatikana.
Vivyo
hivyo nguvu za kiume, mathalani, ikitokea tezidume kutofanya kazi vyema, basi
hapo mwanaume hatoona nguvu za kiume, zitapungua au zitaisha kabisa!
Kwa
hiyo upungufu wa nguvu za kiume ni upungufu au kasoro za kiutendaji wa viungo
ndani ya mwili wa mwanaume. Mwanaume yoyote anapaswa kutambua jambo hili, na
siyo kukurupuka kubugia dawa tu.
LAKINI NINI KINACHOSABABIOSHA VIUNGO HIVYO VISHINDWE KUFANYA KAZI
Kuna maradhi kadhaa, vyakula tunavyokula, tabia na mtindo wa
maisha vinavyoweza kupelekea viungo hivyo kutofanya kazi vizuri. Baaadhi ya
maradhi hayo na tabia hizo ni kujichua/punyeto (masturbation); kisukari; presha
ya kupanda; presha ya kushuka; uvutaji wa sigara; unywaji wa pombe; madawa ya
kuleva; kufanya kazi kupita kiwango na kukosa muda wa kupumuzika; matatizo ya
kukosa usingizi na kuchelewa kulala usiku.
Sababu zingine za kupungua nguvu za kiume ni kutokunywa maji ya
kutosha, tatizo la kufunga choo hasa pale unapotumia nguvu nyingi kusukuma
choo; kutofanya mazoezi; ukosefu wa kumbukumbu; uzito mkubwa/unene mkubwa;
kitambi; kuvimba kwa tezidume (Benign Prostate Hyperplasia).
Sababu zingine ni saratani ya tezi dume (Prostate cancer),
matibabu ya mionzi ya tezidume na upasuaji, ugonjwa unaoathiri vitendo na
shughuli za mwili kama vile mwondoko na balansi (multiple sclerosis), ugonjwa
ambao hudhuru mawasiliano ya ubongo na miondoko ikiwa ni pamoja na kutembea,
kuongea na kuandika (parkinson’s disease), vyakula vya mafuta, vyakula
vilivyowekewa homoni bandia za kike n.k.
Sababu zingine ni kutozalishwa kwa homoni ya thyroid ya kutosha;
ugonjwa unaoathiri uzalishaji wa homoni ya cortisol (cushing’s syndrome);
ugonjwa wa kupinda uume (peyronie’s disease); kukakamaa kwa mishipa ya damu
(atherosclerosis); orodha ni ndefu sana, ni zaidi ya 200
Hivyo
mwanaume anapopungua nguvu za kiume, ina maana kuna ugonjwa ndani ya mwili
wake, au unaweza kuwa huo ugonjwa umeshadhihirika(umeshatokeza) kwa nje au huo
ugonjwa bado uko ndani ya mwili unamia na kummaliza kimyakimya kama yalivyo
baadhi ya magonjwa ambapo baadaye hulipuka. Hii ndiyo maana kitsslamu tunasema
kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa ni dalili ya ugonjwa. Yani unapopungua
nguvu za kiume hiyo ni KENGELE YA TAHADHARI kwamba
ndani ya mwili wako kuna kitu au vitu havifanyi kazi vyema. Hivyo unaambiwa
kuchukua haraka TAHADHARI kabla ya HATARI
KOSA KUBWA WANALOFANYA WANAUME WENGI
Wanaume wengi wanapopungukiwa nguvu za kiume hukimbilia kutafuta
dawa za kuongeza nguvu za kiume, na siyo kutibu chanzo cha tatizo. Hili ni KOSA
KUBWA sana!
Ni kosa kubwa kukurupuka kubugia dawa za nguvu za kiume bila
kujua chanzo cha tatizo na bila kujua hiyo dawa inakwenda kutibu eneo au kitu
gani mwilini. Kwa njia hiyo, utamaliza miaka hata zaidi ya 100 na hata miaka
elfu moja na hautapona!
