Tuesday, July 7, 2020

USHIRIKA KATIKA NDOA

MLANGO WA NDOA NA USHIRIKA  NA JAMBO LOLOTE
Ndoa nyingi zinakuwa na migogoro,chuki, kufarakana na wapenzi wao kutokana na kutoangalia utabibu wa kinyota baina ya mke na mume au biashara zinakufa kutoangalia ni biashara gani nifanye kulingana na nyota yangu na ni mtu gani nimshirikishe kuanzisha biashara au mausiano ya kimapenzi ambaye tunaendana kinyota.

Jifunze kuangalia ushirikiano kwa kutumia mfano ufuatayo:-
Tumia mfumo wa ABJADI chukua hesabu ya jina la mwanaume na mama yake gawa kwa 12 . Kisha chukua tena jina la mama yake gawa kwa 12. Hii hata kwa ushirikiano:

1. Ikiwa zinalingana zilizobaki – kuna heri
Ikiwa moja imezidi nyingine basi chukua ile nyingine utowe ndogo ikibaki moja – Mapenzi yao yatadumu
2. Kutakuwa kati yao uhasama na chuki
3. Kutakuwa na ali ya wastani
4. Watakuwa na mapenzi na mambo yao yatakuwa mazuri
5. Watakuwa na mapenzi na mambo yao yatakuwa mazuri
6. Wanauelekeo mzuri katika ali zao
7. Hataafikiana
8. Mwanamke safi mume ovyo
9. Hali yao ni wastani
  10.Yatakuwa mapenzi mema
  11.Kutakuwa na ubaya ufisadi na mfaraka
MFANO: MUHAMADI IBIN ZAINABU jumla 161
     HANAM BINT SAKUNAI jumla 241
161 Sakti kwa 12 imebaki 5
241 Sakti kwa 12 imbaki 1
Chukua 5 – 1=  baki 4

Chukua jina la mtakaji na la mama yake na jina la mtakiwa na la mama yake gawa kwa 9:
1-1  Watakuwa na uwezo na msaada
1-2  Wataafikiana kwenye maisha
1-3  Maisha yao ni mazuri pamoja na kusamehana
1-4  Ataingia mtu atawafasadi kwa ubaya
1-5  Mke amependa mume wala hamtolei kauli mbaya
1-6  Uwezo, msaada na amani
1-7  Kheri kwa muda na muda ufisadi
1-8  Penzi litagawanyika
1-9  Hali yao itakuwa nzuri kwa mwaka kisha   
       itabadilika

2-2  Furaha kisha itangia doa
2-3  Furaha tu
2-4  Furaha kisha itaingia karaha na kila mmoja  
       kumhofu mwenzake
2-5  Amani na upendo kisha watarudi kwenye 
       shari
2-6  Wote wanapendana kwa siri na zairi
2-7  Amani kisha yataingia kati yao maneno 
        mabaya yatakayo wafarakanisha
2-8  Watafurahisha maisha yao kisha itaingia 
        shari

2-9  Tatokea mabadiliko katika mapenzi yao 
        mpaka wasihaminiane
3-3  Amani na upendo kisha mabadiliko
3-4  Kheri nyingi
3-5  Kheri nyingi kisha faraka na uzuni
3-6  Mwanamke mambo yake mazuri lakini 
       kutatokea mabadiliko
3-7  Mke mdomo mchafu lakini haitoki shari kwao
3-8  Huyu ana kheri na upendo popote aishipo
3-9  Shari na vikwazo mpaka watafarakana

4-4  Anakheri na upendo kisha itaingia bughuza
4-5  Upenzi wao ni mzito utakuja ingia dosari
4-6  Uhusiano wao utavunjika
4-7  Watapendana wala hawato tarikiana
4-8  Husuda na kufarakana
4-9  Litaharibika pendo lao na faraka

5-5  Kheri na upendo
5-6  Furaha kila siku
5-7  Mapenzi mazuri
5-8  Shari kabla ya upendo  kugeukana wala
hawatafarakana
5-9  Amani, furaha na huruma kisha nyoyo zao
      zitabadilika

6-6  Ugomvi utakaosababishwa na ndugu zao
6-7  Mapenzi mzuri
6-8  Shari na balaa
6-9  Penzi, kwa sababu ya mabadiliko 
       watafarakana

7-7  Pendo kisha itaingia faraka
7-8  Mzuri lakini maneno mengi, watafarakana
7-9  Mabadiliko yatawafanya wafarakane

8-8  Amani na upendo
8-9  Wataishi muda mrefu kisha kutatokea 
        maneno ya kufrakana

9-9 Wataishi katika hali ya faraka na mapenzi

 Endapo unataka kuchambuliwa nyota yako wewe na mpenzi wako  wasiliana na 
DR. KAMFIRIMBISI
kupitia namba zifuatazo: +255655531702
                    Whatsapp      +255623450753 

Contact Form

Name

Email *

Message *