Wednesday, May 13, 2020

KUSAFISHA NYOTA

FAHAMU KUHUSU MMEA WA MUOSHA FEDHA
Muosha fedha unaingia kwenye orodha ya mimea saba ambayo inafanya kazi kubwa katika hitaji binaadam. Mti huu huweza kungarisha nyota, kuvuta watu biashara pamoja na mambo mengine.Miongoni mwa miti saba ambayo inafanana kikazi na muosha fedha ni pamoja na mwita, mfunguo, muharaka miti mitatu naihifadh.
Miti Hii kama utaiweka pamoja inaweza kukupa matokeo haraka kwenye kazi iliyokusudiwa.
Kwa matumizi kwa ajili ya biashara:
Tafuta muosha fedha Chumvi ya mawe Pilipili nyekundu unga Mwita
Changanya pamoja choma eneo lako la biashara kwa manuiz asubuhi kabla ya kufungua kwa muda wa ck tatu
Kwa kujifungua na nuksi au mikosi:
mambo hayaendi Sawa unalopanga haliwi
Tafuta Kindu 7 Muosha fedha Nazi ya mdondo. Yai la kuku wa kienyeji. majani ya mbaazi unga Mwembe jini
Chukua kindu saba usiku wakati unataka kulala kisha uzifunge fundo moja moja kisha unasema mimi nimefungwa kilakitu na alienifunga simjui sasa namimi nimejiongezea kifungo nafunga njia zangu pia nafunga ufalme wangu na nafunga nyota zangu hadi siku zitakapo fungua hizi kamba. Kisha unaziweka mchagoni unalala na ikifika asubuhi unazitia ndani ya maji kwenyendoo ya kuogea weka na nlvyovtaja hapo juu.
Oga hivyo vyote vikiwa ndani ya hiyo ndoo ya maji kisha unaanza kufungua kindu kwa kusema,
"alie nifunga alijua kamaliza sasa kuanzia sasa najifungua" Ukimaliza kuzifungua uzichome moto halafu nazi na yai ni vya kuvuja kwa manuizi, Unasema wewe yai umefungwa na sijui kama unamtoto wa kike au wa kiume namimi sijui alie nifunga kama ni wa kike au ni wa kiume nitakavyo kufungua wewe yai namimi nifunguke haraka sana, unalivunja. Kisha unakamata nazi unasema wewe nazi hufunga na kufungua namimi najifungua kuanzia sasahivi nafungua nyotayangu, nafungua ufalme wangu, nafungua, nafungua bahati zangu kwa uwezo wa muumba mbingu na ardhi.
Ukimaliza kuvunja zoa katupe jalalan
Kwa ajili ya bahati au mvuto wa mtu
Tafuta muosha fedha unga

Unga wa Misk

Mafuta ya Misk

Mafuta ya alizet
Changanya pamoja Paka na kuchoma kwa manuizi ndani ya ck 7 biidhini llah mambo yako yatafunguka
Kazi zote muelekee mungu kwanza
Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa chini 

Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI   

Contact Form

Name

Email *

Message *