Upungufu wa nguvu za kiume lazima utibiwe kuanzia chanzo cha
tatizo; kwa maana ya kwamba mzizi wa tatizo sharti ung'olewe kwanza!
Mathalani, kama tatizo ni la homoni ijulikane kwanza; kama ni
tatizo la tezi ijulikane kwanza, kisha matibabu sahihi yaelekezwe katika maeneo
hayo. Hayo ndiyo matibabu, na si vinginevyo.
Hebu zingatia mfano kichwani mwako kwanza, upungufu wa nguvu za
kiume unaweza kutokana na kisukari kwa mwanaume huyu, au shinikizo la damu la
kupanda (HIGH
BLOOD PRESSURE)
kwa mwanaume yule; au shida ya tezidume kwa mwanaume mwingine au shida ya
kihomoni (HORMONAL
IMBALANCE)
kwa wanaume wengine, basi vipi iingie akilini kwamba wote hao watatibiwa kwa
dawa aina moja? Watu wengi sana wameelewa kimakosa sana ndiyo maana hata
matibabu yamekuwa ni tatizo kubwa sana kwao.
Kosa lingine wanalofanya wanaume wengi ni kukimbilia dawa za
kikemikali. Dawa hizi si kwamba hazitibu tu chanzo cha tatizo bali pia zina
madhara mengi sana kiafya pia. Nini ambacho hufanya mwilini dawa hizi? Dawa
hizi hufanya kazi ya kuulazimisha moyo kusukuma damu kuingia katika uume, kwa
kua-activate nitric oxide. Matokeo yake ni kwamba, viungo ambavyo ni
vigonjwa vitalazimika kufanya kazi huku vikiwa ni vigonjwa, na hatimaye
vitadhoofika kabisa. Kama ambavyo wewe unakuwa mgonjwa unalazimishwa kufanya
kazi. Mara ya kwanza unaweza kufanya, lakini mara nyingine unaweza kushindwa
kabisa, na hata kuumia zaidi. Hiki ndicho kinachotokea kwa wahanga wengi wa
madawa ya kikemikali. Atakwambia, “Nilijaribu kutumia mara kadhaa ikawa
inasimama lakini baadaye haikusimama kabisa, hata kama nikitumia siwezi
kabisa.”
NANI ANAWEZA KUTIBU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
Kuna watu wengi sana hivi leo wanaodai kutibu nguvu za kiume.
Ukweli wa mambo ni kwamba siyo kweli! Ni watu wachache sana wenye uwezo wa
kutibu tatizo la kuishiwa nguvu za kiume. Na ni watu wachache sana wenye
kuelewa matibabu sahihi.
Utakuta mtu au kampuni inatangaza dawa ya aina moja kuwatibu
watu wote wenye matatizo ya nguvu za kiume. Tabia hii pia imejengeka kwa baadhi
ya watu, hunipigia simu au kuniandikia baruapepe na kuniuliza moja kwa moja,
"Daktari, dawa za nguvu za kiume ni shilingi ngapi?"
Hii ni dalili kwamba watu hawajui maana ya kupungukiwa nguvu za
kiume. Na hawajui nguvu za kiume ni nini? Na kwa kutokujua huwafanya waendelee
kuteseka. Tatizo la nguvu za kiume, haliwezi kutibiwa kwa njia hiyo hata siku
moja.
Ndugu wapendwa, mimi siuzi dawa, nafanya matibabu. Kwa nini?
Kila mwanamume ana sababu na chanzo chake cha kupungua nguvu za kiume. Kama
wanaume 100 waliopungukiwa nguvu za kiume watajipanga mstari kwa daktari mjuzi
na mtaalamu, basi kila mgonjwa atakuwa na sababu yake na chanzo chake cha
kupungukiwa nguvu za kiume tofauti kabisa na mwingine. Na hivyo, kila
mgonjwa atapewa dawa yake ya kipekee kabisa tofauti na mwingine.
Sasa itashangaza kuona huyu kapungukiwa nguvu za kiume kutokana
na mishipa ya ateri kutofanya kazi vizuri, na yule kapungukiwa nguvu za kiume
kutokana na kuvimba kwa tezidume, ati wote wapate dawa aina moja! Hiki ndicho
kinachofanyika na watu wengi wamepoteza pesa na muda kwa matibabu kama haya
yasiyokuwa na maana.
Yahitajika daktari mtaalamu aliyebobea katika mfumo wa uzazi wa
mwanaume na mfumo wa mkojo, na anayeujua utendaji wa mwili wa binadamu kwa
ujumla. Huyu ndiye anayeweza kutibu tatizo la nguvu za kiume. Yaani, daktari
ambaye anajua vizuri ndani na nje utendaji wa figo, ini, moyo n.k; ama awe ni
daktari wa tiba asilia au daktari wa tibakemikali (yaani daktari wa hospitali)
siyo kila mtu tu au kila daktari. Hata kama utakwenda kwenye hospitali kubwa yoyote
duniani unayoijua, na ukagonga hodi katika chumba cha daktari, ukamwambia,
"Nina tatizo la upungufu au kuishiwa nguvu za kiume," atakurifaa kwa
daktari maalumu aliyebobea katika mfumo wa uzazi wa mwanaume na mfumo wa mkojo.
Hata kwa madaktari wa tiba asilia, hali ni hivyo hivyo, lazima ukutane na
ambaye amebobea katika mfumo wa uzazi wa mwanaume.
Kwa nini awe maalumu?
Kwa sababu unapotibu nguvu za kiume unakuwa unatibu viungo vya
mwili kwa ujumla. Daktari aliye mtaalamu na aliyebobea katika viungo vya uzazi
vya mwanaume anakuwa ana uwezo wa kutambua tatizo la kiungo kilichokorofisha
mwilini kutokana na kumhoji mgonjwa; na anaweza kwenda mbali zaidi kwa
kujiridhisha kwa kumshauri mgonjwa afanye vipimo gani sahihi. Na anaweza kujua
ni vyakula gani anavyopaswa mgonjwa kutumia kulingana na tatizo lake. Narudia
tena na tena, upunguvu wa Nguvu za kiume lazima utibiwe kwenye chanzo cha
tatizo, na si vinginevyo.
Utaratibu wetu ni kwamba hatumtibu mgonjwa mpaka tufanye
mahojiano naye kwa kina juu ya historia ya afya yake kwa ujumla. Kama yuko nje
ya Dar es salaam, tutahojiana naye kwa simu, kama yuko Dar es salaam basi
anaweza kuja moja kwa moja kwa Dr. Kamfirimbisi Kama yuko nje ya nchi, tutahojiana naye kwa njia ya email.
Kupitia mahojiano hayo ndiyo tunaweza kufahamu chanzo cha tatizo
lake, na pia tunaweza kumshauri kufanya vipimo kama tutaona kuna umuhimu wa
kufanya hivyo. Lengo ni kwamba, tunahitaji kumtibu mgonjwa kuanzia chanzo cha
tatizo, ni kwa njia hiyo tu ndipo anaweza kupona kabisa tatizo lake.
Matibabu yetu ya kutibu matatizo ya nguvu za kiume humaanisha
kwamba; tunatibu matatizo yote yanayosababisha kupungua nguvu za kiume.
Tunatibu matatizo ya homoni mwilini, tunatibu tatizo la kufunga choo
(constipation) na madhara yaliyoletwa mwilini, tunadhibiti kisukari na madhara
yake, tunatibu kitambi/unene na madhara yake, tunatibu madhara ya kujichua,
tunatibu presha ya kupanda na kushuka, tunatibu maumivu ya mgongo/kiuno
na vyanzo vyake; tunatibu magonjwa yote ambayo ni sababu ya kupungua nguvu za
kiume.
