Monday, May 25, 2020

PETE ZA BAHATI

PATA MAFANIKIO KUPITA NYOTA YAKO KWA 
KUTENGENEZEWA PETE YA BAHATI 
NA
 DR KAMFIRIMBISI

ASILI ya pete ya bahati ....nikimaanisha pete ya kuvuta bahati.

Pete ya maajabu.
Tunasoma na kusikia utawala wa nabiu Sulayman bin Dawdi a.s alikua akitawala Dunia ....akiwatawala Binadamu na Majini.

Alikua akiuamrisha upepo umpeleke popote atakapo.
Alikua akiongea na wanyama.

Alikua akisikia sauti za wadudu mbali mbali.
Majini alikua akiwatumikisha katika kazi mbali mbali ...ikiwemo kuzamia ndani ya maji au bahari kuleta vitu kadha wa kadha.

Ni mfalme na Mtume.

Alikua akivaa pete ambayo ilimpa umiliki mkubwa.

Ukweli wa mambo yote hayo haikua siri ya pete ...bali ilikua ni uwezo wa Muumba wetu kwa mtawala na mtume huyo.

Nimeyataja hayo kidogo ili tuone pete na kito.

Wataalamu wenu tunaangalia pete na kito kwa kulinganisha madini yaliomo humo na maisha ya kila siku ya mwanadamu.

Kito kina uwezo mkubwa wa kuzuia mawimbi yatokanayo na mwako wa mionzi ya jua.

Jua linazo aina 7 za rangi linapowaka.

Kila rangi inamuathiri mtu kutegemea na ilivyo nyota yake.

Kuvaa pete stahiki na kito inakua ni sababu ya kuzuia madhara ambayo ungeyapata ...ikiwa ni kuvurugwa au kuharibikiwa mipango yako ya maisha ya kila siku.
(Kito cha pete hii kinaitwa TURQUOISE (FERUZI) jiwe linalounganisha mbingu na ardhi) Linaunganisha nguvu za miliki au ufalme katika ngazi ya juu kabisa.Linatengeneza njia ya elimu na ufahamu kwa anayelivaa kwa sababu ya utukufu wake.Vilevile jiwe hili linamlinda na kumbariki mvaaji na hutuliza akili na mwili.JIWE LA NYOTA YA MSHALE


Usivae pete na kito ikiwa hujui maana ya kito hicho .

Watu wengi wanaveshwa pete na kito kwa kutarajia mafanikio katika maisha ya kila siku lakini haiwasaidii chochote.

Sababu kubwa ni kutotambua utaratibu mzuri wa kuvalishwa au kuveshwa kwa utaratibu wa mzunguuko wa sayari hii ya jua ilivyo.

Nyote mliovaa pete na kito kwa lengo la kufanikiwa na HAMJAFANIKIWA nawapeni pole zangu nyingi kwenu.

Nawakumbusheni kua hakuna jambo kubwa lenye kutaraji kuleta faida ukalipata kirahisi namna hiyo.

Kwa maelezo zaidi ya kuvaa pete na kito wasiliana nae mtaalamu wenu.


Ukiwa  unaitaji  kutengenezewa pete basi wasiliana na 
Dr. Kamfirimbisi kwa kutumia 
Simu:+255655531702 /+255623450753/+255766105099 au kwa Link  ya whatsapp hapa chini

Bonyeza Link   DR.KAMFIRIMBISI


Contact Form

Name

Email *

Message *