Showing posts with label HOME PAGE. Show all posts
Showing posts with label HOME PAGE. Show all posts

Saturday, June 6, 2020

MBUYU

MTI WENYE FAIDA LUKUKI KIAFYA
Mungu ameumba miti na mimia kwa ajili ya binadamu. Kila mti au mmea una makusudio yake. Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi. Vitu vyote vilivyomo kwenye mbuyu vinatumika kama chakula au dawa kwa faida ya binadamu.
UBUYU WENYEWE
Unga wa ubuyu unaelezwa kuwa na vitamini na madini mengi kuliko matunda mengine. Inaelezwa kuwa unga wa ubuyu una Vitamin C nyingi kuliko hata machungwa na ina kiwango kingi cha madini ya kashiamu (Calcium) kuliko hata maziwa ya ng’ombe.
Aidha, unga wa ubuyu ni chanzo kikubwa cha madini mengine aina ya chuma (iron), Potasiamu (Pottasium) na manganizi (magnesium). Inaelezwa kuwa kiwangao cha Potasiamu kilichomo kwenye unga wa ubuyu ni mara sita zaidi ya kile kinachopatikana kwenye ndizi. Ubuyu ni muhimu sana kwa watu wenye matatizo ya figo.
Vile vile unga wa ubuyu una uwezo mkubwa wa kuongeza kinga ya mwili (antioxidant) kutokana na kuwa na kiwango kikubwa cha virutubisho vya kuongeza kinga mwilini dhidi ya magonjwa nyemelezi. Kiwango chake kinazidi hata kile kinachotolewa na matunda mengine kama vile Krenberi, bluberi na blakberi. Ili upate faida za unga wa ubuyu zinazoelezwa hapa, lazima ule ubuyu halisi usiochanganywa na kitu kingine cha kuongeza ladha.




MAFUTA YA UBUYU
Mafuta ya ubuyu, ambayo hutengenezwa kutokana na mbegu zake, ni mazuri kwa kulainisha ngozi na kukarabati au kuponya ngozi iliyoathiriwa na magonjwa ya ngozi mbalimbali, ikiwemo fangasi, vipele na chunusi.
Mafuta ya ubuyu yana uwezo wa kuifanya ngozi kuwa nyororo na laini kutokana na kuwa na kiasi kingi cha mafuta aina ya Omega 3 na Omega 6 na ina kiasi kingi cha Vitamin A, D na E ambazo zote ni muhimu kwa ustawi na uimarishaji wa ngozi ya binadamu.
Mafuta ya ubuyu yanaelezwa kuwa na virutubisho vinavyoweza kuondoa mikunjo ya ngozi, mabaka, michirizi na hata makunyazi na kuicha ngozi kuwa mpya. Hutoa kinga dhidi ya uharibifu wowote wa ngozi unaoweza kujitokeza baadaye.
JINSI YA KUTUMIA MAFUTA


Mafuta ya ubuyu unaweza kuyatumia kwa kupaka usoni au mwili mzima moja kwa moja. Unaweza kuyatumia mafuta haya kwa kupaka sehemu tu iliyoathiriwa kama dawa. Unaweza pia kuchanganya na mafuta au losheni unayotumia.
Ili kupata matokeo unayotarajia, hakikisha unatumia mafuta halisi ya ubuyu ambayo hayajachanganywa na kitu kingine wakati wa kutengeneza.
UPATIKANAJI WAKE
Bidhaa za ubuyu zimeanza kujipatia umaarufu nchini Tanzania na hivi sasa kuna makampuni na wajasiriamali binafsi wanaojishughulisha na utengenezaji na uuzaji wa bidhaa mbalimbali zitokanazo na ubuyu, hivyo upatikanaji wake ni rahisi iwapo utaulizia maeneo unayoishi.
Bidhaa zingine zinazoweza kutengenezwa kutokana na mti huu ni pamoja na majani yake ambayo hutumika kama dawa, mizizi na magamba yake pia. Kwa ujumla mti wote wa ubuyu una faida na hakuna kitu kinachotupwa kwenye mti huu ambao ni miongoni mwa miti yenye matunda bora yaliyopewa jina la ‘superfruit’.

