CHANGO LA UZAZI KWA WANAWANKE
Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo
yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata
mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara
kueneza anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo
anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata
madhara katika viungo vyake vya uzazi.
DALILI ZAKE
Kwa
mwanaume atakuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na
kurudia mara nyingine ni vigumu sana.
Pia
mwanaume hatakuwa na uwezo wa kusimamisha.
Ni vigumu
kumpa mimba mwanamke.
Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-
Kupata
maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi
Kuhisi
maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa
Siku zake
za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika
Hujisikia
homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi
Kupatwa
hasirakali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.
Kujisikia
uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.
Kupata
mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.
Kuchukia
kushiriki tendo la ndoa
Kupata
uvimbe kwenye kizazi
Madhara yake kwa mwanamke
Kwa
mwanamke ni vigumu kupata mimba
Mwanaamke
anaweza kuwa tasa kabisa
Kuingia
na kutoka kwa mimba
Kuwa na
hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni
Madhara kwa Mwanaume
Kuwa na
mbegu ambazo haziwezi kutunga mimba
Kiwango
kinachozalishw cha megu ni kidogo mno
Kuwa na
kiwewe cha kushiriki tendo la ndoa
Kusimama
na kusinyaa kwa uume
Tiba ya Chango la Uzazi
Ni vizuri
sana kumweleza Dr. Dalili zote mtu anapojisikia.
Mara
nyingi ugonjwa huu hautibiwi kwa dawa za hospitalini, bali ugonjwa wa chango la
uzazi hutibiwa na miti shamba.
Dawa
inayotibu ugonjwa huu ni dawa inayotibu kizazi.
Matumizi
yake kawaida mtu ataitumia kulingana na ukubwa wa tatizo lake.
Huchanganywa
na viungo vya uzazi vya wanyama, ambavyo kazi yake ni kuondoa matatizo
yaliyopo, kwenye kizazi cha manamke/mwanaume.
Wengi
wana amini kuwa dawa za miti shamba hazina uwezo wa kutibu haya ni mawazo
potofu, miti shamba ndiyo suluhisho la kila tatizo katika afya zetu.Mimi
mwenyewe ni shuhuda nimelelewa katika miti shamba, ukipewa dawa ya mitishamba
haijakusaidia ufahamu kuwa kiwango cha Dr/Mganga huyo hakijakomaa.
Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa chini
Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI