Saturday, March 2, 2024

MVUTO NO 2

Unataka kua na mvuto kwa watu kua na mvuto wa kupata pesa katika miangaiko yako biashara zako Kubarikiwa Naam Twende sawa Tafuta dawa hizi Muosha fedha Mkulungu Mkongowele Kasela ya Bara Itinginya Changanya mchanganyiko wa dawa hizo kisha Utakua Unaoga Asubuhi na jioni siku 7 mfululizo kwa kuweka Na Sarafu za hela kuanzia 3,5 Mpaka 7 kisha ukimaliza kuogea siku hizo 7 hizo sarafu za hela wape watoto wakatumie Naam..

LIMBWATA

JINSI YA KUMVUTA MPENZI NDANI YA SAA 24 KWA KUTUMIA NAZI: Angalizo: Usifanye kwa mume/mke wa mtu dawa hii akatelekeza familia yake tafadhali, Dawa hii ni kwaajili ya kumvuta mwanaume/mwanamke unayehitaji awe na mahusiano na wewe yaani akupende na akuhitaji kama hamjawa katika mahusiano basi baada ya kufanya hii dawa atavutika na wewe na kukutafuta, na kama tayari mna mahusiano ila hayaeleweki au hayana nguvu basi baada ya dawa hii mtakuwa karibu mno na atakuwa karibu na wewe mpaka utamuonea kero!..hivyo kama unataka mwanaume/mwanamke awe karibu na wewe zaidi kimapenzi mfanyie hii dawa! na sharti kubwa la dawa hii kwa wanawake ukitaka kuifanya basi usiwe kwenye siku za hedhi. JINSI YA KUFANYA: Chukua nazi mbili. Kisha andika jina lake na la mama yake mara mbili kwenye hizo kona za nazi kwa kutumia zafarani nyekundu kisha fuata hatua hizi.. 1. Vunja nazi zote vipande viwili. 2. Chukua maji ya bahari changanya na ndele na kila kipande kimoja cha nazi tia maji hayo. 3. Weka kila kipande katika kona moja ya chumba chako, kaskazini na kusini. mashariki na maghrabi. 4. Katika kila kipande kimoja washa pembeni yake mshumaa mweupe, iwe kuanzia saa sita kamili usiku 5. Kaa katikati ya chumba hicho elekea upande wa magharibi huku ukiwa juu ya kitambaa cheupe kisha sema kwa kuamrisha yote unayohitaji kutoka kwa huyo muhusika ukitaja jina lake na la mama yake 6. Iache mishumaa iwake mpaka izimike yenyewe. Na mabaki yote yafunge na kitambaa cheusi na uyatupe njia panda wakati jua linazama. ITACHUKUA MASAA 24 TU [SIKU 1] KUWA KAMA ULIVYOTAKA. toa kigongo weka gongo toa kombola weka tofali weka ugoko niweke chuma ashiiii iii ni kiboko kwa wale wakaidi wa mapenzi unapendwa alafu unaleta maringo sasa iii ni zamu yako ya kubuluza naam ndugu zangu una mwenza wako kisumbufu una mwenza wako kakimbia kambi leo sasa nakupa njiia ii rais pia kali sana na kama umpendi usimwekee iii kitu mana utapata tabu na kusumbuliwa kimapenz mda wote twend sawa tafuta majani ya mnanaa na mbegu zake kausha zikauke vizur kisha sanga vyote upate unga utachanganya na ubani zukra na changanya daawa izi mkumbi na mkumbukwa changanya mchanganyo uwo utanyunyuzia na asali katika mchanganyo wako na kusema kama asali tamu na inatibu magonjwa mengi bac mm nakutuma asali ukanivutie fulani bin fulani akumbuke utamu wangu kama wewe asali unavyo pendwa na kila mtu mkumbukwa nakutuma ukanikumbushie fulanii bin fulani katk moyo wake anikumbuke akiwa amelala anatembea aniwaze na kunikumbuka mkumbi nataka ukanikumbie ukanivutie fulani bin fulan aje kwangu mbio mbio na anipende anisikilize aiseeee weka mbali na watoto weka mbali na usio wapenda utawatesa na kuona kelo watakuja kwa kasi ya upepo sio mchezo kwaleo tuishi

JOSHO LA MVUTO

Hili ni Josho la mvuto Jisafishe mwili wako kwa kuoga Zaidi na zaidi utaona maajabu yake tafuta Udi Rose Mafuta mazuri Kitambaa cheupu cha kukutosha kuvaa Mliliwa Itinginya Mawaridi Marashi rose Mlipu Mfunguo Kisha vaa hicho kitambaa chako kisha ivyo vitu vyako dawa zako zote zichanganye kwenye ndoo yako ya maji kisha pukuchulia na huo Udi rose humo humo kwenye ndoo yako ya maji kisha iache ichanganyike vizuri Tia Manuizi yako ya kusafisha mwili kuweka mvuto kitambaa cheupe kinaonekana usiku na mchana basi nami nikaonekane kwenye miangaiko yangu iwe kwenye kiza au iwe kwenye mwanga nikaonekane kama kitambaa cheupe kisha ukae kwenye kigoda au kinu uoge hiyo dawa yako utaona maajabu yake ni hatari ilo josho la mvuto...Naam pendelea kuoga mara kwa mara

DAWA YA KUMSAULISHA MTU

Dawa ya kumsaulisha mtu kwa jambo lolote lile ukitakaaa asahau au akusahau na kukupotezea iwe kesi ugomv anakudai nk Naam mashine ya kusaga na kupepeta inapepeta kila kitu kigongo atar icho Twende sawa Tafuta Alimiti Ubani mashtaka Chababilah Ukipata ivyo vitu chukua karatasi andika na pen nyekundu makusudio yako kisha weka dawa zako izo funga vizuri karatasi yako kwa manuizi chukua kitambaa cheusi funga na iyo karatasi mafundo saba ukimaliza nenda sehem iliyo kuwa wazi kama vile uwanjani yan sehem inayo pigwa na jua pasiwe na kivuli ukimaliza fukia rud kaendelee na mmb mengine hakika uyo mtu atasahau kabisa ilo jambo

Contact Form

Name

Email *

Message *