Hivyo, unapotibu nguvu za kiume, unatibu afya yako kwa ujumla,
kinyume na watu wanavyofikiri kwamba labda nguvu za kiume ni ule uume!! NGUVU
ZA KIUME ZIKO NDANI! Na ni viungo na vipengele mbalimbali zaidi ya 100 vinavyofanya
kazi kwa ushirikiano mkubwa ili kukupatia nguvu za kiume.
TUNATIBU KWA DAWA ASILIA DAWA ZETU HAZINA MADHARA YOYOTE
Katika miaka ya hivi karibuni, sayansi imepiga hatua kubwa sana
katika kuelewa sababu za tatizo la nguvu za kiume. Lakini, kwa mamia ya miaka,
watu wengi duniani wameendelea kutumia dawa asilia na zimewapa matokeo ya
kustaajabisha sana kuliko dawa za kemikali.
Mimea mingi ina dawa bora sana. Dawa za kemikali zinaweza kutibu
tatizo moja tu, madawa asilia ya mimea yana uwezo wa kutibu maradhi mengi kwa
wakati huo huo mmoja.
Hii ni kwa sababu, asili ya maumbile yao, huifanya mimea kuoana
na kemia ya mwili, na hivyo zitafanya kazi kwa ubora zaidi na side effects zake
ni ndogo mno, wakati mwingine hata hizo side effects hazipo kabisa.
Upatikanaji wake na usalama wake huifanya kuwa na umuhimu mkubwa
hasa kwa maradhi sugu.
Namna ya kutibu nguvu za kiume hutegemeana na sababu. Tunazo
dawa asilia zaidi ya 100 zinazotibu nguvu za kiume. Tunamtibu mgonjwa na tunampa
dawa kulingana na chanzo cha tatizo, na tunamtibu mgonjwa mpaka apone.
USHAURI WA AFYA YAKO KWA UJUMLA
Tunakupa ushauri mpana kuhusu nguvu za kiume. Tunakushauri juu
ya afya yako kwa ujumla. Tunakushauri juu ya nini ule na nini usile. Tunakupa
ushauri bora wa kimatibabu.
Hapa kwenye ushauri ndipo pia kwenye shida kubwa sana. Watu
wanaelewa kimakosa sana. Wanadhani kuna ushauri wa aina moja ambao utawafaa
watu wote. Unakuta hata katika mitandao na blogu mbalimbali kumejaa vyakula
vinavyoongeza nguvu, au nguvu za kiume na asali, au mbegu zenye kuongeza nguvu
za kiume, au zabibu na nguvu za kiume, orodha ni ndefu sana.
Hayo ni makosa makubwa, na hii ndiyo shida inayowafanya watu
waendelee kuteseka. Huo ni ushauri wa jumla. Mtu anatakiwa ashauriwe na
mtaalamu kulingana na shida ya tatizo lake. Mfano, mtu huyu kapungikiwa nguvu
za kiume kwa sababu ya ngiri na huyu kapungiwa nguvu za kiume kwa sababu ya
matatizo ya figo, je watu hawa watapata ushauri wa aina moja?
Nini ambacho DR. KAMFIRIMBISI tunafanya kwako kuhusu ushauri?
Baada
ya kugundua ni eneo gani ambalo lina shida, mathalani baada ya kugundua kuwa
ngiri imekuathiri mishipa ya neva iliyo kwenye uume na utendaji wa homoni ya
testestoroni tutakushauri utumie matunda ya kuongeza nguvu za kiume kwa ajili
ya kusapoti dawa inayokwenda kushughulikia eneo hilo na afya yako kwa ujumla.
Kama tumegundua tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linatokana figo kukuathiri
uzalishaji wa baadhi ya homoni, tutajua tukushauri vyakula vya kuongeza nguvu
za kiume kwa ajili ya kusapoti figo kuendelea kuzalisha homoni zilizoathirika.
Huo ndiyo utaratibu wetu wa ushauri
Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia
Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa
chini