Saturday, March 2, 2024

KUSAFISHA MWILI

Kusafisha mwili pukuchulia udi rose katk dawa yako ukiweka katk maji ya kuoga utatumia kuweka Na marashi rose nenda kaoge asubh Na jion siku 14 Mwangaza Mlipu lipu Mwita Mvute Mkumbukwa Msikiwa Dawa izi ukichanganya na chumvi mawe baruti ya chenga na panga nati ukitaka kuomba kitu kwa mtu au akuelew unatak akusikilize tumia kuchoma utaona habar yake sio mchezo izo dawa Kama mwanaume alikuwa akuelew mwanamke boss mchomee izo kwisha habar yak

DAWA YA BIASHARA

Kivumbasi cha mwinula na chini yake ni ngurukila ya juu yani mti ulio ota juu ya mti mwenzie twende sawa tafuta izo dawa kisha kausha zikauke vzuri kisha twanga upate unga wake mlaini na ukishapata ivyo vitu faida zake izi Naam kama biashara yako imelala wateja wamekuwa kuja kwa mitihani sasa nakupa njia iii ya kuinua iyo biashara utafagia sehem unayo fanya biashara utachukua uwo mchanga changanya na izo dawa zako matumizi kuchoma kwa mwito wa biashara yako hakika wateja watafulika sana fanya ivy siku 7 ad 14 kwa manuizi Naam izo dawa ukitumia kumtuliza mume mke au kumuita kama ameondoka na amekutelekeza chakufanya fanya iv nyoa nywele zako za kwa bibi au babu kisha weka na chumvi ya unga au ya mawe utatumia kuchoma na kutia manuiz ngurukila ya juu wewe umeota juu ya mti mwenzio kwamba awez kukushusha mmemtangulia na mm nataka niwe juu ya fulani yeye awe chini yangu chochote nitakacho mwambia anielewe kabisa na anikumbuke popote alipo asisikilize maneno yoyote zaid yangu na mwinula nataka uniinulie mapenzi ya mimi na fulani yawe moto aniwaze anipende nk weka manuizi hakika utakuja niambia Naam kwa wale wanao taka cheo kazini kupandishwa, kupendwa na watu kila lika hasaminike kuhusu kitu chochote tafuta izo dawa kisha changanya vizimba ivi Ngekewa Kiroto Baraka Asali ya nyuki wadogo Naam chanjia maugoni mwako kwa manuizi hakika utakuwa juu kwa yoyote na kupendwa haswa Naam pia vile vile ni Limbwata Kinga Kuhuwa kesi Dawa za mvuto wa mapenzi Dawa za biashara Dawa za kusafisha nyota Naam tafuta Mkonola Msulula Msekela Msikiwa

KILOMOLOMO

KIKOLOMO ni dawa adhwimi yenye nguvu za ajabu na kuleta MVUTO MKALI WA MAPENZI NA BIASHARA na utakapo liongea huwa halipingwi hii dawa ni mchanganyiko wa vitu ambavyo inatokana na wanyama &ndege na baadhi ya miti kazi zake tuzifahamu zahii kikolomo 1.Ni dawa Kubwa kwa mvuto popote ulipo 2.Ni dawa ambayo ina nguvu ya ukaongea neno mbele za watu wakaogopa na kukaa tu kimya ndio ikaitwa kikolomo 3.Ni dawa ya ajabu sana yenyekukubali kwa watu wenye biashara zinazotegemea maneno (uchunaji/utapeli)nk 4.Pia ukiongea huwa hakipingwi na ukitoa kauli yenye kusikilizwa na kutimiziwa popote pale kazini,mapenz,biashara nk 5.ni dawa ya ajabu sana kwa kugandiwa wasichana/wavulana kwakua ni mvuto tosha adhwimi . 6.Pia ni mvumo mkubwa sana popote utakaposikika au kwenda utakua na kishindo adhwim sana ndugu; Sifa za dawa hii kikolomo 1.kama kazi yako ni kuonekana kwa watu /kupata jina bax utakua fasta aina chenga 2.utawandandia/kuwapanda/kupandwa na watu kama pesa ilivyo hii kiboko 3.itakuweka /sehem penye tatizo lolote lile ukifika wew ukiongea mawili matatu tatizo limeisha 4.utapatwa na taarifa mbali mbali sehemu watu walipo kuandaa ili wakufanyie ubaya na hutokwenda/ukaenda na kujiamin kwako nk Ndugu hii kitu haina magumashi hata kidogo na hii kikolomo ni hatari sana hivi vitu wanachanjiaga watu wakubwa mfano maraisi (president) ,mahakimu ,na watu viongozi wajuu wabunge,mawaziri nk Sasa ni hayo nimekupatia hiyo dawa adhwim sana kwako hii dawa nimeiongezea vitu flani ili iwe katika ubora zaidi watu niwafanyiapo shughuli hiiyo wafanikishe kwa wepesi hii dawa ni mvumo mkubwa ukiipata katika biashara au jii au katika shughuli yako uifanyayo kama mapenzi kila siku utabadili namba ,,lakin ni uamuzi wako ukawa na dawa HII na ukawa mtulivu ukawa unafanya yako talatibu ukitaka faxta nayo itaenda faxta na mwisho wa picha itakuendesha ndio utaona uyatakayo yanasonga mbele Hii dawa mawili kati ya haya kuchanja /unafunga mahali flan kwenye mkono hakikisha siku zote unayo isikupotee/kutoka lakini kwa upande wangu kuchanjia ndio kila kitu umemaliza mkataba kuliko kufunga lakini kwa asiyetaka kuchanjia bax atafunga kazi kwako !;

Monday, April 12, 2021

DAWA YA KISUKARI

 DR. KAMFIRIMBISI

Amekuja na dawa ya kutibu  sukari kwa muda mfupi ni mchanganyiko wa dawa mnyaa na maganda ya mua,magadi, chumvi n.k

Fanya mawasiliano Dr. Kamfirimbisi

Contact Form

Name

Email *

Message *