Tuesday, June 2, 2020

MBAYA WAKO



  KUFAHAMU NANI MBAYA , NANI MZURI JUU 
YA MAISHA YAKO.
Ikitokea kuwa kama una mashaka juu ya watu unao ishi nao basi usijali chukua majani ya mnanaa yawe 7 pamoja na tunda zake saga kwa pamoja na kisha chukua udi mkali yaani udi wenye harufu kali sana changanya pamoja kisha tumia kuchoma katika chumba chako ama nyumba yako kwa hakika ukichoma kwa manuizi mchawi ato thubutu kuingia ndani ya nyumba yako ama biashara yako choma unga huo kwa siku 3 na kama utakosa majani yake usijari chukua hata unga wa majani yake kwa hakika hauto jutia choma kwa manuizi 48 utakayo maana mananaa una majina mengi sana ila niwadokeze kuhusu mnanaa kidogo.

Huu ni mnana or tarumbeta la shetani mti huu una kazi nyingi sana kwani unauwezo wa kumwita mtu alie mbali kama utapata unga wa majani yake ukichanganya na MWITA, MLIPU, MVUTE, MWARAKA, MDAULA hapo utaweza kumudu na wito wa mapenzi mteja kwenye biashara yako,Na kama unataka kumvuta mpenzi choma usiku wa saa6 ukiwa uchi wa unyama huku ukiwa unamuita umpendae "WEWE MNANAA WEWE NI FIRIMBI YA KUZIMU KAMA KUNA MTU HATO LISIKIA BARAGUMU BASI NA HUYU ASISIKIE SAUTI YANGU MIMI FULANI MZALIWA WA FULANI NAMUITA , ILA KAMA BARAGUMU LINASIKIKA BASI NA MIMI HUYU FULANI 49

MZALIWA WA FULANI ANISIKIE NA ANIITIKE KUANZIA LEO HII NAMBADILISHA KUWA MWENDA WAZIMU WA MAPENZI AKILI YAKE ILALE KAMA MNANA UNAVYO WEZA KUWALALISHA WENYENYUMBA WEIZI WAPATE KUIBA BASI NA MIMI NAITAJI AJE HUYU MAWAZO YAKE YOTE ANIFIKILIE MIMI NANIWAZE MIMI KILA AKAAPO NA KILA ALALAPO YEYE FIKILA ZAKE ZIWE JUU YANGU MIMI WEWE FULANI BIN/BINT FULANI NAKUITA KWA NGUVU ZA MOTO, UDONGO,MAJI PAMOJA NA UPEPO NJOO KWA NGUVU ZA SOLOMONI"
Hapa nimetoa siri kubwa sana kwa waganga hebu jiongezeni maana mti huu ni kiboko mnoo sawa hii utaichoma X1 tu, tena usiku mmoja tu maana ukizidisha siku kuna 50
uwezekano mkubwa sana kwa unae muita kumtia utahiraa .
Fanya hii ni mujarabu sana majibu yake ni siku 7 ndan yake
Naam mti huu unaweza kutibu mtu alie kuwa kichaa endapo utachanganya na pweza basi ni fusho tosha kabisa la kijini na kichawi kama kuna jini basi lazima afeeh.

Mti huu ndio unaotengenezewa vidonge vya sleep pells kwani ukiwa umekula unga huu ujazo wa robo kijiko cha chai kwenye uji kikombe kimoja utalala kuanzia saa moja mpaka saa 8 ila inashauliwa dawa hii usiitumie kama wewe unaakili timamu maana itakufanya uwe teja or taila naam . 51

Kwa leo tuishie hapo kwani mti huu kama utapaka puani au ukipuliziwa puani basi ukiuvuta tuu unga huu utalala fofofoooo pasipo kushtuka hata kama mupo watu 1000 wote muta lala unga huu asili yake ni mkari kama ugoro na unaparia na unaathiri ya kukereketa mdomoni pia ni mchungu kama MPUTURURU vile.

Endapo unatatizo hili basi wasiliana na Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia Simu:+255655531702/+255623450753/+255766105099 au kwa link ya whatsapp hapa chini

Bonyeza Link DR.KAMFIRIMBISI

Monday, May 25, 2020

HOME PAGE

KITABU CHA TIBA KATIKA KILA NYOTA
 KIPO TAYARI KWA BEI YA OFA TSHS 30,000/=

Contact Form

Name

Email *

Message *